and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,114
Mwanaume pambania ndoto zako
Dah mkuu una moyo, umeoa Mchagga na kukaa naye miaka yote hiyo? Uko sawa kichwani lakini?Katika maisha ya ndoa niliwahi kushuhudia mke wangu wakati fulani anafurahia magumu ninayopitia kazini (demotion na suspension). Tukigombana kidogo tu anabwatuka na utafukuzwa hiyo kazi. Lakini nashukuru Mungu leo hii nafuu kubwa Sana (nilipata kazi nyingine na mshahara mkubwa Zaidi).
Wakati fulani nawaza akili za hawa wanawake wa kichaga siwaelewi). Anyway, pamoja na yote bado tupo pamoja kwa miaka 21 sasa, toka 8 Januari 2000.
La ajabu siku nimepata kazi nzuri zaidi ndo wa kwanza kujibaraguza eti Hongera!
FUNZO: Mume (hasa vijana) chase ur dream achana na maneno ya mke (akiwemo Mama Mkwe).
Nikiwa darasa la nne mke wa kakaangu aliniambia kwa hasira,ukiolewa muombee mumeo apate hela ya kula tu msishinde na njaa mengine ni mitihani tu,ile ndoa ilikufa kadri rizki ilivyoongezeka.Mkiwa na vihela huwa hamshikiki, anaona bora zipungue amani upendo na humbleness inarejea
Kwa maana hela ya kakaako ndio ilivunja ndoaNikiwa darasa la nne mke wa kakaangu aliniambia kwa hasira,ukiolewa muombee mumeo apate hela ya kula tu msishinde na njaa mengine ni mitihani tu,ile ndoa ilikufa kadri rizki ilivyoongezeka.
Tulia wewe acha kuponda 😂 yani sie grisi la Matumbi? Ooh Jesus is Lord!!!Wanaume mnapenda kujiliza liza humu ili mpate sympathy ya wanaume wenzenu...lakini mna tabia chafu sana narudia tena mna tabia chafu kama grisi la matumbi... especially mkipata visenti
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kabisa na baada ya hapo alioa ndoa nne na zote zilikufaKwa maana hela ya kakaako ndio ilivunja ndoa
Sawa mkuuTulia wewe acha kupondayani sie grisi la Matumbi? Ooh Jesus is Lord!!!


MmhKabisa na baada ya hapo alioa ndoa nne na zote zilikufa
Kwahiyo mko happy sasa? Na wewe olewa na msukuma mkokoteni asikusumbuwe.Kabisa na baada ya hapo alioa ndoa nne na zote zilikufa
Mbona umetuhukumu kakaangu!!!Kwahiyo mko happy sasa? Na wewe olewa na msukuma mkokoteni asikusumbuwe.
Aliyehukumu ni mke wa kaka yako, na maneno huumba.Mbona umetuhukumu kakaangu!!!
Unambariki vipi mtu anayekupa maumivu Jan-Dec?Aliyehukumu ni mke wa kaka yako, na maneno huumba.
Ukisikia wanawake nuksi na mkosi ni pamoja na huyo mke wa kaka yako, hakuwa na cha kumbaliki mume wake.
😂😂😂😂Labda wanawake wa kiislamu wa Asia ila sio hawa wa kwetu wa buza
Unajidanganya sana. Vuka maji nenda zanzibar na pemba.Mimi naona wanawake wa kiislamu wanaheshimu sana ndoa kuliko wa kikristo..
Mume ukiwa na hela ndoa ya kiislamu ni nzuri sana
😅😅😅😅jamaa una hasira sanaYaani angekua wangu saivi angekua kwao mwaka wa ishirini.