Mkapa aomba suluhu kwa Nyerere

Ajibizane nao ana majibu?? Atasema nini sasa kwa kashfa zilizo juu yake?? Kwamba hawakupeana Kiwira na mkwe wake yona?? unao ushahidi wa kutangazwa kwa tenda ya kiwira wewe au unakurupuka tu kutetea usichokijua?? Uchwara nani hapo?? atasema nini kuhusu kampuni ya ANBEM?? kuwa sio kifupi cha ANNA and BENJAMIN?? Kwamba haikusajiliwa kwa SLP 1. Magogoni street???

Kuwa sio kampuni tanzu ya TANPOWER RESOURCES LTD Iliyojihusisha na ununuzi feki wa kiwira pamoja na ufisadi mwingineo?? Atanjibu nini sasa kama sio kukaa kimya wakati hadi nakala za certificate of registration toka brella zimetapakaa?? ndicho tulichomtuma pale magogoni?? Mwalimu alisemaje kuhusu biashara na ikulu?? Rejao una wazimu?? wewe na yeye nani uchwara?? hata hilo huoni?? kuna cha kujibu hapa?? Ya dada yangu mama ANNA je??

Acha kukurupuka fungua macho uone huyu jamaa ana ujasiri wa kifisadi kuweza kusimama jukwaani na kuzungumza aangalie asitibue hasira za watu ataanza kuzomewa tena kama alipostaafu.... Kukaa kwake kimya HANA MAJIBU NA SIO VINGINEVYO....Kwa lugha nyepesi tunasema ameshikwa mahali pabaya FULL STOP.
Hizo zote ni tuhuma tu na hamna popote ilipothibitishwa kuwa Mkapa ndiye mmiliki!
Haya yote ni maneno ya waandishi wasio na ethics!
 
cdm cdm cdm!kule ameguswa slaa na mbowe mumekuwa mbogo sana,halfu mnakurupuka tu,kwl watu kama nyie mpewe nchi,dr slaa angekuwa na akil finyu kama zenu leo hii cdm isingekuwa hapo.Jaribuni kujheshmu muwe fair pia

MAPOVU aka vepaaaa
 
Nasikia kaomba kukutanishwa na Vicent Nyerere ili wayamalize maana mtu mzima kashikwa pabaya....
 
Huyu mzee dharau nyingi sana na mdhalilishaji huwezi ukaita watu wajinga kisa tu wana itikadi tofauti na wewe, anaamini yeye ndiyo anajua kila kitu anaongea mpaka anapitiliza.Hakukuwa na haja ya kuropoka maneno kama hayo hata kama ni kweli hakutambulishwa kama anavyodai.Tatizo ni kwamba Rais mstaafu unakwenda kwenye vikampeni vya ubunge..lazima uongee 'pumba' na kuzidi kujishusha hadhi..!
 
Haya sasa, nafananisha ishu hii na Baba suruali inapomvuka kwenye kadamnasi, je tutamsaidiaje?
Aibu ya kujitafutia utu-Uzimani hii, mbaya sana.
Hakika doa hili halitamtoka Mkaa-Hapa hadi siku analamba tani 7 za dongo!
 
Mkapa ni janga la taifa, ameshindwa kujiheshimu sasa ngoja apate vidonge vyake stahiki.
 
ni kweli
kila lililo na ukweli mkapa hukaa kimya kwa mfano hamna hata siku mmoja alizungumzia kiwira
Sidhani kama angeulizwa na watu sahihi kuhusu Kiwira kama angekataa kulizungumzia. Waandishi ni watu gani mpaka wamuulize? Wanatafuta kutengeneza faida kupitia mgono wake? he is clever than that!

wee ficha upumbavu wako wewe hoja ya mauaji tena na mleta uhuru wa taifa letu si hoja mchwara, hakuna mtu yoyote ataweza kusingiziwa hilo halafu anyamaze, BWM IS A DANGEROUS SILENT KILLER
Wapumbavu ni hao wanaondika taarifa wasizozijua!!
 
Mkapa hajakosea kusema Vicent si mmoja wa familia ya MWALIMU NYERERE. Angekosea kama angesema si mmoja wa familia ya NYERERE hapo tungeweza kusema amekosea. Mwalimu na Nyerere ni watu wawili tofauti.
 
Wasalaam wana JF, Mkapa namfananisha na mzee mmoja alipanda Lorry aina ya isuzu tan 7 ambao ni usafiri wa vijijini enzi nikiwa kijijini. Si mnajua ukiingia kwenye gari hilo unanyosha mikono kukamata vizuri ili usianguke kwenye gari?. Masikini yule baba suruali haikuwa na mkanda, si ikashuka!! na zamani wababa walikuwa wakivaa suruali hawa anzi kuvaa chupi, wao wanavaa tu suruali!!

Sasa fikiria mbaba aliona akiachia kushika kwa juu ataanguka, na huku suruali liko chini mzee mzima (kitus kikininginia!!! Mkapa kashfa hii unayo. Kweli umetukumbusha ulivyo tusononesha na kifo cha mpendwa wetu, na hali inayotukabili wewe ndo kinara wa hali hii inayo likabili taifa. Ndo maana wanakuita sio mtanzania make huna uchungu na madudu uliyo tufanyia. Shame on you
 
Mkapa hajakosea kusema Vicent si mmoja wa familia ya MWALIMU NYERERE. Angekosea kama angesema si mmoja wa familia ya NYERERE hapo tungeweza kusema amekosea. Mwalimu na Nyerere ni watu wawili tofauti.
Akili zako mbofumbofu!
Vicent na Mkapa wote ni Waafrica, na wanajua extent za familia za kiafrica!
Usituletee mambo ya Baba Mdogo kuitwa Uncle!...baki nayo hukohuko!
 
Amelianzisha acha alimalize,kusiwe na wakumpokea mzigo aliojitwisha mwenyewe acha ahangaike nao.
 
NAKULILIA UPYA MWALIMU NYERERE: UTUMIKIE NCHI KWA UADILIFU WA HALI YA JUU ZAIDI YA MIAKA 40 HALAFU UAMBULIE ASANTE YA KUUAUA NA MAFISADI!!!!!!

Mkapa kabla hajamtaka suluhu Kamanda Vincent Nyerere, akawatake kwanza suluhu umma wa Tanzania kwa kumchinja Mwalimu Nyerere ili mbegu ya UFISADI upate kuchipuka rasmi nchini.

Lakini hata hivo Baba wewe; inaniuma saaaana kugundua kwamba pamoja na zile juhudi zote za Mwalimu kukufanya uwe rais from no where mwisho wa siku unamrudi shauri ya hela!!!!!!!!!!!!!!!

Jama pesa ina matatizo gani hivi. Mzee Mkapa ulizaliwa ukaikuta hela duniani na utaondoka vile vile utaiacha hela hapa duniani. Nimesikitishwa mno tangu nisome habari hizi rasmi toka kwa mwanafamilia mambo ambayo kwa muda mrefu sana yalifunikwa kama tetesi tuu!!!!!!

Lakini, yote yana mwisho!!!!!! Nikikumbuka unavyotuliaga pake kanisani St Joseph kile kiti cha nyuma tu ya wanakokaa masista na kweli leo hii nisikie rasmi kwamba kumbe ni wewe ndiye uliyemtuma Mzee Kawawa kwenda kummaliza Mwalimu kitandani na baadaye kumuagiza Kingunge kwenda kudhibiti utoaji habari huko

Haki ya kweli nyie na ndio bado unazungumzia kwenda kumpigia kelele mjane wa kuchongewa eti kwa jina la upatanisho!!!!!!!!!!!!
 
Wengi tulishangaa kusikia mkapa anasema hanjui vicent. Hata kama si mtoto wa kuzaliwa wa baba wa Taifa hajui kuwa huo ni ukoo mkubwa? Je yeye mtoto wa Mramba kwa Anna hamuiti mwanae?
mmhh ndio maana mramba alipewa wizara ya fedha kumbe alizaa na mke wa rais aliombwa amsaidie au??
 
wengi tulishangaa kusikia mkapa anasema hanjui vicent. Hata kama si mtoto wa kuzaliwa wa baba wa taifa hajui kuwa huo ni ukoo mkubwa? je yeye mtoto wa mramba kwa anna hamuiti mwanae?
kweli kimenuka sasa kwenye red hapo uansemaaa?
 
Back
Top Bottom