mbeyakwetu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 723
- 396
jaman kumuita mama tu shida
Una hamu ya![]()
Ngumi ya muinua vyuma ati mie si mtu wa mchezo mchezoKama inatoka kwako, sina noma.
I see kweli wewe u mjinga (samahani kwa kusema hivyo) ila wapi nimesema uhamishe thamani ya mama yako?
Ngumi ya muinua vyuma ati mie si mtu wa mchezo mchezo
Usipate shida dini ya haki ilishabainisha hilo "Allah anasema!Wale miongoni mwenu wawaambiao wake zao kuwa wanawaona kama mama zao !hao si mama zao.Hawakuwa mama zao ili wale walio wazaa.wanasema neno baya na la uongo!Na Mwenyezi Mungu ni mwenye msamaha,mwenye maghfira.Uko na mkeo sehemu, halafu wanakuja marafiki unawatambulisha kuwa huyo ndiye mama. Imekaaje hii!
Shukran mwerevu. Umeomba samahani ili tu usipate ban. Samahani ya kinafiki my genius, mjenga point.
usinichekeshe mie leaky wewe unadhani mie naogopa ban?sasa kwa taarifa yako iyo imetoka MoyoniHayo ni Mawazo yako siwez yapinga, ila Mimi hubby aniitapo "mama naomba niandalie kitu Fulani" huwa najisikia fahari sanaMke ukimwita mama unamzeesha....bora umwite baby yaani mtoto.
Mapunguani mnajulikana tu, wanaume wasio jua thamani ya mke ni nini kauli zenu za hovyo huwa ni za wazi waz sana,Mkeo hawezi kuwa na thamani ya mama yako aliyekuzaa punguani we! Wala mama yako hawezi kuwa na thamani ya mkeo.
Mke tambulisha tu huyu ndiye mke wangua au mama wa watto wangu vinginevyo ukitumia Neno MAMA lazima lifatiwe na kisifa.
Yani mke anakutunza pale alipoishia mama yako?Aiseee!Mapunguani mnajulikana tu, wanaume wasio jua thamani ya mke ni nini kauli zenu za hovyo huwa ni za wazi waz sana,
*kwanza sijasema kama mkeo awe na thamani sawa na mama yako, nimesema unapomuita mama unampa uthamani ufananao na ile thamani ya mama yako!
*Pili sioni tatizo kama utampa thamani mkeo itakayoendana na thamani ya mama yako, kumbuka yeye (mama) alikuzaa akakulea mke anakutunza alipoishia mama yako, hivyo ni kama wamepokezana mbio za vijiti aliyeanza na kumalizia wote wamechangia ushindi
Ndio maana katika Dunia hii kuna Laana ya mama
Laana ya baba na
Laana ya mke , mkeo akikulaani kwa jambo la kweli basi madhara yake yataonekana hata kama si Leo
![]()
![]()
usinichekeshe mie leaky wewe unadhani mie naogopa ban?sasa kwa taarifa yako iyo imetoka Moyoni
Ulikua hujui? Mvulie boxer mama yako Leo umuonyeshe kipele cha tako kama utawezaYani mke anakutunza pale alipoishia mama yako?Aiseee!
Nguvu nyingi kwa mjadala huu huu ama?I don't care. Hoja yangu iko pale pale. Unatumia nguvu nyingi. Aisee pole.
Nguvu nyingi kwa mjadala huu huu ama?