Mkasa wa kweli: Kisiwa cha harishi

Mkasa wa kweli: Kisiwa cha harishi

Eti mkasa wa kweli..............hivi watunga hadithi lini mtaacha kutudanganya???
 
Mm Nasoma tuu Comment then Nacheka Kwa Dharauuuu,, Mzee Babaa Deception alisha Maliza Kazi Kitaaamboo. Kama hujamuelewa Deception utapata tabu Sana Na Dunia Ya Wakubwa Wanaojua Maslahi Ya Matumbo Yao Na familia Zao,,
deception na huu uzi wana nasaba ipi !!? sasa !!?
 
Hahahah na atakuja kweli,we jiandae kupokea furushi la mapovu! Si unamjua wenge lake? Hachelewi kusema wewe ni Me
aniambie mara ngapi??? Ananambia me nina undugu na james delicious nikamwwanbia wala s ndugu yangu na huyo james ndio mm mwenyewe
 
Back
Top Bottom