Niliona taarifa kwa Millard ayo ikisena mazishi ya Bilionea wa madini (Arusha) yamezuiwa na mke kwasababu mke alidai hakushirikishwa kwenye taratibu za mazishi, mke akaamua kwenda Mahakamani ili kuzuia mazishi yasifanyike ili apewe kibali Cha yeye kusimamia mazishi hayo.
Leo taarifa inasema tayari marehem amezikwa baada ya mke kushinda kesi mahakamani na mazishi yamefanyika kwenye eneo ambalo mke ametaka litumike..
HII IMENICHANGANYA SANA MIMI
Kwanini mwanamke azuie mazishi ambayo ndugu zake wa damu wanataka kumfanyia ndugu yako. Nazani huyo marehem alikuwa na mama baba na kaka pamoja na dada zake wa damu kabisa. Nadhani ndugu wa damu ndio wanafaa kusimamia mazishi ya ndugu yao.
Binafsi naona mke hana nafasi ya kujiamulia kumzika mume wake mahali anapo pataka yeye ndio maana Kuna makaburi ya ukoo, HII IMENIUMA SANA MKE AMEZURUMU UHALALI WA NDUGU KUMZIKA NDUGU YAO. Huyo mke mwenyewe ataolewa na Mwanaume mwingine na maisha yataendelea.