MNYISANZU
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 7,046
- 1,106
Kweli nimeamini Ignorance is expensive than education!sina tatzo na cdm kubeba nchi ila nina tatizo na nyie wanajf-cdm hamko fair kwnye kujenga hoja!kwa mfano hoja ya ubadhilifu wa pesa za msaada alzotoa sabodo!hakna alyejenga hoja mnakurupuka tu,mara mnalazimisha mod afute thread,hoo lete ushaidi.Mnaharibu chama mna ushahabiki usio na maana,let us be fair in decision making