Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Hivi unajua DIMENSION ya Kanisa Katoliki au unataka kuwaingiza kingi waso na upeo wenzako na hizi stori za vijiweni?

Hivi una akili timamu? Yaani unasema eti Kanisa Katoliki lilikuwa linategemea michango ya kina Che Mkapa?

JF ina kila aina ya mitindio duh..

Mtindio,
Wewe naona U-MKATOLIKI wa kwelikweli, yaaani uko tayari kufa ili kuthibitisha huo UDINI wako wa kikatoliki. Unachokuwa mkali hapa ni nini? Wakatoliki wakisikia pesa basi huwa wakali kama pilipili mara ukitaka kuwatoa au wema si kawaida ili na wao wale keki.
Nimeshawahi kukaa nchi yenye wakatoliki zaidi ya 90. Mhh, nilivyoona huko kweli vinatisha. Nikiwa huko na huyo Che-Nkapa alikuja kumsalimu bibi mmoja aliyemtunza akiwa mdogo. SIster huyo alifanya kazi Tanzania miaka kibao na kufikiri alilea mtoto mwema kumbe kalea joka. Nashindwa kujua hii shule wanayopewa huko ikoje. Ila moja nafikiri ni kweli, wanafundishwa UFISADI na kuacha kumuogopa Mungu wao.
Nenda kasome historia ya papa Hitler (PIUS), unganisha na Mkapa na angalia kwa nini nchi kama Czeck waliwafukuza watu wote wa dini. Pana wakati nasema ingebidi Tanzania kuondoa dini. Tuape kwa kutumia misingi ya kweli na ukivunja sheria, ni kweli itakuadhibu. Mkapa aliapa kwa Biblia kuwa atatumikia watu wake, kimetokea nini? Huwezi kumuhukumu kwa sababu aliapa kwa kushika Biblia, na dini ni IMANI, hivyo twaweza kumhukumu ki-imani tu. To HELL WITH dini, hasa inapokuja kwenye SIASA. Ni upuuzi kuchanganya dini na siasa. Rais aape kwa kushika KATIBA. Akiivunja, ashitakiwe.
 
wandugu,

..mwandishi ana hoja nzuri tu, lakini nadhani yuko reckless kidogo. nasema hivyo kwasababu btn the lines anaonyesha dharau kwa Maparoko kwa kuwalinganisha na watetea ufisadi/mafisadi. sijui kilichomtuma kufanya hivyo ni nini haswa.

..makala yoyote ile inapaswa kueleweka kwa urahisi kwa walengwa wake. hizi reference za Maparoko zina-distract wasomaji kutoka kwenye hoja ya msingi.
 
Originally Posted by Kichuguu
Hawa maparoko huenda siyo watumishi wa Mungu; ama wanataka kuficha aibu kutokana na ukweli kuwa Mkapa alikuwa muumini wao.

Haya ndo maoni ya ma-pundits wa JF..

Kwa hiyo 'maparoko' ndo waliomtuma Mkapa?

Kaazi kweli kweli..

Kichuguu, siyo kuwa HUENDA. Jibu ni SIYO WATUMISHI WA MUNGU. Kama wee Mtindio uko hapa kuwatetea basi kumbuka hivyo vipande 30 ulivyopewa uwatetee ndivyo vilisafanya Yesu asalitiwe.
Nafikiri jina lako kweli linakufaa......... Mtindio wa Ubongo....
 
Hawa maparoko huenda siyo watumishi wa Mungu; ama wanataka kuficha aibu kutokana na ukweli kuwa Mkapa alikuwa muumini wao.

Wakatoliki, kama walivyo Waislamu wanakuwa na raha ya AINA yake KIONGOZI MKUU wa NCHI anapokuwa wa dhehebu/dini yao. Wanachofaidika na hilo bado ni kitendawili kwangu.

Hawa maparoko huenda siyo watumishi wa Mungu; ama wanataka kuficha aibu kutokana na ukweli kuwa Mkapa alikuwa muumini wao.[/QUOTE]

Kanisa katoliki lime-panic sababu wengi waliokamatwa na kutuhumiwa kama watuhumiwa wakuu kwa ufisadi wengi asilimia zaidi ya 90 ni wakatoliki na waliosomea shule za wakatoliki kuanzia akina Mkapa,Balali,Chenge,Mramba n.k na walikuwa ndio wachangiaji wao wakubwa kwenye halfla mbalimbali za kanisa hilo na wageni wao heshima kwenye uchangiaji pamoja na ukibaka wao.

Kilio cha maparoko hao ni kupungua kwa wachangiaji kutokana na kesi hizo za ufisadi maana hata wale mafisadi ambao hawajashikwa wanaogopa kujitokeza kuchanga mapesa kanisani mengi kwenye halfa za uchangiaji kwa kuogopa kufuatiliwa.

Maparoko kilio chao ni kilio cha sadaka kupungua.Wangependa mafisadi wasikamatwe ili waendelee kuneemeka na michango ya mafisadi makanisani mwao.Kanisa halikaliki kutokana na njaa ya kupungua sadaka na wafadhili wengi wa nje hawatoi misaada kwa kanisa katoliki kama zamani.Tegemeo lao kubwa lilibakia kwa mafisadi.

Njaa ndizo zinawafanya maparoko wapige yowe hata kwenye misiba badala ya kuwalilia marehemu wanaowazika wanalilia mafisadi waliokamatwa na wanaotarajia kukamatwa !!!.Hivi ni sahihi mtu kulilia mtu mwingine kwenye msiba wa marehemu mwingine? Hao maparoko nao wanaendekeza mno njaa mpaka hawaoni ukweli kwa kupofushwa macho ya roho zao na hela za kifisadi kwenye chombo cha sadaka laaniwa.shenzi type.

Haya ndo maoni ya ma-pundits wa JF..

Kwa hiyo 'maparoko' ndo waliomtuma Mkapa?

Kaazi kweli kweli..

Jamani someni bandiko vizuri, Maparoko kwenye bandiko hili wanaelezewa kama ifuatavyo;

Hoja ya Zitto ni kwamba haoni kama hatua ya kumwondolea Rais Mkapa kinga ina faida kwa taifa. Anaogopa madhara (asiyoyajua) yanayoweza kumpata rais mstaafu binafsi, warithi wake kimadaraka na taasisi nzima ya urais, iwapo tutaruhusu utamaduni wa kuwaondolea marais kinga yao ya kikatiba, hawa na wenzao ndio ‘maparoko' ninaowazungumzia.

‘Uparoko' wao unatokana na ujumbe wao wa ‘kiroho' wanaowapatia Watanzania msamaha wa jumla jumla.
 
Salaam wanaforum.
Naamini hakuna aliyejuu ya sheria. Wanadamu wanatunga vitu vya ajabu ambavyo sisi tunaoamini katika Mungu watakuwa na maswali magumu ya kujibu.
 
Kama Mh. Mkapa angekuwa rais mstaafu wa Uganda ….
Kulingana na Kifungu cha 98(5) cha Katiba ya Jamuhuri ya Uganda, Rais mstaafu wa Uganda anaweza kushtakiwa kwa makosa ya jinai au madai aliyoyatenda wakati wa urais wake.

Mh. Mkapa kama angekuwa ni rais wa Uganda, waganda wangeweza kumshitaki kwani kulingana na kifungu hicho hapo juu Rais anakuwa hana kinga ya mashtaka.

My Take: Viongozi wetu wanaachia madaraka kirais kwa sababu ya kinga wanayopewa na katiba. Piga picha ya kwamba katiba yetu hiwe na kifungu kama hicho, rais mwenye mawaa atakubali kutoka madarakani kirais?

Swali: Kwa nini uongozi Tanzania hautaki mabadiliko ya katiba?



98. President of Uganda.
(1) There shall be a President of Uganda who shall be the Head of
State, Head of Government and Commander-in-Chief of the Uganda Peoples'
Defense Forces and the Fountain of Honor.
(2) The President shall take precedence over all persons in Uganda,
and in descending order, the Vice President, the Speaker and the Chief Justice
shall take precedence over all other persons in Uganda.
(3) Before assuming the duties of the office of President, a person
elected President shall take and subscribe the oath of allegiance and the
presidential oath specified in the Fourth Schedule to this Constitution.
(4) While holding office, the President shall not be liable to
proceedings in any court.
(5) Civil or criminal proceedings may be instituted against a person
after ceasing to be President, in respect of anything done or omitted to be
done in his or her personal capacity before or during the term of office of that
person; and any period of limitation in respect of any such proceedings shall
not be taken to run during the period while that person was President.
 
Labda wafe lakini siku WaTanzania watakapoamua kuibadilisha Katiba basi watakaokuwepo hai watafikishwa kwenye mahakama na kujibu ,ikiwa zipo kesi zinawahusu. Wafuasi wa Adolph Hittler wamefikishwa mahakamani baada ya nusu karne na uzere zere wao wamepanda mahakamani na kuhukumiwa na hawa wajue kuwa ipo siku watapanda tu na hasa huyo muuaji Mkapa ,ambae mambo yake yanaelekezwa majuu huko kwenye mahakama za kimataifa tunajua moja ipo Arusha lakini yeye tutampeleka Geneva.
 
Mkapa Govt to blame for Sh11.7bn loss- Mramba

By Rosina John

The tax exemption granted to an international gold production audit firm, which caused the country a loss of Sh11.7 billion, was authorised by the Mkapa administration, former Cabinet minister Basil Mramba told a Dar es Salaam court yesterday.

Mr Mramba, who was the Finance minister then, admitted that he signed the notice in favour of Alex Stewart (assayers) Government Business Corporation, but said it was on the instructions of State House.

He was testifying in the Kisutu Resident Magistrate's Court during the preliminary hearing of an abuse of office case against himself, another former Cabinet Minister, Mr Daniel Yona (Energy and Minerals), and retired Treasury Permanent Secretary Gray Mgonja.

The prosecution alleges that the three abused their powers as senior public servants, causing the government to suffer a loss of over Sh11.7 billion.

Through his lawyer, Mr Herbet Nyange, Mr Mramba said that on June 12, 2003, he instructed the Governor of the Bank of Tanzania (BoT) via letter, Reference No, TYC/M/30/2, to pay Alex Stewart (assayers) Government Business for their services.

Mr Nyange told Resident Magistrate Hezron Mwankenja that his client acted after State House authorised the payments.

His client, he insisted, wrote the letter after being directed by State House to do so. Though he did not specify which authority at State House gave the directive, when the payments were made, Mr Benjamin Mkapa, who is now retired, was the President.

"My client was only following instructions from the State House� he could not object," Mr Nyange said.

He also said that Mr Mramba wrote a letter to Mr Yona, who was the Minerals and Energy minister, advising him that the fee for hiring the independent gold assayers be included in 2003/04 financial year estimates through a supplementary budget.

Asked about the submission by his lawyer, Mr Mramba told the court that what Mr Nyange had said was true.

"All the facts that my lawyer has given the court are true," Mr Mramba stated.

For their part, Mr Yona and Mr Mgonja disputed all the facts presented by the prosecution except the positions they served in the government.

The lawyers representing the two, Prof Leonard Shaidi and Mr Joseph Thadayo, said their clients held senior positions in the government as Energy and Minerals minister and Permanent Secretary, respectively.

The prosecution, led by Senior State Attorney Fredrick Manyanda, had told the court that they intended to call 13 witnesses to prove the case when the hearing begins on May 14.

Mr Manyanda said the witnesses included officials from the Tanzania Revenue Authority (TRA), the ministry of Minerals and Energy and Prevention and Combating Corruption Bureau (PCCB) personnel.

The three former government officials first appeared in court last November, and denied 13 counts of abuse of office.

Mr Mramba and Mr Yona were initially charged jointly. Mr Mgonja had been charged separately but his case was later enjoined with that facing the former ministers.

The appearance in court of the former Mkapa Government officials was the culmination of a three-year investigation by the PCCB and the police into the suspicious hiring of Alex Stewart (Assayers) Government Business Corporation (ASA) to audit gold production in Tanzania.

The controversial assignment in 2003 saw the company receive a whopping Sh65 billion ($50 million) in payments. Its contract ended on August 2007.

The company was paid an average of Sh1.3 billion ($1 million) every month from June 2003 to August 2007.

The lucrative deal for the foreign company sparked off a public outcry, with opposition politicians accusing the government of �letting the firm take a chunk of what the country earned in royalties from gold.�



The court was told that on March 3, 2003, Mr Yona, then the minister for Energy and Minerals, through a letter, Ref. No. CDA111/338/01, sought the President�s approval to hire an independent gold assayer.

He convinced the President that the assignment would be implemented jointly by his ministry and the ministry of Finance, using alternative sources of funding because, according to him, the project was not one of the budgeted for items for the 2003/04 financial year.

On May 15, 2003, the then Deputy Minister for Finance, Alhaj Abdisalaam Khatibu, advised Mr Yona that the hiring of an independent gold assayer should wait until an expert from the Commonwealth Secretariat, gave advice to the government on whether assaying was a prudent exercise to undertaken in detail, by what means and what kind of mineral.

Despite the advice, on June 12, 2003, Mr Mramba instructed the BoT Governor to pay Alex Stewart Government Business Corporation $1 million as advance payment, the court heard.

On June 23, 2003, TRA informed Mr Mgonja that Alex Stewart was not entitled to the tax exemption applied for and insisted that the company pay tax.

In disregard of these letters, Mr Mgonja advised Mr Mramba, who was then his boss, to sign the government notices granting tax exemptions to Alex Stewart.

Acting on the advice given by Mr Mgonja, Mr Mramba signed and issued government notices 423 of 2003, 424 of 2003, 497 of 2004, 498 of 2004, 377 of 2005 and 378 of 2005, granting tax exemption to the company.

As a result, the government suffered a loss of Sh11,752,350,148


Source; The Citizen
 
It is hard to believe that such things can happen in a poor country like ours!
However these are hard lessons we must learn in order to eventually liberate our people in all aspects.
 
Na bado bado sana Mkapa,Yona,Mramba,Meghji na wengineoo lazima wawajibike kwa hili..na mengineyo....Zakia Meghji ana ghorofa pale kkoo na pia amemjengea mtoto wake hoteli uswahilini huko magomeni....ndio pesa hizo hizo...lazima wote waletwee mbele ya haki...kwa pilato
 
Naomba kujua hizo "advice" za TRA unaweza kuzikubali au kuzikataa? Na kama ni hivyo sasa kosa linakuja wapi?
 
by the way will there be anything coming out of this. Mi bado naona ni michanga ya macho tuu. The time nitaona wanaact kama Uganda yule jamaa aliysekwa ndani kwa kula hela za HIV then nitaamini lakini the way naona hizi story... bado bado hawajanigusa kabisaaaa. Hizi ni propaganda.
 
Naomba kujua hizo "advice" za TRA unaweza kuzikubali au kuzikataa? Na kama ni hivyo sasa kosa linakuja wapi?

Lakini TRA watakuwa na basis ya kutoa ushauri wao na mara nyingi utakuwa juu ya sheria za kodi zilizopo......sasa kama viongozi wameapa kuwa waaminifu kwa jamhuri ambayo inaongozwa na katiba na sheria mbalimbali zitokanazo nayo ...then kuna makosa hapa kwa wahusika kwa kuwa hawakuapa kumtii Mkapa na kukiuka sheria.
 
Kukosea kwa "kufuata amri za wakubwa" si utetezi. Kuna msemo "angekwambia jitupe chini kutoka ghorofani ungejitupa"?

Mramba anachoweza kufanya ni kupunguza lawama kutoka ufisadi mpaka kuja kwenye uzembe.Uzembe ni kosa. Kama angekuwa katika Nuremberg trials angepatikana na hatia.
 

  • Achota mabilioni NSSF
  • Ashindwa kuyarejesha

Na Mwandishi Wetu

MwanaHALISI~Maslahi ya Taifa mbele

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amemwanika rais mstaafu, Benjamin Mkapa kwa kuonyesha kuwa alitumia vibaya fedha za mkopo kutoka Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).

Kampuni ya Mkapa ilichukua mkopo wa Sh. 8.1 bilioni ili kuendeleza mradi wa mkaa wa mawe wa Kiwira mkoani Mbeya.

Lakini kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini ya Januari mwaka huu, hakuna maendeleo yoyote yaliyofanywa kwenye mgodi huo wala mashine mpya zilizonunuliwa.

Huu ni mkopo wa pili kutolewa kwa kampuni ya Mkapa. Mkopo wa kwanza wa Sh. 17. 7 bilioni ulitoka CRDB Benki, kwa ajili ya kuendeleza mgodi wa mkaa wa mawe wa Kiwira.

Mbunge wa Kyela, Dk. Harisson Mwakyembe (CCM) alimtaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda, wakati wa kipindi cha maswali na majibu ya papohapo wiki mbili zilizopita iwapo serikali ingeweza kuwalipa wafanyakazi wa Kiwira ambao hawajapata mishara yao kwa miezi kumi sasa.

Katika ripoti yake ya 26 Machi, mwaka huu, CAG anasema mkopo huo wa muda mfupi uliotolewa kwa kampuni ya Mkapa, 5 Julai 2007 ulipaswa kulipwa ndani ya miezi sita, lakini hadi sasa hakuna hata senti moja iliyorejeshwa.

Kiasi kamili cha mkopo ambao Mkapa alichukua ni Sh. 8,127,000,000. Kiasi hiki kimekuwa kikiongezeka kwa njia ya riba na hadi 30 Juni mwaka jana kililimbikiza riba ya Sh. 840,450,000.

Hadi hapo kampuni ya Mkapa ilikuwa inadaiwa na NSSF jumla ya Sh. 8.9 bilioni. Ripoti ya CAG inasema riba pamoja na mkopo vilitakiwa kuanza kurejeshwa kwa mkopeshaji tangu Januari 2008, lakini MwanaHALISI limethibitisha kuwa hadi sasa hakuna marejesho yoyote yaliyofanyika.

Mkopo anaodaiwa Mkapa umedhamiwa kwa asilimia mia moja na serikali. Kwa mujibu wa kanuni za Benki Kuu (BoT), kawaida serikali haidhamini mtu binafsi.

Mkapa anahusishwa na umiliki wa mgodi wa mkaa wa mawe wa Kiwira kupitia kampuni yake ya ANBEM anayosadikiwa kumiliki na mkewe, Anna, ikiwa miongoni mwa makampuni matano yaliyoingia ubia na kampuni ya TanPawer Resources Company Limited.

Pamoja na mikopo hiyo ya NSSF na CRDB, bado hakuna kilichofanyika katika kuurejeshea uhai mradi huu wa kufua umeme.

Ulipobinafsishwa, mradi wa Kiwira ulikuwa na uwezo wa kufua umeme wa megawati 200 za umeme kwa awamu mbili, ikiwa ni megawati 50 kufikia mwaka 2007 na megawati 150 kufikia Machi mwaka huu.

Lakini hivi sasa mgodi unazalisha megawati moja ambayo haiingizwi hata kwenye gridi ya taifa.

Kwa mujibu wa CAG, fedha ambazo NSSF imezitapanya kwa makampuni na watu mbalimbali, zinakaribia Sh. 50 bilioni, jambo ambalo linaweza kuuweka mfuko huo katika mazingira magumu katika siku za usoni.

“Licha ya juhudi ya menejimenti ya NSSF kufuatilia urejeshwaji wa mikopo hiyo, kwa maoni yetu, baadhi ya mikopo na riba ulipwaji wake ni wa mashaka,” inasema ripoti ya CAG ya ukaguzi wa mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha wa 2007/08.

Iwapo mkopo kwa kampuni ya Mkapa hautarudishwa, na kwa kuwa alidhaminiwa na serikali, basi ni serikali itakayolazimika kulipa au kufuta deni.

Hata hivyo, CAG anasema hakuna nyaraka zozote zinazothibitisha kuwa serikali ilidhamini mkopo huo.

Mkataba wa mkopo huo ulitiwa saini 10 Julai 2007. Hata hivyo kuna udhaifu. CAG hakuona hati miliki ya mali iliyowekewa dhamana, jambo ambalo ni kinyume cha mwongozo wa NSSF juu ya vitegauchumi.
 
Kwanini MKapa asifilisiwe ili kurudisha mikopo aliyokopa ambayo kuna ushahidi wa kutosha kwamba hana uwezo wa kuilipa?
 
BAK, Mkapa ni kama Bernard Madoff. Afilisiwe, lakini tuelewe kwamba he made a bad investment, na sidhani tutaweza kurudisha kiasi kikubwa.
 
Hii sasa hatari kwa BM....Ni vema pesa zikarudishwa GOT maana wananchi tumechoka Mbaya
 
Last edited:
Basi bwana now it is tooo much hata ku-control situation inakuwa ngumu sana.
 
Ila huyu mzee, BM, sijui alikuwa anafanya biashara ya nini. Sheria za nchi zinamruhusu rais mstaafu kuhudumiwa kila kitu hadi mwisho wa maisha yake.
 
Back
Top Bottom