Mke mpya wa Mfalme Mswati

new%252Bmke%252Bwa%252Bmswati.jpg


Huyu ni Mke mpya wa mfalme Mswati amemuowa siku tatu zimepita, ni moto wa kuotea mbaliii.
atakuwa ni mke wa 15.
Hahahaa chief wangu kwenye hii habari umetuzuga umetudanganya kila kitu
 
Huyu jamaa hivyo vyombo anavyojizolea anawatafuta watu lawama tu...yupo age48 ana wake 15 tena wengine under 30 hata kama akatumia Viagra vipi bado atakuwa anawatesa tu hao wanawake.
 
Naenda kuomba kazi ya ulinzi huko nijilie taratiibuuu na msosi na hela juu watanipa nitajituma balaaa. Wake wote hao lazima tumsaidie.
 
Mswati angekuja Tanzania nawahakikishia asingeoa kamwe maana watoto wa kibongo utepe unakatika mapema kabla hata ya miaka 8...
 
Mkristo huyo
Hizo ni mila hazina uhusiano na Dini, hata kama ni mkristo, huko dini imewekwa pembeni, huko mila zao zinanguvu bado. Hii sio kwa mswati tu ni kwa jamii yote ya huko, Wazuru wanaishi kwa kuongozwa na mila wala dini.
 
Back
Top Bottom