Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Daniel Yona, Pesambili Mramba, Gray Mgonja, Rostam Azizi na Benjamini Mkapa ni mapacha. Bila kuwakamata na kuwafungulia mashitaka Rostam Azizi na Mkapa ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu katika hili suala la kupiga vita ufisadi.

MKAPA NDIYE BABA WA MAFISADI NI LAZIMA AKAMATWE NA KUFUNGWA, NDIPO TUTAWEZA KUWASHINDA MAFISADI. MKAPA NDIYE NGAO, KINGA NA MATEGEMEO YA MAFISADI. NYOKA HUPIGWA KICHWANI WALA SI MKIANI.
 
unajua unachokiongea au umekariri kutoka kwenye media kama wenzako wote wanaotiririka humu kama flush floods?!
 
1.
mwanjelwa :JF Senior Expert Member Join Date: Sun Jul 2007
Quote:MKAPA NDIYE BABA WA MAFISADI NI LAZIMA AKAMATWE NA KUFUNGWA, NDIPO TUTAWEZA KUWASHINDA MAFISADI. MKAPA NDIYE NGAO, KINGA NA MATEGEMEO YA MAFISADI. NYOKA HUPIGWA KICHWANI WALA SI MKIANI.

2.
Originally Posted by Kidatu
unajua unachokiongea au umekariri kutoka kwenye media kama wenzako wote wanaotiririka humu kama flush floods?!

- Mkuu acha matusi, kama huna hoja za kumtetea fisadi wako Mkapa, basi kaa pembeni waachie wenye hoja kama kina FDR, halafu na hizi rangi zako kama kinyonga unafikiri unayemdanganya ni nani hasa? Hivi hujui kuwa unajidanganya mwenyewe? Halafu exactly unacho-accomplish ni nini hasa?

Kama huna hoja kaa pembeni usilete matusi ya chooni hapa, anaye-flush na ku-flood ni nani hasa hapa kama sio wewe mwenyewe? Watu wengine bwana kama huna hoja kaaa pembeni!
 
unajua unachokiongea au umekariri kutoka kwenye media kama wenzako wote wanaotiririka humu kama flush floods?!

Ndugu Mwanjelwa,
Mimi ni Mtanzania, ninfuatilia kwa makini na kwa ukaribu zaidi mambo ya siasa za Tanzania. Asante kwa kuonesha upumbavu wako wa kukubaliana na machafu, wizi na ufisadi. Inaonesha wazi kwamba wewe ni moja kati ya mafisadi ama umefaidika na ufisadi huo ama si mtanzania halisi kama akina Mkapa, balali na Rostam wenye uraia wa nchi mbili mbili.

Kama unashindwa kuona na kuelewa uchafu wa Mkapa na kundi lake basi bila shaka una matatizo ya akili.
Mkapa ni mwizi, Jambazi na muuaji na ndiye chanzo cha matatizo yote ya sasa ambayo serikali ya Jakaya imekutana nayo.

Daniel Yona na pesambili Mramba hawakufanya wizi pekee yao, bali walifanya na bosi wao Mkapa na ushaidi upo, uuzwaji wa nyumba za serikali na mashirika ya umma ulilenga zaidi kumtajirisha Mkapa na kundi lake na wala si kwa faida ya watanzania na Tanzania.

UKWELI UNABAKI KUWA UKWELI KWAMBA MKAPA NDIYE BABA WA MAFISADI. NI LAZIMA AKAMATWE, ANYANG'ANYWE MALI ALIZOIBA NA AFUNGWE BILA KUCHELEWA.
 
msimsahau na mama Anna Mkapa,to me anaweza kuwa ndie Imelda Marcos wa bwenyenye Mkapa, coz siamini kama Mkapa alikuwa na guts za ku-accomplish yote bila force ya yule fisadi mkimya wa kike...nadhani ana mchango mkubwa sana katika kulipoteza taifa ndani ya miaka 10 ya Mkapa!!
 
1.

2.

- Mkuu acha matusi, kama huna hoja za kumtetea fisadi wako Mkapa, basi kaa pembeni waachie wenye hoja kama kina FDR, halafu na hizi rangi zako kama kinyonga unafikiri unayemdanganya ni nani hasa? Hivi hujui kuwa unajidanganya mwenyewe? Halafu exactly unacho-accomplish ni nini hasa?

Kama huna hoja kaa pembeni usilete matusi ya chooni hapa, anaye-flush na ku-flood ni nani hasa hapa kama sio wewe mwenyewe? Watu wengine bwana kama huna hoja kaaa pembeni!

Matusi ni kama hayo unayopeleka kwa Mkapa. Rais wa nchi unasema anatakiwa apimwe akili, kapigiwa kura na majority na kuongoza nchi 10years. Umtukani yeye tu, na wewe pia unajitukana kwa hizi statments zako. Hata kwa busara za watoto wa under 10 hawawezi ongea hivi aisee. Kwanini tusikupime wewe, siyo akili tu, kila kitu kama viko sawa sawa kweli.
 
- Wewe huwezi haribu huu mjadala, Mkapa ni fisadi ambaye ni lazima afiksihwe kwenye sheria, wewe na yeye there is nothing you can do haya maneno yako ya chooni ni bure mkuu sisi wananchi wa Tanzania tunaendelea ku-press tu, si umeona mafisadi wenziwe kina Mramba, Yona na Mgonja tayari wametinga, sasa ni zamu ya aliyekua akiwatuma,

hayo maneno yako sihusiki nayo kama kupimwa wacha tupimwe wa-Tanzania wote aliotuibia mali zetu na tunaodai atinge kwenye sheria, sasa Januari hii mwanangu mahakimu na majaji wanarudi toka likizo, subiri uone cinema mpya Kisutu, pole sana mkuu

Ila mshahara wa dhambi bado ni lazima uwe mauti tu!Hata kama uliwahi kuwa rais zamani.
 
kwakweli ninasubiri Februari hii ituletee mauzauza mengine, pengine nikiri tu kuwa ndani ya hoja hii na ile ya Rev. nimejifunza mengi ambayo yananipa faraja ya kujifahamu kama Mtz kwa 2009.

Msimamo wangu uko palepale, natambua udhaifu wa kibinadamu na utawala hasa kwa nchi kama ya kwetu lakini ktk yote ninadumu ktk dira ya UONGOZI WA KUTHUBUTU NA HUO NIMEUONA KWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA, BADO ANABAKI KUWA MFANO CHANYA NA KUIGWA KTK HARAKATI ZA KUJITAFUTIA MAENDELEO YA KWELI. EDWARD NGOYAI LOWASSA ANABAKI KUWA PREMIER ALIYETHUBUTU KUISHI KTK MAHUBIRI YAKE NA KUTOMUNG'UNYA MANENO YAKE PINDI ANAPOWAJIBIKA. WANAOTOFAUTIANA NAMI WANAYO HAKI YA KIKATIBA AMBAYO SINA HAKI WALA SITAMANI KUWANYANG'ANYA KAMWE.

KAMA TUNATAKA JAKAYA MRISHO KIKWETE AZIDI KUFANIKIWA KAMA KIONGOZI NA WAKATI HUOHUO NCHI YETU KWENDA SAMBAMBA NA MAFANIKIO YA RAIS WETU BASI WATZ YATUPASA TUENDE MBELE KWA KASI YA MUUNGWANA.
 
Msimamo wangu uko palepale, natambua udhaifu wa kibinadamu na utawala hasa kwa nchi kama ya kwetu

- Kuna tofauti kubwa sana kati ya udhaifu na mapungufu ya uongozi, na ufisadi, Mwalimu alikuwa na udhaifu na mapungufu flani ya uongozi, lakini Mkapa alikuwa fisadi na mwizi wa mali za umma,

- Mapungufu na udhaifu wa uongozi, kibin-adam huwa tunasamehe, lakini wizi na uporaji kama wa Mkapa, ni dhambi ambayo mashahara wake ni mauti tu na sio anything else!
 
- kuna tofauti kubwa sana kati ya udhaifu na mapungufu ya uongozi, na ufisadi, mwalimu alikuwa na udhaifu na mapungufu flani ya uongozi, lakini mkapa alikuwa fisadi na mwizi wa mali za umma,

- mapungufu na udhaifu wa uongozi, kibin-adam huwa tunasamehe, lakini wizi na uporaji kama wa mkapa, ni dhambi ambayo mashahara wake ni mauti tu na sio anything else!

allow me to name dictator es instead of field marshal es, umenishawishi kuamini una sifa za kidikteta zaidi kuliko uana harakati ktk medani, mkuu unatuhumu, unachunguza na kuhukumu !!!! Unatisha sana mkuu maana ninahisi siku ukiwa uso kwa uso na ben netanyahu utamtoa roho
 
- Wewe huwezi haribu huu mjadala, Mkapa ni fisadi ambaye ni lazima afiksihwe kwenye sheria, wewe na yeye there is nothing you can do haya maneno yako ya chooni ni bure mkuu sisi wananchi wa Tanzania tunaendelea ku-press tu, si umeona mafisadi wenziwe kina Mramba, Yona na Mgonja tayari wametinga, sasa ni zamu ya aliyekua akiwatuma,

hayo maneno yako sihusiki nayo kama kupimwa wacha tupimwe wa-Tanzania wote aliotuibia mali zetu na tunaodai atinge kwenye sheria, sasa Januari hii mwanangu mahakimu na majaji wanarudi toka likizo, subiri uone cinema mpya Kisutu, pole sana mkuu

Ila mshahara wa dhambi bado ni lazima uwe mauti tu!Hata kama uliwahi kuwa rais zamani.

Mkuu FMES,
HIvi mzee Mkapa akiwekwea Ndani wewe utafaidika na nini?kuna haja gani ya watu wenye heshima mbele ya jamii kuanza kushtakiwa>?
 
Mkuu FMES,
HIvi mzee Mkapa akiwekwea Ndani wewe utafaidika na nini?kuna haja gani ya watu wenye heshima mbele ya jamii kuanza kushtakiwa>?

Najua hili ni swali kwa FMES, hata hivyo ngoja nami nichangie hivi.

Tunaposema kuwa Mkapa afikishwe mbele ya sheria hatuangalii personality yake, bali tunaangalia principle inayoongoza nchi. Iwapo kiongozi kama Mkapa akifikishwa mbele ya sheria, itatoa fundisho kwa watu wote kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria zetu.

Tukijenga msingi wa kuwashitaki watu kwa vile tu eti tunafaidika kwa kufanya hivyo, inaelekea kuwa hatutakuwa na faida yoyote ya kuwa na sheria. Kuna sheria nyingi sana ambazo hazisaidii watu individually, lakini in principle zinasaidia jamii. Ni kwa maana hiyo hiyo, ndiyo maana mimi na wewe hatufaidiki kwa lolote iwapo mtu aliyelawiti mtoto wake akifungwa miaka zaidi ya 400, lakini sheria zetu zinasema kuwa mtu huyu kafanya kosa na atafungwa.
 
Mkapa kwa vyovyote,

Hawezi kuingizwa matatani kwa sasa coz yeye siyo alikuwa akigfany maamuzi ya kila kitu.Kuhsu Kiwira,Kuna sheria gani ambayo inakataza raisa kumiliki Biashara au kuwa na hisa?
 
Najua hili ni swali kwa FMES, hata hivyo ngoja nami nichangie hivi.

Tunaposema kuwa Mkapa afikishwe mbele ya sheria hatuangalii personality yake, bali tunaangalia principle inayoongoza nchi. Iwapo kiongozi kama Mkapa akifikishwa mbele ya sheria, itatoa fundisho kwa watu wote kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria zetu.

Tukijenga msingi wa kuwashitaki watu kwa vile tu eti tunafaidika kwa kufanya hivyo, inaelekea kuwa hatutakuwa na faida yoyote ya kuwa na sheria. Kuna sheria nyingi sana ambazo hazisaidii watu individually, lakini in principle zinasaidia jamii. Ni kwa maana hiyo hiyo, ndiyo maana mimi na wewe hatufaidiki kwa lolote iwapo mtu aliyelawiti mtoto wake akifungwa miaka zaidi ya 400, lakini sheria zetu zinasema kuwa mtu huyu kafanya kosa na atafungwa.

Kichuguu, wengine hawaelewi wanadhani Watanzania wanaotaka Mkapa achunguzwe kuhusu ufisadi wowote alioufanya akiwa madarakani ikiwamo kujimilikisha Kiwira katika njia za kifisadi wanaomba hili litokee ili "wafaidike" au "kumkomoa" Mkapa.

Ukweli ni kwamba wengi tunaopigia debe hili la kufikishwa Mkapa mahakamani tunataka iwe hivyo ili kuwaonyesha viongozi waliopo sasa madarakani na wataokuja siku za usoni kwamba Tanzania hakuna yeyote aliye juu ya sheria. Ukifanya madudu ya kuwafisadi Watanzania basi utachunguzwa na kama kuna ushahidi wa kutosha utafikikishwa mahakamani na ukionekana na hatia utafungwa na hata kufilisiwa mali zote ulizozipata kwa njia za haramu.

Mkapa alijiita 'Mr Clean' na pia awamu yake ya 'uwazi na ukweli' lakini ukweli uliothibitika baada ya kumaliza awamu yake hakuwa na uclean wowote na awamu yake ilijaa usiri na kificho cha hali ya juu, na mfano ni jinsi alivyong'ang'ania kutoiweka hadharani mikataba ya uchimbaji dhahabu na makampuni mbali ya nje ikiwemo Barrick.
 
allow me to name dictator es instead of field marshal es, umenishawishi kuamini una sifa za kidikteta zaidi kuliko uana harakati ktk medani, mkuu unatuhumu, unachunguza na kuhukumu !!!! Unatisha sana mkuu maana ninahisi siku ukiwa uso kwa uso na ben netanyahu utamtoa roho

- Mkuu FDR look here, unapoandamwa na tuhuma ambazo unajua kuwa hukuzifanya, dawa ni kwenda kwenye sheria kuzijibu, sasa kuzikwepa kwa visingizio vya kulindwa na sheria ni dalili za kukwepa ukweli kwamba wewe ni mwizi na mporaji wa mali za umma, Mr. Clean anaogopa nini kusema u-Clean wake kwa public?

- Mkuu wangu FDR hujawahi kusikia kwamba niliwahi kupambana naye uso kwa uso siku moja huko majuu mbingu zikataka kushuka chini?

I mean huyu Mkapa amemdanganya baba wa taifa Mwalimu, kwamba ni mr-Clean kumbe ni mr. Chafu huyu tena sana, sasa wewe unaona raha Masikini kina Yona, Mramba na Mgonja wakiburuzwa rumande, huku Mkapa aliyekua akiwatuma anapeta tu kwa visingizio vya immunity! Tunachotaka ni heshima kwa sheria na siku zote kuliweza hilo lazima kuanza na big fish kama Mkapa.

Nenda utizame hotuba yake Mkapa ya kwanza bungeni baada ya kuapishwa kua rais, jinsi alivyolia na rushwa na mafisadi, mpaka akaunda tume ya Warioba ya rushwa, kumbe yeye mwenyewe ni wale wale, buruza Kisutu tu akajibu tuhuma zake, innocent until proven otherwise, lakini kukwepa sheria ni dalili za guilty, au?
 
Mimi pia sina mengi ya kuandika mkuu!Lakini niweke angalizo tu.Wakuu nyinyi endeleeni na mchakato wa kumburuza mkapa mahakamani na endeleeni kumshawishi Kikwete ili abadili msimamo wake.Lakini yote hayo yakikamilika basi mjiandae na kusambaratika kwa taifa la tanzania.

Mtu mmoja ani lazima afe ili taifa lijinasue kutoka katika jinamizi la Ufisadi.
Mtu huyo si mwingine ni Ben Mkapa akisindikizwa na mkewe Anna.
 
Kuna akili zisizo na akili hata kidogo.

Eti mtu anauliza swali kwamba "Mkapa akifungwa sisi tutafaidika nini?!"

Swali langu juu ya swali hili ni;

" Hivi mtu akiniibia kuku wangu wawili mmoja akamtengeneza supu wakafaidi yeye na hawala yake na mwingine akampiga Chicken BBQ akashushia na Ulabu aina ya Serengeti. Mwizi yule akikamatwa akahukumiwa na kufungwa jela mimi nitafaidi nini wakati kuku wangu wote wawili na manyoya yao kawafaidi yeye??"

Mijitu mingine bwana!!

Sisi Watanzania tunaamini kwamba mwizi ni yule tu anayetembea peku,kavaa matambala huku akiwa na sura ya kukosa imani mbele ya jamii.

Kwetu watanzania tuliombumbu, mtu akiwa mnene mithiri ya kisiki cha mbuyu, huku mashavu yakijaa kama mimba ya mbuzi na midomo ya kutunatuna kama ya katuni ya Chakubanga na kining'iniza mkufu wa dhahabu shingoni akiiba; basi watu hujitokeza na kumtetea sana tena kwa mkelele yanatokanayo na nguvu za woga na kubabatizwa kiuchumi kisiasa na kiutamaduni kwa miongo 4.

Kwetu sisi Mwneyekiti wa kijiji ni nadra kuwa mwizi, mkuu wa wilaya haibi kabisaaa.
Mbunge? Kwa nini mbunge aibe wakati ana shangangingi?
Waziri? Waziri haibi kwa sababu yeye ni sehemu ya serikali.
Rais je?
Rais haibi kwanza kwa sababu hela ni yake, ikulu ni yake BOT ni yake, majeshi ni yake, wananchi ni wake.
Pili rais analindwa na katiba dhidi ya neno wizi na yeyote anaye muunganisha rais na neno wizi anavunja katiba inayo mpa rais fursa ya kuiba bila kubughudhiwa( Tafsiri ya majuha).

Tanzania siyo Mkapa tu.
Tanzania siyo Kikwete tu.
Tanzania siyo Baraza la mawaziri, mkuu wa polisi mkuu wa jeshi au majenerali wa jeshi tu.
Tanzania ni kila mtu ikiwa ni pamoja na wafungwa kule jela.

Woga uliojengwa na CCM kwa makusudi kwa miaka mingi, miongoni mwa wa Watanzania ulikuwa na nia ya kutumika katika masula kama haya na nyakati kama hizi.

Watu msijidanganye,Hakuna mtu Tanzania yuko juu ya sheria ikiwa ni pamoja na Rais Kikwete mwenyewe. Ila kuna matumizi mabaya ya nguvu za kiserikali na kisiasa nchini Tanzania kwa nia ya kulinda maslahi binafsi na ya kivikundi.
 
Mtu mmoja ani lazima afe ili taifa lijinasue kutoka katika jinamizi la Ufisadi.
Mtu huyo si mwingine ni Ben Mkapa akisindikizwa na mkewe Anna.

Kufa Mkapa kwa aliyoyatenda akiwa madarakani is too strong Mkuu, lakini ni lazima tuhakikishe kwamba viongozi tunaowapa dhamana ya kutuongoza Watanzania wanaheshimu dhamana kubwa tuliyowakabidhi ili kuhakikisha wanafuata maadili mema ya viongozi badala ya kutumia uaminifu tulionyesha kwao kujilimbikizia utajiri kwa njia za haramu na kuifisadi nchi yetu.
 
Recta mkuu, hiyo heshima aliyonayo Mkapa hata avunjiwe na kupeleaka watu Mahakamani, anayo kweli?????? ana Mali alioibia taifa na wizi huo ukamfanya AFILISIKE KIHESHIMA.
 
Back
Top Bottom