Mkasa wa kweli: Kisiwa cha harishi

Mkasa wa kweli: Kisiwa cha harishi

we ni noma jamaa yangu,nipo macho kodo nafuatilia uzi huu hadi mwisho,
 
Sasa hapo ndo unataka kusemaje vilee??
Kwamba atashindwa simulia tena au?. Maana kuna mahali hii story ilishawahi wekwa na ilipofika hapo alipofikia msimulizi wetu jamaa kwenye blog yake akaandika kwa muendelezo wa story hiyo basi mtu ajipatie kitabu husika.

Sasa mtoa mada atuweke wazi kama yeye anayo hadithi yote ili tuendelee subiri tukijua kila kitu kiko sawa.
 
Mwanaume kutumia X badala ya Z au S ni umama.weka story tuone huyo mluga luga alivyofeli
mluga luga ' Anaambiwa hana. hati ya kusafiria then ana kubali tu"... Tangu lini Muhanga akahitajika kuwa na hati "... imekula kwake Aisee
 
Unaona kanungile nilikueleza from the beginning.kuwa huwa unatuacha kati2 sijawahi soma story zako.zikifika tamatiii😥
 
SEHEMU YA 31

Mwandishi: “Mtakuwa mnaishi wapi
mtakapooana, Zanzibar au Comoro?’
Zahrani : “Popote tu tutakapokubaliana”
Mara tu baada ya waandishi wa habari kuondoka maofisa usalama kutoka ikulu ya Zanzibar walinitambulisha kwamba umefika wakati ambapo nitaachana na Yasmin kwa vile muda wa safari yao ya kurudi Comoro ulikuwa umefika.
Kauli ile ilinivunja moyo hasa kwa vile nilitegemea kuondoka na Yasmin. Yasmin akawaomba maofisa hao waniache niende naye Comoro.
“Hatumzuii mtu yeyote kwenda mahali popote anapotaka ila Zahrani hana hati ya kusafiria” Afisa mmoja alimwambia Yasmin.
sasa endelea...
Ilikuwa kweli sikuwa na hati ya kusafiria na hata Yasmin hakuwa nayo lakini kwa vile aliingia Zanzibar kidharura alilazimika pia kuondoka kidharura.
Yasmin akanitazama kwa butwaa.
“Hivi huna hati ya kusafiria?” akaniuliza.
“Sina” nikamjibu huku nikitikisa kichwa.
“Kuna kipindi ulikuja Comoro, ulifikaje bila ya hati?”
“Sina maana kwamba sina kabisa. Hati yangu ya kusafiria iko pemba”
“Kumbe unayo. Sasa tutafanyaje?”
“Amua wewe”
“Sasa sikiliza” Yasmin alitaka kusema kitu lakini akasita na kumtazama kaka yake. “Kaka kama una dola mia tano mpatie Zahrani zimuwezeshe kuja Comoro”
Umar alitoa dola mia tano hapo hapo na kunipa.
“Hizo zitakuwezesha kwenda Pemba kuonana na ndugu zako na kujiandaa kwa safari ya kuja Comoro siku yoyote utakayopenda” Yasmin akaniambia.
Umar akanipa namba za simu za kuwatambulisha wakati nitakapokwenda Comoro.
Nilikubaliana na Yasmin kwa shingo upande. Mwenyewe alijua kuwa sikuridhika kuniacha Zanzibar ingawa nilipatiwa nauli ya kwenda Comoro siku nitakayopenda kuondoka.
Baada ya Yasmin kuniambia hivyo aliishia kunitolea tabasamu lenye mchanganyiko wa furaha na majonzi.
Mimi sikuweza kutabasamu. Kwa siku chache nilizokuwanaye nilikuwa nimeshamzoea Yasmin. Kitu muhimu ambacho nitakikosa kwake ni ile hewa ya mwili wake. Alikuwa na hewa tamu nay a kusisimua ambayo huisikia kila ninapokuwa karibu naye.
Hewa ile ilikuwa inaniliwaza kuliko manukato ambayo hujitia mwilini mwake.
“Nitasubiri. Sina la kufanya” nikamwambia kwa sauti nzito ya huzuni.
“Tutakutana mahabuba wangu. Sitakuacha” Yasmin akaniambia kwa sauti ya chini. Hakutaka isikiwe na wengine.
Sasa msafara ulikuwa unakwenda kiwanja cha ndege. Na mimi nililazimika kuwasindikiza nikiwa pamoja na maofisa usalama.
Giza lilikuwa limeshaanza kuingia na taa za mji wa Unguja zilikuwa zimewashwa. Tulikuwa katika basi dogo ambalo liliweza kutupakia sote. Gari la maofisa usalama lilikuwa limetutangulia.
Tilipofika kiwanja cha ndege niliagana na kaka wa Yasmin kisha nikaagana na Yasmin mwenyewe. Kwa mara ya kwanza Yasmin hakuona aibu kunikumbatia mbele ya macho ya kaka yake.
Kwa mujibu wa tamaduni za Wangazija wa Comoro, kitendo hicho kwa watu wa jinsia tofauti ambao si ndugu kilikuwa ni cha faragha sana. Lakini Yasmin alikifanya kuonesha mapenzi yake kwangu.
Wakati ananiachia aliupeleka haraka mkono wake kwenye macho yake kufuta machozi yaliyoanza kumtiririka.
Kwaheri, tutaonana” akaniambia na kunisisitizia “Nitakusubiri Comoro. Usichelewa kuja. Usiwe na majonzi, tutaonana”
Yasmin alijaribu kutabasamu licha ya uso wake kujaa huzuni. Tabasamu lake lilinifariji sana.
Maofisa usalama walikuwa wakimtazama Yasmin alivyokuwa ananiaga kabla ya kugeuka na kuungana na wenzake’
Sikuondoka hapo kiwanjani hadi ndege waliyosafiri kina Yasmin iliporuka na kuanza safari.
Nilijisikia mwenye majonzi sana lakini nilijikaza.
“Wewe hujui kama yule ni binti wa rais?” Afisa usalama mmoja aliniuliza wakati tunaondoka kiwanjani hapo.
“Ninajua” nikamjibu.
“Sasa mbona unataka kututia aibu. Unataka kwenda naye wapi?”
Swali hilo lilinikera sana. Nikamtazama yule afisa usalama aliyetaka kunishushua.
“Yeye ndiye aliyeomba aondoke na mimi” nikamwambia.
“Wewe pia si ulikuwa unataka kwenda?”
Nilijua kuwa yule afisa alikua ameona donge. Nilitaka kumuuliza “Sasa kinakuuma nini?” lakini nilimstahi. Nikamwambia. “Ni baada ya yeye kutaka aondoke na mimi”
“Sasa yule ni binti wa rais, wewe huwezi kufuatana naye. Ukifika huko utasema nini?”
Niliona nisijibizane naye. Nikaamua kubaki kimya.
Maofisa hao walinipakia kwenye gari na kunirudisha kule hoteli. Wakaniambia nitalala pale na asubuhi nirudi Pemba.
“Tutakufuata asubuhi tukupeleke bandarini” Afisa mmoja akaniambia.
Nikamjibu “Sawa”
Nililala pale hoteli. Usiku kucha nilikuwa namuwaza Yasmin. Asubuhi simu iliyokuwa mle chumbani ikaita. Nilipoipokea niliambiwa nipokee simu yangu kutoka Comoro.
Hapo hapo nilisikia sauti niliyoitambua kuwa ni Yasmin ikinisalimia.
“Subalheri muadhamu (asubuhi njema mpendwa)”
“Subalnuur azizi (asubuhi yenye nuru mremo)” Kwa kutaka kuhakikisha kuwa alikuwa Yasmin nikamuuliza “Wewe ni Yasmin?”
“Naam, ndiye mimi. Nilitaka kukujulia hali”
“Nashukuru, mie sijambo. Je mlifika salama?”
“Alhamdulilahi. Tulifika salama. Nimekutana na wazazi wangu na ndugu zangu na pia wananchi wenzangu. Wamefurahi kuniona na mimi nimefurahi kuwaona. Kumbe bado uko hapo hoteli?”
“Ninaondoka hii asubuhi kwenda Pemba na mimi nikaonane na wazazi wangu pamoja na ndugu zangu. Najua wameshanikatia tama”
“Ni kweli. Basi ukifika unaweza kunipigia kwa kutumia zile namba ulizopewa na kaka”
“Sawa, nitakupigia”
“Ongea na mama yangu”
Mara nikasikia sauti nyingine ikiniuliza. “Hujambo mwanangu?”
“Sijambo mama. Habari za huko?’
“Huku ni salama. Unajisikiaje hali yako?”
“Hali yangu ni nzuri. Nashukuru”
“Pole sana kwa masahibu yaliyowafiaka”
“Tumeshapoa mama”
“Tunakusubiri kwa hamu huku. Utakuja lini?”
“Siku ya kuja nitawambia. Kwanza nataka nifike Pemba nikawaone wazazi na ndugu”
“Basi utatujulisha siku utakayokuja tukupokee”
“Asante mama. Nitawajulisha”
“Nampa simu Yasmin”
“Haya mpe”
“Hallo Zahran!” Sauti ya Yasmin ikasikika.
“Ndiyo Yasmin”
“Usijali kuwa mbali nami, ishallah tutakuwa pamoja. Nimeshamueleza mama yangu kilicho ndani ya moyo wangu kuhusu wewe”
Aliponiambia hivyo, mwili wangu ulisisimka.
“Hakuna tatizo Yasmin. Wewe pia usijali”
“I miss you” Yasmin akaniambia kwa kingreza.
“Sikujua jinsi ya kujibu, nikabaki kucheka. Yasmin naye akacheka.
“Bye bye (baibai): akaniaga.
“Bye…”
Simu ikakatwa.
Je Zahrani ambaye ni mvuvi na masikini asiye na elimu atamuoa Yasmin binti wa rais?

Kiingereza!
 
Kaka endelea na story au umeenda comoro
 
Mm Nasoma tuu Comment then Nacheka Kwa Dharauuuu,, Mzee Babaa Deception alisha Maliza Kazi Kitaaamboo. Kama hujamuelewa Deception utapata tabu Sana Na Dunia Ya Wakubwa Wanaojua Maslahi Ya Matumbo Yao Na familia Zao,,
 
Back
Top Bottom