Mke kufurahia anguko la Mume

Mke kufurahia anguko la Mume

Nna shemej angu mmoja aliwahi vunja vioo vyote vya gari ya mme wake.

Afu akajikausha kimya na yeye mwenyewe akawa anashangaa kilichotokea.

Jamaa akahisi labda majirani waswahili wamemfanyia fitna au jamaa aliekua na ugomvi nae bar siku za nyuma.

Kutokana na UCHUMI kutokua vizuri, jamaa ikabidi aipaki Kwanza gari uani.

Siku moja jamaa karud nyumban na bodaboda kasahau document ya ofisi.

Akabisha hodi hajafunguliwa, ikabid akagonge master bedroom.

Kufika dirisha, akaskia wife anaongea na sim.

Kuiskiliza kwa makin.
akaskia wife wake akimsimulia SHOGA ake jins alivyomkomesha mme wake kwa kumvunjia vioo vya gari sahv anatumia bodaboda na daladala na anawai kufika nyumban.

jamaa aliingia ndan akampiga Sana mkewe.

Mkewe kipigo kilipomzidia anakimbilia ukweni.

Kikawekwa kikao Cha usuluhishi.

Mwanamke akafunguka kua,
Tangu jamaa anunue gari nyumba imekua ya Moto.

Anapakia na kufanyia mapenz kwenye gari na wanawake.

Ameshamkamata mara tatu na Kukutana condom za kutosha ndani ya gari ila haskii.

Hasimamii Tena biashara za familia, matumizi ya gari yamekua no makubwa mno na hawaingizi chochote.

Walkua na biashara 3.

Ila ndani ya mwaka, imebaki biashara Moja. Na chanzo Ni mwanaume anachukua tu pesa.

Biashara ya baa ndo ilimuuma zaidi maana jamaa kama meneja akija mwanamke mzuri lazima akiaga anaondoka ataomba ampe lifti.

Akirudi kalewa chakali Ela zote za mauzo hana na gari kaigonga, Ela nyingine inatoka gereji kunyoosha gari.

Yaan mwanaume Ni kuzurura TU siku nzima viwanja vya starehe na wanawake.

Kwaiyo, akaona hii gari ikiendelea kuwepo kwenye hi familia italeta maafa zaidi.

Ndo maana akaaamua kuvunja vioo vyote maana anajua uwezo wa kuikarabati kwa Sasa hatuna.

Ukzingatia watoto wawili wamesimamishwa shule kutokana na ukosef wa ada, na jamaa alkua haoneshi kuguswa na ilo.

Aisee Kiukweli,
kwny kikao nlkua Ni mskilizaji TU maana wazee ndo walkua waamuz.
Ila kimoyomoyo nlimsapoti mwanamke kwa maana namjua vyema alivo jamaa angu akiwa na pesa.

SOMETIMES WANAWAKE WANAPITIA VIPIND VIGUM SANA. Tusiwabeze.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shemeji yako nimempenda bure.

Wifi yangu sijui anachelewa wapi kumfundisha adabu brother,😎
 
Katika maisha ya ndoa niliwahi kushuhudia mke wangu wakati fulani anafurahia magumu ninayopitia kazini (demotion na suspension). Tukigombana kidogo tu anabwatuka na utafukuzwa hiyo kazi. Lakini nashukuru Mungu leo hii nafuu kubwa Sana (nilipata kazi nyingine na mshahara mkubwa Zaidi). Wakati fulani nawaza akili za Hawa wanawake wa kichaga siwaelewi). Anyway, pamoja na yote bado tupo pamoja kwa miaka 21 sasa, toka 8 Januari 2000.
**La ajabu siku nimepata kazi nzuri zaidi ndo wa kwanza kujibaraguza eti Hongera!!!
FUNZO: Mume (hasa vijana) chase ur dream achana na maneno ya mke (akiwemo Mama Mkwe).
Ukiona hivyo kuna mahali ulishamnyanyasa na hiyo kazi. Jikague. Wako wanawake kibao tu wanaombea waume zao mabaya kwa sababu ya manyanyaso. Wengine wako kimya wanamupmba Mungu akomeshe mafanikio. Hivyo wanaume wote tujikague tena tukishapata usafiri ndiyo matatizo makubwa yanaanzia hapo. Tumesimamia ndoa nyingi na ikitokea shulida chanzo ni sisi wanaume. Sema sisi wasimamizi tunaongea kwa makini tusioneshe wanaume kuwa ndiyo wenye matatizo ili kuwapooza hao shemeji zetu.
 
Mkuu shida ilikua ni nini hadi afurahie anguko lako? Si vizuri kufurahia anguko la mtu yeyote yule ila unakuta kipindi hamkua na pesa mlikua mnaishi vizuri na kuthaminiana! Ila ulipoanza kupata vipesa ukabadilika si kama mwanzo,uko busy na michepuko huko. Anaona bora hizo pesa zisiwepo tu amani irejee kama mwanzo. Vipi Au ulikua mchoyo mkeo hafaidiki na chochote kwenye hayo mafanikio yako🤔🤔.
 
Kuna wanaume makipata pesa...wanayoyafanga...unaweza omba ufukara kwenye familia..

Mimi Kuna mtu namjua Kabisa...alikua ananiambia Mimi natomba watoto wadogo Wewe mkuubwa ...Sasa nikawa najiuliza huyu ananiambia Mimi dada yake haya mambo...nifanyaje na hii information..

Mke wake alikoma Sasa...maana wanawake kila kukicha..akapata mchepuko wa kichaga..masikini Kaka yangu yule... Mwanamke yule alimpelekesha mbaya...nikulewa tu Jumatatu Hadi ijumaa...nikufungua biashara na huyo mchaga zinakufa...

Nikumbadilishia magari bidada...bidada akiona shosti anagari jipya...na yeye andai ...anaenda mpaka ofisini anatema beat kwa wafanyakazi wakike.

LOOOH...mke wake amehaha nakuhaha...saiv anakesi kabambe...mke amekaa kimya TU...Anafanya mambo yake...
Anasema wakati anahela aliyonifanyia saiv Hana akapambane na mchaga wake..

Namoumbea mambo yake yaishe salama arudi kazini.
 
ukiona mwanamke anasema hivyo ujue wewe ni mzinzi/ aka kito.mbi na anadhani fedha ndio sababu ya uzinifu wako.
 
Nna shemej angu mmoja aliwahi vunja vioo vyote vya gari ya mme wake.

Afu akajikausha kimya na yeye mwenyewe akawa anashangaa kilichotokea.

Jamaa akahisi labda majirani waswahili wamemfanyia fitna au jamaa aliekua na ugomvi nae bar siku za nyuma.

Kutokana na UCHUMI kutokua vizuri, jamaa ikabidi aipaki Kwanza gari uani.

Siku moja jamaa karud nyumban na bodaboda kasahau document ya ofisi.

Akabisha hodi hajafunguliwa, ikabid akagonge master bedroom.

Kufika dirisha, akaskia wife anaongea na sim.

Kuiskiliza kwa makin.
akaskia wife wake akimsimulia SHOGA ake jins alivyomkomesha mme wake kwa kumvunjia vioo vya gari sahv anatumia bodaboda na daladala na anawai kufika nyumban.

jamaa aliingia ndan akampiga Sana mkewe.

Mkewe kipigo kilipomzidia anakimbilia ukweni.

Kikawekwa kikao Cha usuluhishi.

Mwanamke akafunguka kua,
Tangu jamaa anunue gari nyumba imekua ya Moto.

Anapakia na kufanyia mapenz kwenye gari na wanawake.

Ameshamkamata mara tatu na Kukutana condom za kutosha ndani ya gari ila haskii.

Hasimamii Tena biashara za familia, matumizi ya gari yamekua no makubwa mno na hawaingizi chochote.

Walkua na biashara 3.

Ila ndani ya mwaka, imebaki biashara Moja. Na chanzo Ni mwanaume anachukua tu pesa.

Biashara ya baa ndo ilimuuma zaidi maana jamaa kama meneja akija mwanamke mzuri lazima akiaga anaondoka ataomba ampe lifti.

Akirudi kalewa chakali Ela zote za mauzo hana na gari kaigonga, Ela nyingine inatoka gereji kunyoosha gari.

Yaan mwanaume Ni kuzurura TU siku nzima viwanja vya starehe na wanawake.

Kwaiyo, akaona hii gari ikiendelea kuwepo kwenye hi familia italeta maafa zaidi.

Ndo maana akaaamua kuvunja vioo vyote maana anajua uwezo wa kuikarabati kwa Sasa hatuna.

Ukzingatia watoto wawili wamesimamishwa shule kutokana na ukosef wa ada, na jamaa alkua haoneshi kuguswa na ilo.

Aisee Kiukweli,
kwny kikao nlkua Ni mskilizaji TU maana wazee ndo walkua waamuz.
Ila kimoyomoyo nlimsapoti mwanamke kwa maana namjua vyema alivo jamaa angu akiwa na pesa.

SOMETIMES WANAWAKE WANAPITIA VIPIND VIGUM SANA. Tusiwabeze.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yako ni limbukeni wa ajabu 😁😁😁 kwa akili hizo hastahili kuwa na mke kabisa pumbavu zake.
 
Mkuu shida ilikua ni nini hadi afurahie anguko lako? Si vizuri kufurahia anguko la mtu yeyote yule ila unakuta kipindi hamkua na pesa mlikua mnaishi vizuri na kuthaminiana! Ila ulipoanza kupata vipesa ukabadilika si kama mwanzo,uko busy na michepuko huko. Anaona bora hizo pesa zisiwepo tu amani irejee kama mwanzo. Vipi Au ulikua mchoyo mkeo hafaidiki na chochote kwenye hayo mafanikio yako🤔🤔.
Hahahah ulimbukeni unaponza sana bebe😂😂😂!!!

Ila kuna wanawake wengine kumzodoa mume ni kaliba yao, yani kila ufanyalo atakukejeli tu mwishowe unaamua umpuuze tu unafanya yako 😁
 
Mkiwa na vihela huwa hamshikiki, anaona bora zipungue amani upendo na humbleness inarejea
Hahahah hivi kwanini wanawake mnachukia mtu akiwa na mipunga 😂 acheni roho mbaya jamani! Ila kila siku naskia hizi kauli eti we siku ukiwa na hela nyingi utantesa sana yani nawaza kwanini huyu mtu anasema hivi😁,,,kisha nakumbuka alichoimba baba tunda kuhusu aliwazalo mjinga!
 
Back
Top Bottom