Mke mpya wa Mfalme Mswati

Mke mpya wa Mfalme Mswati

mkuu kwan mfalme hapendi vitu ya insta?

mfalme anapenda vinyuzi akate mwenyewe,sasa huko insta hakunaga vinyuzi!!!teh teh teh!huwa kuna watu wanaokagua hawa wadada kama wana vinyuzi....sasa this time wamemuonea wivu wamempa used akaseme nae mbelembele akikuta kitu used unadhani atapiga mayowe??itabidi amezee tu!nasisistiza hii ni hukumu ya macho yangu tu sio lazima iwe kweli
 
ha ha ha mkuu insta kumbe vinyuzi kushinei....sema wajua vinyuzi huwa vinaboa,vina kela mtu anajigeuza geuza geuza pasipo mpangilio mara subir mara hivi...naona naye kaona apige chini habari za kuchana nyuzi.
 
kabisa mkuu,nakubaliana nawe kabisa hapo pekundu,maana vitu vya kijanja nae anatamani sema wajanja wanakuwa washatangulia,labda nae kaona isiwe tabu
 
new%252Bmke%252Bwa%252Bmswati.jpg
Umetudanganya mkuu hii niliwahi ona kitambo sana
 
Sisi hatupo ktk hiyo dunia ya kabla.
Tupo ktk dunia yenye dini.
Sasa kama ww unataka tuisi kama kabla anza kuvua nguo utembee uchi kama zamani
Hujanielewa ....hizi dini zitapita ...lakini MUngu atabaki
 
Back
Top Bottom