Mke mpya wa Mfalme Mswati

Mke mpya wa Mfalme Mswati

ananyanyasa watoto wa watu...hawez kuwatimizia wote.sana sana ataishia kuwafanyia mbaya walinzi wake.
 
Wake 15 kama hauna hela ya kukupatia lishe ya maana mwezi mmoja tu utapoteza nuru usoni.
 
new%252Bmke%252Bwa%252Bmswati.jpg


Huyu ni Mke mpya wa mfalme Mswati amemuowa siku tatu zimepita, ni moto wa kuotea mbaliii.
atakuwa ni mke wa 15.


Yoote tisa ila mungu anajua kuumba, maana kwa machoni mtoto kakamilika kila idara
 
Nahisi watumishi wake ndo wanawashughulikia hao wake wa mfalme
 
Cha ajabu wenyewe na familia zao,kwao ni bonge la sifa
 
Cha ajabu wenyewe na familia zao,kwao ni bonge la sifa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom