Mke kufurahia anguko la Mume

Mke kufurahia anguko la Mume

Katika maisha ya ndoa niliwahi kushuhudia mke wangu wakati fulani anafurahia magumu ninayopitia kazini (demotion na suspension). Tukigombana kidogo tu anabwatuka na utafukuzwa hiyo kazi. Lakini nashukuru Mungu leo hii nafuu kubwa Sana (nilipata kazi nyingine na mshahara mkubwa Zaidi).

Wakati fulani nawaza akili za hawa wanawake wa kichaga siwaelewi). Anyway, pamoja na yote bado tupo pamoja kwa miaka 21 sasa, toka 8 Januari 2000.

La ajabu siku nimepata kazi nzuri zaidi ndo wa kwanza kujibaraguza eti Hongera!

FUNZO:
Mume (hasa vijana) chase ur dream achana na maneno ya mke (akiwemo Mama Mkwe).
pole Sana mkuu.mm pia ni mhanga,wife wngu niwa uchagani pia ROMBO huko,ila daa!!! naona nisiongee chochote,maana nikikumbuka nabaki kusema ningejua.kinachonishangaza daa eti ni mlokole,na kanisani kwao ni mzee wa kanisa ,hapo ndo naishiwa nguvu kabisa.jamani nisiseme zaidi.
 
Je, ulikuwa ukiichezea, pengine alikuwa akikutahadhari na wewe kuchukulia kuwa anafurahia au kukutakia mabaya?
 
Huku ni mke mmoja hadi 'ziraili' atutenganishe, huku ni wanne na talaka tatu muda wowote... utakuwa umeelewa!
mm ni mkristo,lakini katka watu ambao ni wanajitahid uaminifu nfani ya ndoa ni Muslim,Christian mmoja jina tu lakini uamifu zero kabisa,na Christian hao hao wanaongoza kuwa na watoto vishoka,yaan una watoto 5 lakini wawili sio wako,mkeo kazaa na jirani yako au rafiki yako.
 
pole Sana mkuu.mm pia ni mhanga,wife wngu niwa uchagani pia ROMBO huko,ila daa!!! naona nisiongee chochote,maana nikikumbuka nabaki kusema ningejua.kinachonishangaza daa eti ni mlokole,na kanisani kwao ni mzee wa kanisa ,hapo ndo naishiwa nguvu kabisa.jamani nisiseme zaidi.
Tena hao Walokole ndo balaa zaidi.
 
Katika maisha ya ndoa niliwahi kushuhudia mke wangu wakati fulani anafurahia magumu ninayopitia kazini (demotion na suspension). Tukigombana kidogo tu anabwatuka na utafukuzwa hiyo kazi. Lakini nashukuru Mungu leo hii nafuu kubwa Sana (nilipata kazi nyingine na mshahara mkubwa Zaidi).

Wakati fulani nawaza akili za hawa wanawake wa kichaga siwaelewi). Anyway, pamoja na yote bado tupo pamoja kwa miaka 21 sasa, toka 8 Januari 2000.

La ajabu siku nimepata kazi nzuri zaidi ndo wa kwanza kujibaraguza eti Hongera!

FUNZO:
Mume (hasa vijana) chase ur dream achana na maneno ya mke (akiwemo Mama Mkwe).
Umekosea kusema wanawake wa kichagga, actually wanawake wengi wanafanana. Ndio maana tukaambiwa tuishi nao kwa akili. Kwahiyo chagua uchaguavyo lakini kumbuka kuishi nao kwa kutumia bongo masaa 24 siku Saba kwa wiki
 
Katika maisha ya ndoa niliwahi kushuhudia mke wangu wakati fulani anafurahia magumu ninayopitia kazini (demotion na suspension). Tukigombana kidogo tu anabwatuka na utafukuzwa hiyo kazi. Lakini nashukuru Mungu leo hii nafuu kubwa Sana (nilipata kazi nyingine na mshahara mkubwa Zaidi).

Wakati fulani nawaza akili za hawa wanawake wa kichaga siwaelewi). Anyway, pamoja na yote bado tupo pamoja kwa miaka 21 sasa, toka 8 Januari 2000.

La ajabu siku nimepata kazi nzuri zaidi ndo wa kwanza kujibaraguza eti Hongera!

FUNZO:
Mume (hasa vijana) chase ur dream achana na maneno ya mke (akiwemo Mama Mkwe).
Point ya mwisho ndio ya maana chase your dream the rest achana nayo, Ayubu mke wake alisema mkufuru Mungu, kumbuka ya Sara ndiye aliyemshawishi Ibrahim kuzaa na mjakazi wake kabla hatujasahau hayo hata Rahel alimwambia hivyo Yakobo kabla hatujaenda mbali ni mwanamke huyo huyo alimfanya Adamu akasahau maagizo ya Mungu, usije ukashangaa kwanini Abrahamu hakumwambia mke wake juu ya kafara aliyotaka kuifanya kwa mwanawe Isaka my point is some times wanatia moyo some times wanakatisha tamaa ishi nao kwa akili
 
Mimi naona wanawake wa kiislamu wanaheshimu sana ndoa kuliko wa kikristo..

Mume ukiwa na hela ndoa ya kiislamu ni nzuri sana
Mkuu nakuunga mkono na miguu kabisa,
Ukioa mwislam jua umeoa mke, wale wanafunzwa nini maana ya ndoa, hata mawaidha ya kiislam misikitini huko kila ijumaa sehemu kubwa ya mawaidha yanahusu nini maana ya ndoa na familia kiujumla,

Sio sisi, muda mwingi ni Yakobo alifanya hivi mala Yohana mala sijui nini,
Yaani shida tupu, kwanza hawana tamaa za kijinga, yeye watoto wakishiba na yeye awe na vinguo vyake kwisha habari. Sasa umjengee na nyumba hapo umemaliza,

Hongereni sana Wanawake wa kiislam
 
Takbiir
 
Back
Top Bottom