Mke kuitwa mama

Mke kuitwa mama

Usipende kuita wenzio punguani hujui yapi yamewakuta ndo wakaamua toa michango yao kwa thread husika.
Kama yamewakuta maana yake wamepungukiwa,usinifundishe maisha
 
Nimeshindwa kutoa fact maana mie huwa namuita mke wangu.
 
Ulikua hujui? Mvulie boxer mama yako Leo umuonyeshe kipele cha tako kama utaweza
Kumbe wale SENIOR BACHELORS hawatunzwi pale walipoishia mama zao eeh..!! Basi sawa.

Ila tukumbuke kwmb MAMA HAWEZI KUNIACHA na wala HATUTAACHANA kamwe, labda kifo kitutenganishe. Ila mke dakika yyt tu anasepa akipata green pasture....!!! So, hawez kuwa sawa na mama aisee....!!!
 
Unachojibu hukielewi
Huwezi ilinganisha heshma ya mwanaume bachelor (mvulana) na heshma aliyonayo mwanaume aliyeoa akawa na familia yake
Tatizo wanaume mnadhani ni nyie tu ndio mna mama, hata sisi wanawake tuna mama na hawezi fananishwa na chochote.
Mimi sijazungumzia suala la usawa hapa naomba usinilishe maneno...
Kaa ukijua Duniani kuna mwanamke wa utotoni ( mama) na mwanamke wa ukubwani (mpenzi,mke,gf etc.) Mama alifanyakazi yake kwako katika utoto wako alikuzaa, alikuogesha ,kukutawaza n.k lakini uliposhikwa na balehe tu ukaanza kumficha sehemu zako za mwili na kuanza kutafuta mwanamke wa ukubwani wa kumuonyesha na kukupa starehe,
N.B Ukiona unaacha mke jiulize Mara mbili mbili ulikosea wapi

Kumbe wale SENIOR BACHELORS hawatunzwi pale walipoishia mama zao eeh..!! Basi sawa.

Ila tukumbuke kwmb MAMA HAWEZI KUNIACHA na wala HATUTAACHANA kamwe, labda kifo kitutenganishe. Ila mke dakika yyt tu anasepa akipata green pasture....!!! So, hawez kuwa sawa na mama aisee....!!!
 
Haina haja ya kuquote mtu unayeona umemzid akili. Usinifundishe kukubali mawazo mgando yako. Mind your own business bana. Nimekoment ukawashwa kunijbu tena kwa kejeli.
Kama yamewakuta maana yake wamepungukiwa,usinifundishe maisha
 
Haina haja ya kuquote mtu unayeona umemzid akili. Usinifundishe kukubali mawazo mgando yako. Mind your own business bana. Nimekoment ukawashwa kunijbu tena kwa kejeli.
Huu mchezo hauhitaji hasira, kama hutaki kujibiwa weka kufuli
 
Ni heshima tu kati ya mke na mume ambayo wote wawili huitumia, na kuna baadhi hawapendi kuitana Baba na Mama wanataka waitane kutumia majina yao ya kwanza.
 
Kama hautaki challenge potezea. Kuita wenzio wajinga wakati nawe ni wale wale ni utoto.
Wwe u mtoto sana,sibishani na watoto Mimi ,jf challenge ni mahali pake sasa kama hutaki hizo challenge umefata nn hapa?
 
Hahaha unajijibu na kuuliza swali. Unajiwah kwel. Wewe utakua type ya wale wanaotishia wenzao kwa kuwaambia"unajua mimi ni nani bwana mdogo" wakati hata hana ka cheo ka uzoa taka mtaan kwao(jobless) pole wee

Hao watu hawapo kwa sasa inaonyesha walikutishia sana eeh! Pole sana
 
Uko na mkeo sehemu, halafu wanakuja marafiki unawatambulisha kuwa huyo ndiye mama. Imekaaje hii!
ni haramu kwa mume kumuita mke ww ni kama mama yangu au mke kumuiita mume ww ni kama baba yangu haifai kabisa labda aseme kabisa huyu ni mama wa watoto wangi lakin akisema tu huyu ni mama kwa kweli hapo hapo inakuwa ni haramu tena kumgusa huyo mwanamke kwa sababu kamfananisha na mama yake na niharamu mtu anaekuvulia nguo mkafanya tendo la ndoa kisha unamuita mama
je unaweza kufanya kitendo hicho na mama yako????
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Back
Top Bottom