nyerere ni shujaa wangu.kama ulifurahia kifo chake nakuona wewe ni sawa na kibwetere
kweli kimenuka sasa kwa mkapa, kwenye red hapo unasemaaa?tutajua mengi mpaka kampeni ziishe arumeru mashariki!!!!!!!!!wengi tulishangaa kusikia mkapa anasema hanjui vicent. Hata kama si mtoto wa kuzaliwa wa baba wa taifa hajui kuwa huo ni ukoo mkubwa? je yeye mtoto wa mramba kwa anna hamuiti mwanae?
Madhara ya kutumia kamasi katika kufikiri badala ya ubongo.
"Naye Mchungaji Msigwa, alisema moja ya sifa ya kuwa mwana CCM ni kutomuogopa Mungu kwa kuwa mwongo, mtu wa kujipendekeza na mpenda rushwa mambo ambayo
Chadema hayapo."
Toka lini umemuona Mkapa anajibizana na waandishi wa habari uchwara na wanaharakati???
Kila mtu anapenda ukimya wake!
mKUU,Kama Ndugu Mkapa amewasiliana na Mama Maria,then I will answer this.
Vincent Nyerere in mtoto wa Josephat Nyerere,mdogo wake Mwalimu Nyerere,[Baba mmoja,mama mmoja]. Mkapa alifika katika maziko ya Josephat Nyerere,kwa hiyo,it is shameless kwamba Vincent Nyerere anaongea mambo kama haya. Ndugu Mkapa alikuja kwenye maziko na ujumbe wa Serkali,na familia ya Vincent ilipata mpango kidogo[ubani].
Kuhusu kama Mkapa alihusika na kifo cha jambo Mkapa hana sababu ya kujibu,kwa sababu hapa anayelaumiwa ni hospitali[ambayo ilimtibu Mwalimu bure],au analaumiwa nani sihui. Lakini hii haimhusu Mkapa.
Pia ni kuondoka katika mada ya Arumeru kujadili kifo cha Mwalimu.
Mkuu Ganesh hapo nilipo weka red sijakuelewa...unaweza kufafanua?Kama Ndugu Mkapa amewasiliana na Mama Maria,then I will answer this.
Vincent Nyerere in mtoto wa Josephat Nyerere,mdogo wake Mwalimu Nyerere,[Baba mmoja,mama mmoja]. Mkapa alifika katika maziko ya Josephat Nyerere,kwa hiyo,it is shameless kwamba Vincent Nyerere anaongea mambo kama haya. Ndugu Mkapa alikuja kwenye maziko na ujumbe wa Serkali,na familia ya Vincent ilipata mpango kidogo[ubani].
Kuhusu kama Mkapa alihusika na kifo cha jambo Mkapa hana sababu ya kujibu,kwa sababu hapa anayelaumiwa ni hospitali[ambayo ilimtibu Mwalimu bure],au analaumiwa nani sihui. Lakini hii haimhusu Mkapa.
Pia ni kuondoka katika mada ya Arumeru kujadili kifo cha Mwalimu.
mkapa hajakosea kusema vicent si mmoja wa familia ya mwalimu nyerere. Angekosea kama angesema si mmoja wa familia ya nyerere hapo tungeweza kusema amekosea. Mwalimu na nyerere ni watu wawili tofauti.
Mkapa hajakosea kusema Vicent si mmoja wa familia ya MWALIMU NYERERE. Angekosea kama angesema si mmoja wa familia ya NYERERE hapo tungeweza kusema amekosea. Mwalimu na Nyerere ni watu wawili tofauti.
"Naye Mchungaji Msigwa, alisema moja ya sifa ya kuwa mwana CCM ni kutomuogopa Mungu kwa kuwa mwongo, mtu wa kujipendekeza na mpenda rushwa mambo ambayo
Chadema hayapo.