PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,766
- 26,156
Jibu hoja umeona ndugu yako nkapa ameshika pabaya alibip sasa kapigiwa!
kuna hoja gan ya kuijibu hapo? Connect dots, ina maana hiyo habari wewe umeielewa?
Jibu hoja umeona ndugu yako nkapa ameshika pabaya alibip sasa kapigiwa!
si Mkapa ameshasema hamjui vicent nyerere, we unatetea nini hapa?Tena katika yale maziko Ndugu Mkapa alikuwa hali yake siyo nzuri sana,alimfika kwa kujikongoja,kwa vile rafiki yake Josephat alikuwa amekufa,kwa hiyo haikubaliki kwamba mtoto wa Josephat kuongea maneno kama haya. Halafu ukiwatuhumu watu kwamba wameua,wanaweza kukupeleka mahakamani.
Tena katika yale maziko Ndugu Mkapa alikuwa hali yake siyo nzuri sana,alimfika kwa kujikongoja,kwa vile rafiki yake Josephat alikuwa amekufa,kwa hiyo haikubaliki kwamba mtoto wa Josephat kuongea maneno kama haya. Halafu ukiwatuhumu watu kwamba wameua,wanaweza kukupeleka mahakamani.
Mental illness
makubwa! Kumbe mkapa ni mmoja wa wanafamilia ya nyerere?! Iweje hawajui nduguzeNyerere wako wengi. Mimi nilikutana na Gerard Nyerere nikampongeza kwa kuwa Mbunge wa Chadema,akaniambia,siyo yeye,kwamba ni kaka yake ndiye amekuwa Mbunge. Halafu Mkapa alipokwenda Butiama Familia iliamua kwamba ni lazima aitwe mmoja wa Familia. Kwa hiyo Mkapa pia ni familia ya Nyerere. Huu siyo mgogoro,it is just a storm in a tea cup. Vincent Nyerere anapaswa kuweka mawazo yake katika sera na aache kumshambulia Mkapa.
Nyerere wako wengi. Mimi nilikutana na Gerard Nyerere nikampongeza kwa kuwa Mbunge wa Chadema,akaniambia,siyo yeye,kwamba ni kaka yake ndiye amekuwa Mbunge.
Halafu Mkapa alipokwenda Butiama Familia iliamua kwamba ni lazima aitwe mmoja wa Familia. Kwa hiyo Mkapa pia ni familia ya Nyerere.
Huu siyo mgogoro,it is just a storm in a tea cup. Vincent Nyerere anapaswa kuweka mawazo yake katika sera na aache kumshambulia Mkapa.
Madhara ya kutumia kamasi katika kufikiri badala ya ubongo.
kuna hoja gan ya kuijibu hapo? Connect dots, ina maana hiyo habari wewe umeielewa?
we ni MKAPA umekuja kujitetea na id fake?!Nyerere wako wengi. Mimi nilikutana na Gerard Nyerere nikampongeza kwa kuwa Mbunge wa Chadema,akaniambia,siyo yeye,kwamba ni kaka yake ndiye amekuwa Mbunge. Halafu Mkapa alipokwenda Butiama Familia iliamua kwamba ni lazima aitwe mmoja wa Familia. Kwa hiyo Mkapa pia ni familia ya Nyerere. Huu siyo mgogoro,it is just a storm in a tea cup. Vincent Nyerere anapaswa kuweka mawazo yake katika sera na aache kumshambulia Mkapa.
Jibu hoja umeona ndugu yako nkapa ameshika pabaya alibip sasa kapigiwa!
Laiti ungekuwa unawaongelea wazungu sawa, lakini kwa waafrika esp kwa makabila mengi ya Tanzania, tuna utamaduni wa extended families. Ndio maana hata madaraka kataja "ni mdogo wetu", maana yake ni sehemu ya familia yao. Kwa makabila mengi hapa nchini, undugu hauishii tu kwa baba, mama, watoto bali huenda zaidi mpaka baba wadogo, mama wadogo, wajomba n.k. Na kwa mila zetu makabila mengi mtoto wa baba mkubwa hawezi kuoa mtoto wa baba mdogo. Hata kwetu tunaishi na watoto wa marehemu baba wadogo, na ni wadogo zangu!Mkapa hajakosea kusema Vicent si mmoja wa familia ya MWALIMU NYERERE. Angekosea kama angesema si mmoja wa familia ya NYERERE hapo tungeweza kusema amekosea. Mwalimu na Nyerere ni watu wawili tofauti.
Jitahidi kutumia hata za masaburi kama tu Nchemba hajazimaliza nazo, maana za kichwani huna! Kwani Mwizi wa Kiwira alipokuwa anasema alikuwa analenga nini? M bona hakumzungumzia mtu kama Natse ambaye ni meneja wa kampeni? Kwani Vicent kwenye kampeni alishawahi kuzungumza kwamba yeye ni mtoto wa Mwalimu? Hili Fisadi lilidhani linammaliza kumbe likajikuta ime-bounce back. Sasa atueleze, ni kwanini alimuua baba wa Taifa?Mkapa hajakosea kusema Vicent si mmoja wa familia ya MWALIMU NYERERE. Angekosea kama angesema si mmoja wa familia ya NYERERE hapo tungeweza kusema amekosea. Mwalimu na Nyerere ni watu wawili tofauti.
nini sasa unaongea: inaonekana wewe ndo umekurupukia huu mjadala.cdm cdm cdm!kule ameguswa slaa na mbowe mumekuwa mbogo sana,halfu mnakurupuka tu,kwl watu kama nyie mpewe nchi,dr slaa angekuwa na akil finyu kama zenu leo hii cdm isingekuwa hapo.Jaribuni kujheshmu muwe fair pia