Mke kufurahia anguko la Mume

Mke kufurahia anguko la Mume

Mnakuwaga mno na viburi mkiwa na vijipesa
Japo siwezi furahia mwanaume wangu anguko lake
 
Hahahah ulimbukeni unaponza sana bebe😂😂😂!!!

Ila kuna wanawake wengine kumzodoa mume ni kaliba yao, yani kila ufanyalo atakukejeli tu mwishowe unaamua umpuuze tu unafanya yako 😁
Hapo kumzodoa siyo vizuri kabisa !naimagine hiyo ndiyo familia yenu!mafanikio yake ni yako/yenu akifeli mmefeli wote why ufurahie for what?. Mke inatakiwa awe wa kwanza kumsupport kwa hali na mali mumewe ktk mazuri anayoyafanya.sasa asipopewa support na mke atapewa na nani?🤔 Ila na nyie waume basi ukifanikiwa kumbuka familia yako ili tusiwazodoe😀
 
Mi huwa naona ni kukosa shukurani tu kwa baadhi ya watu, bills zinalipwa mnakula na wanao ila still unaleta kejeli 😁😁😁!

Some women are really stupid out there, kwanini nisi bang na michepuko. Eti na hio kazi utafukuzwa tu...Hapo ndio utajua hujui!

Sawa but what was the cause hadi kufikia kufurahia anguko na kutokua na shukrani? Sidhani kama tangu mmeingia kwenye ndoa tu akaanza kuwa hivo! Lazima kuna kitu kimepelekea bana nyie wanaume nyie ukipata na mchepuko huko basi tabu tupu home chakula huli, unachelewa kurudi na hasira zaidi mchepuko unampigia mother house na kumtukana hana lolote dah. Lazima aombee hizo pesa zipungue amani irudi tu🤔
 
Katika maisha ya ndoa niliwahi kushuhudia mke wangu wakati fulani anafurahia magumu ninayopitia kazini (demotion na suspension). Tukigombana kidogo tu anabwatuka na utafukuzwa hiyo kazi. Lakini nashukuru Mungu leo hii nafuu kubwa Sana (nilipata kazi nyingine na mshahara mkubwa Zaidi). Wakati fulani nawaza akili za Hawa wanawake wa kichaga siwaelewi). Anyway, pamoja na yote bado tupo pamoja kwa miaka 21 sasa, toka 8 Januari 2000.
La ajabu siku nimepata kazi nzuri zaidi ndo wa kwanza kujibaraguza eti Hongera!!!
FUNZO:
Mume (hasa vijana) chase ur dream achana na maneno ya mke (akiwemo Mama Mkwe).
Yaani wanakuwaga na mineno ya ajabu sana...
 
Sawa but what was the cause hadi kufikia kufurahia anguko na kutokua na shukrani? Sidhani kama tangu mmeingia kwenye ndoa tu akaanza kuwa hivo! Lazima kuna kitu kimepelekea bana nyie wanaume nyie ukipata na mchepuko huko basi tabu tupu home chakula huli, unachelewa kurudi na hasira zaidi mchepuko unampigia mother house na kumtukana hana lolote dah. Lazima aombee hizo pesa zipungue amani irudi tu🤔
Hapo kweli tunayumbaga ila dah wanawake wetu msitubanie huduma jamani! Hili tatizo linaepukika kama mkiwajibika vyema katika nafasi zenu. Mtudekezege kama tulivyoanza mahusiano.
 
Kila kidogo unachopata enjoy na familia yako hata kama ni kidogo,kama unaenjoy na michepuko,unalewa,klabu na kusahau unafamilia.....mkeo yuko rafurafu tu hata kitenge hana....unadhani ataifurahia kazi yako.......
 
Katika maisha ya ndoa niliwahi kushuhudia mke wangu wakati fulani anafurahia magumu ninayopitia kazini (demotion na suspension). Tukigombana kidogo tu anabwatuka na utafukuzwa hiyo kazi. Lakini nashukuru Mungu leo hii nafuu kubwa Sana (nilipata kazi nyingine na mshahara mkubwa Zaidi). Wakati fulani nawaza akili za Hawa wanawake wa kichaga siwaelewi). Anyway, pamoja na yote bado tupo pamoja kwa miaka 21 sasa, toka 8 Januari 2000.
La ajabu siku nimepata kazi nzuri zaidi ndo wa kwanza kujibaraguza eti Hongera!!!
FUNZO: Mume (hasa vijana) chase ur dream achana na maneno ya mke (akiwemo Mama Mkwe).

Samaki ana mengi ya kusema ila mdomoni ana maji - Sunday Temba.

Pole sana mkuu ila funguka zaidi inaonekana kuna changamoto nyingi sana za ndoa unapitia.
 
Wanaume walio wengi wakitembelewa na pesa wanakuwa vit*mbi balaa, wanavitembeza mchana kutwa, familia inasahaulika.

Kuna ndg.yangu mmoja kabla hajapata shida kiafya alikuwa pombe, wanawake na yeye, nyimbani hakukaliki, kipato chake hakilingani na milo na maisha wanayoyaishi familia yake.

Baada ya kuugua almanusra achungulie kaburini, mke aliyemletea nyodo na dharau ndiye aliyehangaika nae. Kabadilika mpaka kufikia si mke tu hadi watoto wake kumshukuru Mungu kwa kumpitisha baba yao katika mtihani wa ugonjwa. Afya yake haimruhusu tena kunywa pombe.

Kama pesa inakupa kiburi kwanini usiombewe mabaya?
 
Katika maisha ya ndoa niliwahi kushuhudia mke wangu wakati fulani anafurahia magumu ninayopitia kazini (demotion na suspension). Tukigombana kidogo tu anabwatuka na utafukuzwa hiyo kazi. Lakini nashukuru Mungu leo hii nafuu kubwa Sana (nilipata kazi nyingine na mshahara mkubwa Zaidi).

Wakati fulani nawaza akili za hawa wanawake wa kichaga siwaelewi). Anyway, pamoja na yote bado tupo pamoja kwa miaka 21 sasa, toka 8 Januari 2000.

La ajabu siku nimepata kazi nzuri zaidi ndo wa kwanza kujibaraguza eti Hongera!

FUNZO:
Mume (hasa vijana) chase ur dream achana na maneno ya mke (akiwemo Mama Mkwe).
#Chase_your_dream#
 
Back
Top Bottom