Mke kuitwa mama

Mke kuitwa mama

Kwa sisi waislamu hiyo ni dhambi kubwa kumuita mkeo mama mkeo muite mke na mama muite mama mbona rahisi tu
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Hasira za nn wewe "mama" (kama mumeo anavyokuita)wanichukia bure "mama" uzi si wangu wewe si wako chuki ya nini kati yangu mimi na wewe,sina makosa sina makosa mie.
Hao watu hawapo kwa sasa inaonyesha walikutishia sana eeh! Pole sana
 
Hasira za nn wewe "mama" (kama mumeo anavyokuita)wanichukia bure "mama" uzi si wangu wewe si wako chuki ya nini kati yangu mimi na wewe,sina makosa sina makosa mie.
Karibu uji wa jioni baba,uongeze nguvu za mwilini
 
Aisee!mbona tunavuaga kwa madaktari!utakuwa ni ujinga mkubwa mama yako kumfananisha na mkeo!
Ndio akili za wanaume wengi wakiambiwa thamani ya mke wao hudhani wake wanafananishwa na mama zao, wanakua mbogo balaa lakini hao hao mama zao wanalalia telemka tukaze huku wake zao waki bang na ma iPhone sasa sijui wanatumiaga akili za wapii...ila Mkuu Daktari sio mama yako don't take it personal
 
Na baba mwenye nyumba kumuita Daddy je..hehe
 
Unaweza kuona imekaa mbaya kama ulishawahi kutambulishwa kwa mamaa mwingine, ila hiyo ya kuitana hivyo ni kuongeza manjonjo kwa mkeo
 
Back
Top Bottom