Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,791
Katika Uislamu hilo ni kosa kubwa sanaaa!!!Uko na mkeo sehemu, halafu wanakuja marafiki unawatambulisha kuwa huyo ndiye mama. Imekaaje hii!
Ni laana kumfananisha mama yako na mkeo
Katika Uislamu hilo ni kosa kubwa sanaaa!!!Uko na mkeo sehemu, halafu wanakuja marafiki unawatambulisha kuwa huyo ndiye mama. Imekaaje hii!
Akili yako inatia mashaka, mke kupewa heshima ya mama ni haki yake na sio kwamba hana hadhi ya kuwa mke, ukimuita mkeo mama means ume m value kwa viwango unavyo m value mama yakoJua umekaa kama mama ila bado anatafuta aliyekaa kama mke. Kwa style hio michepuko haipungui
Ukute umesikia "mamaa", ukadhani mama. Wasukuma hata siyo wa kuwaamini sana.

Na mnapenda kuita hivi tokea mnapokuwa kwenye penzi changaMbona wewe anakuita baba usemi
Wasukuma wameingiaje hapo jamani?
Mwanaume ndiyo kiongozi wa nyumba, mlinzi na mletaji, kuitwa baba ni heshima yake.Ili "ibalansi" ongezea basi na mke kumwita mme baba.
Akili yako inatia mashaka, mke kupewa heshima ya mama ni haki yake na sio kwamba hana hadhi ya kuwa mke, ukimuita mkeo mama means ume m value kwa viwango unavyo m value mama yako
Na mimi pia huwa unaniita baba,hivi una baba wangapi vile?Mbona wewe anakuita baba usemi

NonsenseAkili yako inatia mashaka, mke kupewa heshima ya mama ni haki yake na sio kwamba hana hadhi ya kuwa mke, ukimuita mkeo mama means ume m value kwa viwango unavyo m value mama yako
I see kweli wewe u mjinga (samahani kwa kusema hivyo) ila wapi nimesema uhamishe thamani ya mama yako?Kama ulinipima ukakuta inatia shaka shukrani. Haitatokea value ya mama ikahamia kwa mke never! Endelea kujidanganya. Mama ni mama,haitotokea afananishwe na mtu mwingine.
Kama ulinipima ukakuta inatia shaka shukrani. Haitatokea value ya mama ikahamia kwa mke never! Endelea kujidanganya. Mama ni mama,haitotokea afananishwe na mtu mwingine.
Mkeo hawezi kuwa na thamani ya mama yako aliyekuzaa punguani we! Wala mama yako hawezi kuwa na thamani ya mkeo.Akili yako inatia mashaka, mke kupewa heshima ya mama ni haki yake na sio kwamba hana hadhi ya kuwa mke, ukimuita mkeo mama means ume m value kwa viwango unavyo m value mama yako
Una hamu yaHaha. Wameyataka wenyewe toka wauziwe tin number. Nazingua tu.

hii mada imekaa kighetto ghetto sana, haijabalance, sidhani hata kama mleta mada anajua ameuliza nini.

Mke ukimwita mama unamzeesha....bora umwite baby yaani mtoto.Akili yako inatia mashaka, mke kupewa heshima ya mama ni haki yake na sio kwamba hana hadhi ya kuwa mke, ukimuita mkeo mama means ume m value kwa viwango unavyo m value mama yako