Mke mtarajiwa anapoamua kuaga mchepuko ....

Mke mtarajiwa anapoamua kuaga mchepuko ....

heri huyo jamaa yako anajua ukweli,sasa imagine we ndo huyo unayeoa,huyo binti amejitahidi sana kuficha tabia zake za kuchepuka kwa huyo jamaa anayemwoa
 
Hawa watakuwa wanapasha kiporo baadaye. Jambo jingine ni kuwa wanaume waliooa/walowahi kuoa wanajua ku-handle wanawake. Wanajitahidi kumridhisha kihisia, mahitaji madogo/hela za matumizi, hata mgegedo wa maana. Inawezekana huyo mwoaji hajatoa hats hela ya saluni.
 
Bwana Eiyer, believe me huyo dem anaingia kwenye ndoa ila hawezi acha kurudi kwa huyo jamaa yako. Mpe miezi miwili tu aizoee ndoa.
 
Hiyo ipo sana, kuna binti alikuwa anatembea na mfanyabiashara mmnoja wilaya Fulani mkoa wa Manyara. Kuna jamaa mmoja mfanyakazi serikaalini akahamishiwa hiyo wilaya, akamuona huyo msichana ni mrembo kweli wa kimbulu, jamaa akaanza uhusiano na binti, akatangaza ndoa, hapo binti anawachanganya wote, mwisho ndoa ikafungwa na siku chache kabla ya ndoa akaagana na mfanyabiashara wake siku tatu wamejifungia hoteli mkoa wa Arusha kwa kisingizio cha shoping ya harusi. Na siku ya ndoa jamaa kakaa. high table alitoa mchango wa nguvu kama mfanyabiashara maarufu. usiogope haya yapo sana tu.
 
Back
Top Bottom