Mkapa aomba suluhu kwa Nyerere

Mkapa aomba suluhu kwa Nyerere

Tena katika yale maziko Ndugu Mkapa alikuwa hali yake siyo nzuri sana,alimfika kwa kujikongoja,kwa vile rafiki yake Josephat alikuwa amekufa,kwa hiyo haikubaliki kwamba mtoto wa Josephat kuongea maneno kama haya. Halafu ukiwatuhumu watu kwamba wameua,wanaweza kukupeleka mahakamani.
Sasa we mkuu unaleta mambo ya Huruma, eti kisa Mkaa-Hapa alienda huku anaumwa!...my hairs!
Yawezekana alikuwa anaumwa sawa, lakini tuhuma za mauaji ya JKN ziko intact!
 
Tatizo nilionalo hapa ni kuwa hatupendi kushughulisha vichwa vyetu, tumevidumaza kwa kushindwa kutawala mioyo yetu.
 
Tena katika yale maziko Ndugu Mkapa alikuwa hali yake siyo nzuri sana,alimfika kwa kujikongoja,kwa vile rafiki yake Josephat alikuwa amekufa,kwa hiyo haikubaliki kwamba mtoto wa Josephat kuongea maneno kama haya. Halafu ukiwatuhumu watu kwamba wameua,wanaweza kukupeleka mahakamani.

yaani wewe bwana hata hueleweki nini unaongelea hapa

kama mkapa alifiwa na rafiki yake unaye mtaja kwa jina la Josephat kwanini asimtambue vicent ambae nae alikuwepo ktk msiba?
 
Mkapa hajakosea kusema Vicent si mmoja wa familia ya MWALIMU NYERERE. Angekosea kama angesema si mmoja wa familia ya NYERERE hapo tungeweza kusema amekosea. Mwalimu na Nyerere ni watu wawili tofauti.

Lini Vincent alisema yeye ni mtoto wa Mwalimu?
 
Mkapa hajakosea kusema Vicent si mmoja wa familia ya MWALIMU NYERERE. Angekosea kama angesema si mmoja wa familia ya NYERERE hapo tungeweza kusema amekosea. Mwalimu na Nyerere ni watu wawili tofauti.

Mkapa:
"Nimefanya kazi na Mwalimu kwa miaka 25, nikiwa mwandishi wake, Waziri na katika muda huo, nimemzika yeye, kaka yake na mama yake mzazi, sijawahi kusikia jina la mtu kama huyo katika familia ya hiyo".

Hapo vipi?
 
Sipo upande wowote hapa.
Lakini habari ya kuwa huyu ni mwanafamilia au ni ukoo ni la mambo ya lugha tu. Mkapa kwa mtizamo wake kama mmoja warithishwa uwanafamilia wa Mwalimu Julius K. Nyerere huenda ni kweli hakuwahi kumwona Vicent kama mwanafamilia. Vilevile katika mila za baadhi ya makabila ya kiafrika ukoo unachukuliwa kama ni familia, kwa hio Vicent naye ni mwanafamilia ya Julius K. Nyerere.
Hivyo basi swala hili halina mshiko kwa wanaArumeru. WanaArumeru wanahitaji kusikia sera zitakazowaletea maendeleo ya haraka na kuondoa kero zinazowasumbua wananchi. Mungu uwasaidie wanaArumeru kupata kiongozi mzuri kwa miaka iliyobaki mitatu.

kwani mka.Aa hapa alirithishwa ukoo wa nyerere kama mwanafamilia mmojawapo ktk uko huo?Mbona huelewek wewe!!,kakalia kuti kavu huyo mzee wa utandaa.. inzi wazi.Kazi mnayo!
 
Hata hivyo sioni mantiki ya U-nyerere kweney kampeni za Uchaguzi huu, au kuna advantage yoyote tunayoweza kuipata kwa kulitaja jina hilo? Au Mzee Mkapa nae aliingiza vipi hii hoja kwenye kampebni? Labda ujue hawana cha kauhidi this time ndio maana wana-divert hoja za msingi na kuzi-personalize, tunataka kujua maji na ardhi vitapatiakanje Arumeru
 
Mkapa hajakosea kusema Vicent si mmoja wa familia ya MWALIMU NYERERE. Angekosea kama angesema si mmoja wa familia ya NYERERE hapo tungeweza kusema amekosea. Mwalimu na Nyerere ni watu wawili tofauti.

kama amelelewa na familia hiyo kwa nini asiwe mwanafamilia? Tuache kumtetea,alijiingiza kwenye majitaka akijua watu wanajua yeye ni msafi. Kumbe loh! Watu walikuwa wanaomba ajichanganye na ameingia line. Nimefurahishwa na majibu aliyopewa, majungu ya jukwaani huwa yanajibiwa jukwaani! Hongera vicent!
 
Ajibu Kwanza tuhuma ya KUMUUA Mwalimu Nyerere in cold-blood, na si kuomba mapatano ya kificho!

Yap...ajibu hoja,mwalim hakutaka kabisa kikwete na lowassa washike madaraka makubwa kwa ufisadi wao..lakin mkapa alimgeuka mwalimu akamuua kwa maslahi ya watu watatu...kifo cha mwalim kitaiandama ccm mpaka mwisho
 
Mkapa hajakosea kusema Vicent si mmoja wa familia ya MWALIMU NYERERE. Angekosea kama angesema si mmoja wa familia ya NYERERE hapo tungeweza kusema amekosea. Mwalimu na Nyerere ni watu wawili tofauti.

“Nimefanya kazi na Mwalimu kwa miaka 25, nikiwa mwandishi wake, Waziri na katika muda huo, nimemzika yeye, kaka yake na mama yake mzazi, sijawahi kusikia jina la mtu kama huyo katika familia (ya) hiyo”.

Soma vizuri ndugu, Mkapa hajaongelea familia ya Mwl Nyerere peke yake, unapoanza kumtaja mama na kaka yake Mwalimu, unakuwa umevuka mipaka ya familia kwenda kwenye ukoo. Anaongelda kumzika mama na kaka yake mwalimu kwa nini kama maana yake ilikuwa ni familia ya mwalimu pekee. THINK BEFORE YOU TYPE.
 
Hakuna haja ya huyu muuaji kupatanishwa na yeyote, muuaji unapatana naye nini?! Anachotakiwa kufanya mkapa ni kurudi Arumeru awaeleze wana-Arumeru V. Nyerere kuwa au kutokuwa mwanafamilia wa Nyerere kunahusiana vipi na uchaguzi wa huko???
 
Hata hivyo sioni mantiki ya U-nyerere kweney kampeni za Uchaguzi huu, au kuna advantage yoyote tunayoweza kuipata kwa kulitaja jina hilo? Au Mzee Mkapa nae aliingiza vipi hii hoja kwenye kampebni? Labda ujue hawana cha kauhidi this time ndio maana wana-divert hoja za msingi na kuzi-personalize, tunataka kujua maji na ardhi vitapatiakanje Arumeru

hapo umenena!,magamba ndo zao kuzungumzia undugu,udini na ukabila na sisi wapiga kura wa arumeru mash.Tunataka maendeleo ya kwel na siyo ahadi zisizokuwa na utekelezaji k v maisha bora kwa mtz na hatmaye inakuwa kinyume chake kama tuonavyo sasa.We want changes my pipo!
 
Akili zako mbofumbofu!
Vicent na Mkapa wote ni Waafrica, na wanajua extent za familia za kiafrica!
Usituletee mambo ya Baba Mdogo kuitwa Uncle!...baki nayo hukohuko!

Kitufe cha "Like" kiko wapi?
 
Nyerere wako wengi. Mimi nilikutana na Gerard Nyerere nikampongeza kwa kuwa Mbunge wa Chadema,akaniambia,siyo yeye,kwamba ni kaka yake ndiye amekuwa Mbunge.
Halafu Mkapa alipokwenda Butiama Familia iliamua kwamba ni lazima aitwe mmoja wa Familia. Kwa hiyo Mkapa pia ni familia ya Nyerere.
Huu siyo mgogoro,it is just a storm in a tea cup. Vincent Nyerere anapaswa kuweka mawazo yake katika sera na aache kumshambulia Mkapa.
 
Kama Ndugu Mkapa amewasiliana na Mama Maria,then I will answer this.
Vincent Nyerere in mtoto wa Josephat Nyerere,mdogo wake Mwalimu Nyerere,[Baba mmoja,mama mmoja]. Mkapa alifika katika maziko ya Josephat Nyerere,kwa hiyo,it is shameless kwamba Vincent Nyerere anaongea mambo kama haya. Ndugu Mkapa alikuja kwenye maziko na ujumbe wa Serkali,na familia ya Vincent ilipata mpango kidogo[ubani].
Kuhusu kama Mkapa alihusika na kifo cha jambo Mkapa hana sababu ya kujibu,kwa sababu hapa anayelaumiwa ni hospitali[ambayo ilimtibu Mwalimu bure],au analaumiwa nani sijui. Lakini hii haimhusu Mkapa.
Pia ni kuondoka katika mada ya Arumeru kujadili kifo cha Mwalimu.
Kama Vincent anasema hujuma ilifanyika,labda yeye anazo habari ambazo sisi hatuna. Mimi sijawahi kufikiria kwamba Serikali ya Tanzania ilihusika na kifo cha Mwalimu. Lakini kuhusu watu wengine wa nje kuhusika,hilo jambo sijalifikiria. Lakini it is better they stop talking about this,or they will get us all into trouble.

Ganesh,
The way unavyotetea Mkapa ingekuwa vizuri ukatuthibishia kuwa Mkapa hakuhusika.
The issue ni kwamba Mkapa na timu yake (Lowassa, Jk, nk.) walisuka mpango wa kummaliza Mwalimu kule kule hospitalini. Wali collude na Madaktari kumchinja Mwalimu ili asiwazibie Riziki.
 
Tena katika yale maziko Ndugu Mkapa alikuwa hali yake siyo nzuri sana,alimfika kwa kujikongoja,kwa vile rafiki yake Josephat alikuwa amekufa,kwa hiyo haikubaliki kwamba mtoto wa Josephat kuongea maneno kama haya. Halafu ukiwatuhumu watu kwamba wameua,wanaweza kukupeleka mahakamani.
Ganesh, Vicent ni mtoto wa Josephat. Sasa haya maneno yako kama yalikuwa na lengo la kumtetea Mkapa (against Vicent) naona kama ndio 'unamkaanga' zaidi. Kama Mkapa alimfahamu Josephat kwa ukaribu unaojaribu kuuonesha hapa, alithubutu vipi kumtilia shaka hadharani mtoto wa Josephat kwamba hana uhusiano na kina Nyerere (Mwalimu)?

Hizi ni siasa. Wote Vicent na Mkapa wanafanya siasa! Na mbinu aliyotumia Mkapa ndio hiyo hiyo ameitumia Vicent. Mkapa hakusema moja kwa moja kuwa Vicent sio mwanafamilia ya Nyerere....amesema 'hajawahi kumsikia'! Vivyo hivyo, Vicent hajasema moja kwa moja kuwa Mkapa alimuuwa Mwalimu....amemtaka tu atoe maelezo ya kwa nini alishinikiza apelekwe St Thomas kinyume na matakwa ya familia. Mkapa anaweza kuwa na maelezo mazuri tu juu ya hili....kama ambavyo Vicent alivyotolea maelezo uhusiano wake na Mwalimu.
 
Back
Top Bottom