punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Wasimuhangaishe mama Maria Nyerere, kama mkapa aliona ugumu wa kumuuliza huyo mama kabla ya kuropoka majukwaani, sasa hivi atulie tu anyolewe. Nani anataka usuluhishi na muuaji?
Jamani yooote hayo sawa! Issue hapa ni kifo cha Mwl Nyerere kimejaa utata mtupu! Tena baada ya kifo chake kasi ya wizi wa rasilimali zetu ikawa Supersonic Speed!! Viongozi wetu kwa kushirikiana na Mabeberu wa ughaibuni wameshiriki kuharakisha kifo chake!! Hata wakitunyamazisha HATA MAWE YATAPIGA KELELE!!! Hata kama sio sisi ipo siku ukweli utawekwa wazi!! Siri duniani ni ya mtu mmoja tu!!Jitahidi kutumia hata za masaburi kama tu Nchemba hajazimaliza nazo, maana za kichwani huna! Kwani Mwizi wa Kiwira alipokuwa anasema alikuwa analenga nini? M bona hakumzungumzia mtu kama Natse ambaye ni meneja wa kampeni? Kwani Vicent kwenye kampeni alishawahi kuzungumza kwamba yeye ni mtoto wa Mwalimu? Hili Fisadi lilidhani linammaliza kumbe likajikuta ime-bounce back. Sasa atueleze, ni kwanini alimuua baba wa Taifa?
Tutajibu hoja ya ufisaji usio na mashiko na ushahidi ukijibu hili, mbona wewe hujafanana na baba yako? Hivi huyo ni baba yako mzazi kweli au kapakaziwa tu?sina tatzo na cdm kubeba nchi ila nina tatizo na nyie wanajf-cdm hamko fair kwnye kujenga hoja!kwa mfano hoja ya ubadhilifu wa pesa za msaada alzotoa sabodo!hakna alyejenga hoja mnakurupuka tu,mara mnalazimisha mod afute thread,hoo lete ushaidi.Mnaharibu chama mna ushahabiki usio na maana,let us be fair in decision making
mwanafamilia gani asiyewatambua nduguze?Ni kweli anapaswa kuomba suluhu kwa sababu ametofautiana maneno na nduguyake. Ikumbukwe kuwa Mhe. Mkapa alipokwenda Butiama Familia ya Baba wa Taifa iliamua kwamba ni lazima aitwe mmoja wa Familia. Kwa hiyo Mkapa pia ni familia ya Nyerere, na katika mila na desturi, ndugu wakigombana wanapatanishwa na watu wazima (wazee).
Mkapa hajakosea kusema Vicent si mmoja wa familia ya MWALIMU NYERERE. Angekosea kama angesema si mmoja wa familia ya NYERERE hapo tungeweza kusema amekosea. Mwalimu na Nyerere ni watu wawili tofauti.
unadai ukweli gani zaidi ya huu?Jamani yooote hayo sawa! Issue hapa ni kifo cha Mwl Nyerere kimejaa utata mtupu! Tena baada ya kifo chake kasi ya wizi wa rasilimali zetu ikawa Supersonic Speed!! Viongozi wetu kwa kushirikiana na Mabeberu wa ughaibuni wameshiriki kuharakisha kifo chake!! Hata wakitunyamazisha HATA MAWE YATAPIGA KELELE!!! Hata kama sio sisi ipo siku ukweli utawekwa wazi!! Siri duniani ni ya mtu mmoja tu!!
Hizo zote ni tuhuma tu na hamna popote ilipothibitishwa kuwa Mkapa ndiye mmiliki!
Haya yote ni maneno ya waandishi wasio na ethics!
Ganesh ananivunja mbavu jamani.... anachoandika hakieleweke kabisa nadhani hata yeye hakielewi!!!! aisee
View attachment 49369
My Take:
Mkapa anaendaje kwa mama Maria wakati alisema Vincent sio Ukoo huo(kumbe Mzee Muongo?)
Huyu mzee dharau nyingi sana na mdhalilishaji huwezi ukaita watu wajinga kisa tu wana itikadi tofauti na wewe, anaamini yeye ndiyo anajua kila kitu anaongea mpaka anapitiliza.Hakukuwa na haja ya kuropoka maneno kama hayo hata kama ni kweli hakutambulishwa kama anavyodai.Tatizo ni kwamba Rais mstaafu unakwenda kwenye vikampeni vya ubunge..lazima uongee 'pumba' na kuzidi kujishusha hadhi..!