Mkasa wa kweli: Kisiwa cha harishi

Mkasa wa kweli: Kisiwa cha harishi

Hivi ulivyosema mkasa wa kweli umemaanisha nini
 
Mshikaji alienda comoro alimuoa yule Demu wakapata Mtoto wa kike, mtoto wa kike naye kaolewa akataga mtoto wa kiume, mshikaji alizeeka sana mwisho Akavuta akiwa na miaka 80 alimuacha mkewe Bibi.
 
Wavuvi wanapenda kula hawa sijapta kuona, wako kwenye hatari lakini wanagonga menu tu!!
 
Jamaa mbona umetuacha hewani? Kila saa tunakuja kuchungulia huku hamna kitu.......
 
Palinidanganya pale kwenye hii ni story ya kweli. Nikawa makini sana kumbe ndio nshaliwa
 
Back
Top Bottom