Mkapa aomba suluhu kwa Nyerere

Mkapa aomba suluhu kwa Nyerere

Huyu mzee amejiaibisha sana!ameanza kuwafanya Watanzania kuamini kauli ya V.Nyerere juu ya kulazimisha kupelekwa kwa Mwl Nyerere nchini Uingereza na si ktk nchi za kijamaha kama ilivyotaka familia,ukiangalia jibu la Madaraka juu ya suala ili utagundua ni kweli kuna giza limejificha juu ya suala la kumpeleka Mwalimu nchini Uingereza!Madaraka ameepuka kuibua mengineyo tu
 
Sipo upande wowote hapa.
Lakini habari ya kuwa huyu ni mwanafamilia au ni ukoo ni la mambo ya lugha tu. Mkapa kwa mtizamo wake kama mmoja warithishwa uwanafamilia wa Mwalimu Julius K. Nyerere huenda ni kweli hakuwahi kumwona Vicent kama mwanafamilia. Vilevile katika mila za baadhi ya makabila ya kiafrika ukoo unachukuliwa kama ni familia, kwa hio Vicent naye ni mwanafamilia ya Julius K. Nyerere.
Hivyo basi swala hili halina mshiko kwa wanaArumeru. WanaArumeru wanahitaji kusikia sera zitakazowaletea maendeleo ya haraka na kuondoa kero zinazowasumbua wananchi. Mungu uwasaidie wanaArumeru kupata kiongozi mzuri kwa miaka iliyobaki mitatu.

Hebu jiulize aliyeanza siasa za maji taka ni nani kama siyo huyu mkimbizi na mfilisi wa nchi yetu njomba nkapa.
Badala ya kunadi sera za ccm, kaanza kumshambulia mtu as a person. Nambie katika uzinduzi wa kampeni za cdm, nani alishambuliwa in person? Na hao ccm wangekaa kimya?
Akuanzaye mmalize, na jeshini kuna slogan moja, adui akija na platoon, unampelekea kombania kabisa.
Kwa hili mkapa alistahili, na pengine zaidi ya hapo.
 
mi naona BMW nae akifuate tu kitanzi ili tuende sawa, manake uki m kill mwenzako wew unataji ufanywe nin????????/
 
Tena katika yale maziko Ndugu Mkapa alikuwa hali yake siyo nzuri sana,alimfika kwa kujikongoja,kwa vile rafiki yake Josephat alikuwa amekufa,kwa hiyo haikubaliki kwamba mtoto wa Josephat kuongea maneno kama haya. Halafu ukiwatuhumu watu kwamba wameua,wanaweza kukupeleka mahakamani.

Kama Josephat alikuwa ni rafiki yake Mkapa, ilikuwaje asijue uwepo wa VN??
 
C amepigiwa apokee sasa
Alimkana hadharani kwamba si wa familia ya Nyerere, tunamtaka arudi kule kule Arumeru akawaombe msamaha wananchi aliowadanganya hadharani na kumpigia makofi. Asituletee ujinga hapa!
 
Huenda Mkapa alimaanisha kuwa familia ni BABA,MAMA na watoto. Hiyo ndiyo iliyompelekea atamke kuwa VN si katika miongoni mwa familia ya JKN!
 
cdm cdm cdm!kule ameguswa slaa na mbowe mumekuwa mbogo sana,halfu mnakurupuka tu,kwl watu kama nyie mpewe nchi,dr slaa angekuwa na akil finyu kama zenu leo hii cdm isingekuwa hapo.Jaribuni kujheshmu muwe fair pia

soma kwa sauti hz heruf hapa chni.usiwe na aibu. Elimu kwa watu wazima ina ruhusiwa. Haya anza kusoma
a e i o u.
 
Sipo upande wowote hapa.
Lakini habari ya kuwa huyu ni mwanafamilia au ni ukoo ni la mambo ya lugha tu. Mkapa kwa mtizamo wake kama mmoja warithishwa uwanafamilia wa Mwalimu Julius K. Nyerere huenda ni kweli hakuwahi kumwona Vicent kama mwanafamilia. Vilevile katika mila za baadhi ya makabila ya kiafrika ukoo unachukuliwa kama ni familia, kwa hio Vicent naye ni mwanafamilia ya Julius K. Nyerere.
Hivyo basi swala hili halina mshiko kwa wanaArumeru. WanaArumeru wanahitaji kusikia sera zitakazowaletea maendeleo ya haraka na kuondoa kero zinazowasumbua wananchi. Mungu uwasaidie wanaArumeru kupata kiongozi mzuri kwa miaka iliyobaki mitatu.

Kwenye blue: Mkapa hajarithishwa uanafamilia ya Mwl. Nyerere. Wazanaki wana mila na taratibu zao. Mwl Nyerere hakuzaliwa peke yake na wala hakuwa mgumba, ana watoto na ndugu wa damu hivyo hawakuhitaji kwenda kuomba mrithi toka kwa wamachinga.

Pili, hata kwa vipimo vya mila za kizungu, Vicent Nyerere ni mwanafamillia ya Mwl Nyerere. Baba yake Vicent ni mdogo wake na Mwl Nyerere (mama & baba mmoja). Huu sio undugu wa kupanga matofali, ni damu moja.

Mwisho, kama rais na mwenyekiti wa ccm mstaafu, kwa nini Mkapa ameenda Arumeru kuongelea familia ya Mwl Nyerere? Yeye ni msemaji wa hiyo familia? Nani kamtuma? na kwa nini? Kama sio kuivunjia heshma familia ya watu ni kitu gani?
 
Akili zako mbofumbofu!
Vicent na Mkapa wote ni Waafrica, na wanajua extent za familia za kiafrica!
Usituletee mambo ya Baba Mdogo kuitwa Uncle!...baki nayo hukohuko!

Mpe huyu! anataka kuleta ujinga wa familia za kimaghatibi afrika,sisi kwa mila na desturi ukoo mzima ni kama familia moja.
 
Kama Ndugu Mkapa amewasiliana na Mama Maria,then I will answer this.
Vincent Nyerere in mtoto wa Josephat Nyerere,mdogo wake Mwalimu Nyerere,[Baba mmoja,mama mmoja]. Mkapa alifika katika maziko ya Josephat Nyerere,kwa hiyo,it is shameless kwamba Vincent Nyerere anaongea mambo kama haya. Ndugu Mkapa alikuja kwenye maziko na ujumbe wa Serkali,na familia ya Vincent ilipata mpango kidogo[ubani].
Kuhusu kama Mkapa alihusika na kifo cha jambo Mkapa hana sababu ya kujibu,kwa sababu hapa anayelaumiwa ni hospitali[ambayo ilimtibu Mwalimu bure],au analaumiwa nani sijui. Lakini hii haimhusu Mkapa.
Pia ni kuondoka katika mada ya Arumeru kujadili kifo cha Mwalimu.
Kama Vincent anasema hujuma ilifanyika,labda yeye anazo habari ambazo sisi hatuna. Mimi sijawahi kufikiria kwamba Serikali ya Tanzania ilihusika na kifo cha Mwalimu. Lakini kuhusu watu wengine wa nje kuhusika,hilo jambo sijalifikiria. Lakini it is better they stop talking about this,or they will get us all into trouble.

wewe na nani hamuamnini kuwa mzee nkapa hakuhusika na kifo cha baba wa taifa? Mbona unapenda kuwa mwakilishi wetu bila uchaguzi?
 
sina tatzo na cdm kubeba nchi ila nina tatizo na nyie wanajf-cdm hamko fair kwnye kujenga hoja!kwa mfano hoja ya ubadhilifu wa pesa za msaada alzotoa sabodo!hakna alyejenga hoja mnakurupuka tu,mara mnalazimisha mod afute thread,hoo lete ushaidi.Mnaharibu chama mna ushahabiki usio na maana,let us be fair in decision making

Mkuu ulipitia post moja baada ya nyingine kule na ukaona hakuna hoja iliyojibu hoja ya mleta mada?au umepitia post mbili tatu ukaja na conclusion?
 
yaani wewe bwana hata hueleweki nini unaongelea hapa

kama mkapa alifiwa na rafiki yake unaye mtaja kwa jina la Josephat kwanini asimtambue vicent ambae nae alikuwepo ktk msiba?

Mkuu mwenyewe sijamuelewa kabisa jamaha!anacho andika akieleweka,i love jf maana unapata mawazo mazuri toka kwa wana jamvi wengine,huku pia ukipata burudani toka kwa baadhi ya wana jamvi kama hawa
 
Kwenye blue: Mkapa hajarithishwa uanafamilia ya Mwl. Nyerere. Wazanaki wana mila na taratibu zao. Mwl Nyerere hakuzaliwa peke yake na wala hakuwa mgumba, ana watoto na ndugu wa damu hivyo hawakuhitaji kwenda kuomba mrithi toka kwa wamachinga.

Pili, hata kwa vipimo vya mila za kizungu, Vicent Nyerere ni mwanafamillia ya Mwl Nyerere. Baba yake Vicent ni mdogo wake na Mwl Nyerere (mama & baba mmoja). Huu sio undugu wa kupanga matofali, ni damu moja.

Mwisho, kama rais na mwenyekiti wa ccm mstaafu, kwa nini Mkapa ameenda Arumeru kuongelea familia ya Mwl Nyerere? Yeye ni msemaji wa hiyo familia? Nani kamtuma? na kwa nini? Kama sio kuivunjia heshma familia ya watu ni kitu gani?

Tena amewavunjia heshima toka zamani
aliapomua kutoa roho ya mmoja
wa wanafamilia
 
ukweli ni kuwa huyu kiboko aka hippo hafai. Utadhani hakuwai kuwa mtanzania? Shit!
 
Mkapa Alikosea anatakiwa kumuomba radhi Vicent Nyerere.

Nafikiri Umefika Wakati Sasa Watanzania tukaungana katika mambo ya Msingi yanayoharibu Taifa Letu, Bila kujali Itikadi na maslahi! Unaweza kunufaika Leo lakini ukawa huna uhakika na maisha ya Wajukuu zako, kama umebomoa leo athari yake itadumu, Embu fikirieni ufisadi wa kuuza Rasilimali zetu, Madini, Gesi Mpaka wanyama kweli? Juzi nimesikia kuwa Kule udzungwa mtu ameuziwa Miti ya Mi- teak kwa bei ya Kutupa halafu Waziri analamika? Hapo unategemea kitu gani? Baada ya miaka ishirini ijayo tutakuwa na Wanyama kweli? Madini je? hivi vizazi vijavyo tutaviacha katika hali gani? Nyerere aliona mbali kwa kutuachia Rasilimali zetu, Mkapa, Kikwete wao wamezigawa :crazy:.

Sipati Picha ya Miaka 50 Ijayo.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom