Mke kufurahia anguko la Mume

Mke kufurahia anguko la Mume

Hadi mke akambie hivyo lazima kuna sababu kubwa na wewe ndo chanzo. Na kumuacha huwezi maana unatambua kabisa yupo sahihi chanzo ni wewe
Wanawake wwngine wana wivu tu anataka ufulie ili akutawale,wamezaliwa kwenye familia ambazo wameona mama zao ndo wana dominate territory.
 
Achana nae
Ndo nilivyofanya sahii Niko kwa mchepuko,
2478573_tapatalk_1591379075690.jpeg
 
Yaani kuna hawa wa upande wa pili akipata hela mpaka milango inafahamu

Akikosa anakuwa humble mpaka unatamani awe forever jobless
Yani haitaji kujitambulisha status, zikiwepo kwanza home hapakaliki zikiisha home panakua kama mgonjwa na wodi yani....😁
 
Katika maisha ya ndoa niliwahi kushuhudia mke wangu wakati fulani anafurahia magumu ninayopitia kazini (demotion na suspension). Tukigombana kidogo tu anabwatuka na utafukuzwa hiyo kazi. Lakini nashukuru Mungu leo hii nafuu kubwa Sana (nilipata kazi nyingine na mshahara mkubwa Zaidi).

Wakati fulani nawaza akili za hawa wanawake wa kichaga siwaelewi). Anyway, pamoja na yote bado tupo pamoja kwa miaka 21 sasa, toka 8 Januari 2000.

La ajabu siku nimepata kazi nzuri zaidi ndo wa kwanza kujibaraguza eti Hongera!

FUNZO:
Mume (hasa vijana) chase ur dream achana na maneno ya mke (akiwemo Mama Mkwe).
kiukweli kizazi hik hakuna mke ni watoa huduma na vizaaji tuu
 
Mimi naona wanawake wa kiislamu wanaheshimu sana ndoa kuliko wa kikristo..

Mume ukiwa na hela ndoa ya kiislamu ni nzuri sana
nani amekuambia mume ukiwa hela ndoa inakuwa mbaya? hata kwa wapagani inakuwa nzr acha matabaka ya kidini mkuu
 
Katika maisha ya ndoa niliwahi kushuhudia mke wangu wakati fulani anafurahia magumu ninayopitia kazini (demotion na suspension). Tukigombana kidogo tu anabwatuka na utafukuzwa hiyo kazi. Lakini nashukuru Mungu leo hii nafuu kubwa Sana (nilipata kazi nyingine na mshahara mkubwa Zaidi).

Wakati fulani nawaza akili za hawa wanawake wa kichaga siwaelewi). Anyway, pamoja na yote bado tupo pamoja kwa miaka 21 sasa, toka 8 Januari 2000.

La ajabu siku nimepata kazi nzuri zaidi ndo wa kwanza kujibaraguza eti Hongera!

FUNZO:
Mume (hasa vijana) chase ur dream achana na maneno ya mke (akiwemo Mama Mkwe).

Kama kweli hujamkosea chochote basi huyo Mwanamke wako huyo (sio wote) hakupendi kabisa anapenda tu Mali na Pesa, anataka aone tu kuwa unacho, wakati kukosa pia ni sehemu ya maisha

Ni Mjinga mmoja

Hakupendi huyo, ingekuwa mimi akiniambia hivyo then nikifanikiwa namuacha namuoa mwingine baas.
 
Mimi naona wanawake wa kiislamu wanaheshimu sana ndoa kuliko wa kikristo..

Mume ukiwa na hela ndoa ya kiislamu ni nzuri sana
Heshima ya ndoa sio dini ni tabia ya Mtu. Huku nilipo wapo wanawake wa kiislam wahuni sanaaa lakini wanaingia Masjid kutwa

Wana unafiki sana
 
Back
Top Bottom