Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,118
- 165,394
Bora umejisemea ukweli, hii kitu sio kwako tu.... I guess hata mtoa mada akiwa hana anakua best husband, akiwa nazo anaenda kula raha zikiisha anarudisha pmb home sasa kwanini asisemewe hivo??!!!Nikiwa sina hela nakuwa mume bora sana chini ya jua!
Kuna jamaa yeye alimwendea mke kwa mganga ili afilisike eti mke ana pesa sana hivo anakua na dharau.