Masatu kula 5,
Hapa JF kuna tradition ya kuangalia upande tu mmoja wa Shilingi...kukusoa tu zaidi!
Hapo nyuma kidogo nilitoa maoni tumwangalie BWM kwa ujumla wake..watu wakasema BWM ni mlafi! Well...wengi hapa JF tumekuwa tunalaumu mno.. yaani ni vigumu kuona chembe ya mazuri ya BWM!
I am yet to be convinced kama BWM alikuwa mbaya kiasi hicho.. so what was the alternative? Mara Mwinyi hakuweza.. BWM alikuwa mlafi.. sasa JK msanii! Well hii atitude saa ingine sii nzuri.
Kwa maoni yangu BWM is a better president than JK.. pamoja na mapungufu yake!
Nabii huwa hasifiwi nyumbani!
Mapungufu ya Muungwana so far ni kuwakumbatia viongozi wabovu, hayo ninayakubali kuwa ni mapungufu,
Mapungufu ya Mwalimu, ni kuwa na vision ambayo haikuwa realistic, yeye na Muungwana, sio wezi, kwa hiyo ninayakubali mapugnufu yao,
Isipokuwa kama mapungufu ni wizi wa mchana wa Mkapa, na kumuita kiongozi wa kimataifa Salim Ahmed Salim, kuwa ni mwarabu kwa sababu tu anagombea urais wa Tanzania, basi sitalitumia neno hilo tena, la mmapungufu!
Kama Mkapa, ha-fit ndani ya neno FISADI, basi hilo neno halina maana yoyote kwangu binafsi,
mambo yote uliyoyasema mkuu kuwa Mkapa ameyafanya kwa Tanzania, hayana tofauti kubwa sana na Clinton aliyoyafanya US, lakini mkuu huyo ametoka urais akiwa lamost hana hata senti moja, ni baada tu ya kutoka urais ndio ameanza kukusanya hela kwenye speech na vitabu,
Hakuondoka akiwa amajenga mahekalu Sea View, Msasani, Osterbay, Lushoto, SA, magorofa ya kupangisha Msasani, na sasa Ilala, benki mpya Bank M, Kiwira, Netgroup, the best of all akatuachia kina Karamagi,
Kama huyo mkuu Mkapa, hafafanani na neno FISADI, basi sitalitumia neno hilo tena!
Mkandara said:3. Nakupa mtihani mdogo sana nenda Dar jaribu kuhesabu Sophia House anazoweza kuziona kisha rudi tuendelee na mazungumzo!
Anaweza kuwa na mapungufu mengi Mkapa lakini kumwita fisadi ni below the belt.
Ameitwa mfisadi kwanza na Dr. Slaa, kabla ya hapo ameitwa mwizi na magazeti ya rafiki yake mpenzi Mengi, Thisday na Kulikoni, sasa hawa nao ni part ya JF ambako tunadaiwa kazi yetu ni kuangalia upande mmoja tu wa ishus?
Wizi ni wizi, mapungufu ni mapungufu, kilichofanyika kwenye mkataba wa Radar na BOT, sio mapungufu ila ni wizi wa mchana kweupe, ndio maana mpaka mabalozi wa nje wanadai criminal investigation ifanyike kabla hatujaanza kukosa misaada yao, maana aliyoyafanya Mkapa ni wizi, na aliyoyafanya Mwalimu ndio hasa mapungufu!
Lakini wezi ni mafisadi, hata wawe intellectuals kama Mstaafu!
However, Nyerere's critics, particularly those from the Western corporate media, the International Monetary Fund and the World Bank, claim that because Nyerere focused on domestic needs such as health and education that he was naive. These critics argue that because he valued regional unity above Western individualism that he was misguided. They argued that because he chose self-reliance as the guide to development rather than go hat in hand to beg for high-interest rate loans from the World Bank, that he destroyed the economy. Those IMF executives were not accustomed to seeing a national leader riding in an old car rather than a shiny new Mercedes through the capital city without a motorcade, with only a single driver, stopping for red lights. Nor was Wall Street impressed by the fact that Nyerere gave military assistance to African freedom fighters throughout southern Africa, fighting to end western economic domination and apartheid. Another category of critics from within the freedom struggle, claim that Nyerere went too slow and allowed too much Western influence, and did not take seriously the requirements of building socialism. One of the spokesmen from that group is the late Tanzanian Cabinet Minister, Muhammad Babu, also a noted revolutionary African leader and author of African Socialism or Socialist Africa?. These are important debates for the new millennium that also has major relevance to community activists considering post industrial development in urban and rural America. History will judge.
Ni kweli ndio maana Thisday/Kulikoni wamemfahamisha kuwa wako tayari kwenda naye mahakamani at anytime akitaka,
ni kweli alifanya commendable job, ya kujificha uwizi wake you got that right, lakini hakuna siri za wizi, hao Thisday/Kulikoni wanamsubiri at anytime akiwa tayari.
Haya chini, ndio tunaita mapungufu:-