Mkapa above the law?: Allegations

mheshimiwa mwenye kigoda, unaweza kuunganisha hii na ile mada ya "Mkapa"?
 
ushaanza sasa


hivi wewe unamatatizo gani lakini au ndo mambo ya kuwashwa?
 
hivi huwezi kujibu hoja hadi mje na mambo yenu ya sexism? Mtatuita majina yote na wala hatutoki humu. Wenzio washaanzisa mada ya Mkapa wewe no.. unataka uanzishe nyingine! Kwani mmeambiwa haya mashindano? Kabla hujaanzisha mada angalia kama tayari ishaanzishwa na kama imeanzishwa ikihamishiwa kule usianze kutukana watu. Unafikiri tuko Buguruni kwa Mnyamani? wengine tunatoka Buguruni kwa Malapa! heheheheh... halo halo!!!
 
New fears about Kiwira coal power project: TANESCO in another IPTL-like quagmire?

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

GOVERNMENT insiders have revealed new fears about the pending $271.8m (approx. 340bn/-) Kiwira coal-fired power project, especially growing concern that it could eventually become another expensive quagmire for the country’s economy on the same level as the infamous 1995 IPTL affair.

According to THISDAY’s latest findings, much of the growing anxiety within official circles surrounds the terms of the official power purchase agreement (PPA) signed last year, which is now expected to just add to the financial burden already faced by the Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) as a result of similar binding agreements with other private power suppliers.

At present, TANESCO pays out an average of $14.5m (around 19bn/-) per month in energy and capacity charges to both Independent Power Tanzania Limited (IPTL) and Songas - a figure equivalent to approximately three-quarters of the state-owned power utility company’s total earnings.

Key sources within government have now told THISDAY that TANESCO may end up having to pay the Kiwira Coal Power Limited company alone � being owners of both the coal mine and power plant - a staggering $6m (approx. 8bn/-) each month once the firm starts delivering as agreed in the PPA negotiations.

This would bring TANESCO’s monthly obligations to the three independent power producers (IPTL, Songas and Kiwira) to a figure exceeding $20m (approx. 26bn/-) - which is well beyond the estimated $19.35m (around 25bn/-) that TANESCO currently earns from its revenues.

’’TANESCO officials and the Kiwira Coal Power Ltd investors are currently in the process of negotiating final terms of the PPA, whereby the investors expect to be paid over $70m (approx. 90bn/-) each year. Obviously this would be a major burden to TANESCO,’’ explained one source.

’’Ultimately, this cost burden would have to be passed on to consumers in terms of even more significant power tariff increases over the long run,’’ the source added.

Our sources say TANESCO would have to hike power tariffs by up to 30 per cent this year alone, in order to meet all its obligations.

The national power utility company raised tariffs by six per cent only last February, and is already in the process of seeking approval from the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) for another tariff hike sometime soon.

According to our findings, TANESCO is expected to officially submit its application for a ’’sharp’’ power tariff increase to EWURA before the end of this month, and in line with the new regulatory framework for the sector, EWURA would be required to rule on the TANESCO request within a period of 12 weeks.

Knowledgeable industry watchers tend to place much of the blame for the financial nightmare now facing TANESCO firmly at the doorstep of the government, ostensibly for failing to negotiate more affordable energy and capacity charges with the independent power producers now enjoying the fruits of this weakness.

As recently as December last year, the government forked out 20bn/- as subvention to TANESCO, and also guaranteed additional loans to the power company amounting to 126.5bn/-.

Following delays in the project, it won’t be until March 2009 that Kiwira Coal Power Limited might actually begin generating electricity in line with the requirements of its contract with TANESCO.

Under the terms of its 20-year power purchase agreement signed with TANESCO in March last year, Kiwira Coal Power Limited is supposed to supply a total of 200 megawatts of power to the national grid in three phases, which was supposed to begin with 50MW in the current month (July 2007). Another 100MW was supposed to be supplied by November this year, and the final 50MW by the end of 2008.

But with the production schedule now apparently hit with new delays, the two sides to the agreement are now understood to be negotiating a new production timetable.

Apart from the Kiwira project, TANESCO also signed and is presently still bound by similar 20-year power purchase agreements with both IPTL and Songas, hence the huge pay bill at the end of each month.

In the face of constant pressure from development partners including the World Bank and the International Monetary Fund (IMF) to turn around the loss-making TANESCO, the government at one point went to the extent of appointing a foreign management team, South Africa’s NetGroup Solutions � whose contract, however, ended unceremoniously.

A team of local professionals, led by former Bank of Tanzania (BoT) governor Dr Idriss Rashid as managing director, has now been brought in to try and make TANESCO economically viable and remove its tag as a huge burden to taxpayers.

A long-considered strategy has been to split the giant public utility into three entities � power generation, transmission and distribution - followed later by full-fledged privatisation of the company.

Although TANESCO still has a total monopoly in the country’s energy sector, some development partners have been pushing for private operators to be allowed on board to increase efficiency and ultimately connect the wider population to electricity services.
 
Jamani, hebu tuambieni, hivi hii Kiwira si ndio ile nasikia Ben Mkapa anahusika nayo? au nimechanganya madawa?
 
Halafu tunaambiwa eti tumwache astaafu kwa amani?


Source: Thisday, Thursday, August 02 2007 http://www.thisday.co.tz/
 
-Mpaka lini tutakuwa tunasoma habari za mikataba ya jinsi hii?

-Mpaka lini tutakuwa tunamsikia Mkapa na familia yake kwenye maskendo?

-Mtiririko wa habari za jinsi hii zinatakiwa ziwanye wabunge wakose usingizi lakini Duh! kwao hizi si issue..
Lets hopw kuwa baada ya term ya Kikwete na EL hatutasoma habari kama hizi zinazowahusu!
 
Mkapa linked to 340bn/- deal

 
Ningekuwa Rais Tanzania leo hii ningesimama na kuzungumza na wananchi wangu. Mkataba uliosainiwa kati ya TANESCO na Kiwira Coal Mining ni Batili. Serikali yangu imeunda tume ambayo itaandika mkataba mpya ambao utakuwa fair kwa vyombo vyote viwili na wale wakurugenzi wa Kiwira wamevuliwa ukurugenzi kuanzia leo na wakurugenzi wapya watatangazwa siku za karibuni.

Ukiwa kiongozi wa Nchi inabidi uonyeshe uongozi wako bila ya woga na siku zote unapotete maslahi ya nchi yako wananchi watakuwa nyuma yako.

Lakini Mmmmm! Wakati mwingine unatamani kulia kwa madudu yanayoendelea katika nchi yetu. Watu wanakula mchana kweupe bila hata woga wala kunawa. Wamuogope nani!!!!! 😕
 
Bubu.

Wahenga walisema hivi: Anayeishi kwenye nyumba ya kioo hawezi kutupia watu walioko nje mawe.
 
Lakini Mwungana kishatushauri tumwache mzee wa watu apumzike.
Huo ubavu wa kutengua mkataba wa Kiwira atautoa wapi?
 
Muungwana naye mahesabu yake ni hayo hayo!! Sasa unategemea nini??
 
"- Ex-president's son serves on Kiwira power company as director
- There is concern project could be another IPTL-like quagmire"



I am depressed, can't help myself!
 
nami ngoja ninywe kahawa kidogo kabla ya kusoma tena mara ya pili hii habari
 
Muungwana naye mahesabu yake ni hayo hayo!! Sasa unategemea nini??

Ni kweli zero,

Trend ilianza kwa BM kushauri watu waache kufuatilia madudu ya mzee ruksa.....muungwana naye anasema the same thing kwa hopes kuwa the next president atarudisha favor kwake....

I love and hate this game.
 
Ule mradi ungesaidia kweli ajira kule, lakini kwa jinsi mambo yalivyo sidhani kama kuna kitu kitafanyika zaidi ya pesa nyingi za serikali kuliwa.

Hivi Mkapa ana watoto wangapi na wanafanya nini? Mimi nilifikiri ni yuele msema ovyo wa USA tu.
 
This country is going down the drain. 🙁
 
Mbona Nick alikuwa akimuona dingi wake kuwa mnoko tu! Na yeye kakubali dili hili! Au wametumia jina lake na mwenyewe hana habari?

Nadhani BM inabidi ajitokeze kujitetea sasa. Kama anadhani ataweza kuuchuna mpaka wananchi wasahau basi anafanya makosa sana.
Rada, Gulfstream, NBC, Netgroup, Barrick, Bank M, Mwananchi Gold, Kiwira, TRC-Rites, Simu 2000, SAAFI...ataweza kuhimili vishindo vya skendo??
 
Mbona huwa nasikia watoto wake wote wahuni wahuni tu isipokuwa Peter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…