Mkanganyiko baada ya roho kuachana na mwili

Kua na iman tu maana ujui kifo kipoje na je?jiulize waliokufa roho zao zikowapi ...binadamu uishi kwamisingi ya imani kilichopo mbele ukijui...
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
hivi kwanza hiyo roho ipo kweli au ni nadharia ya kufikirika tu,kuna mtu anaweza kuelezea roho inafananaje???
 
Roho sio kitu cha kushikika kwa mikono kuona kwa macho hata darubini kunusa wala kuhisi , roho ni energy
 
Majibu yote ya maswali kimsingi wa vitabu vitukufu hayako sahihi hata kidogo fanya utafiti kwa umakini usipotoshe watu,
JE UNAJUA MAANA YA ROHO????? ukijua mana yake tengua majibu yako yote!
 
Naamini kabisa hujui hata umeandika nini
 
Hapana Agynasa kwa wanaoamini kiama ukifa hakuna hukumu mpaka siku ya kiama wafu wote wamelala makaburini mpaka siku ya mwisho watakapopokea hukumu yao kulingana na matendo yao
Kwa wale wasioamini katika kiama ukifa unazaliwa upya katika umbo lingine kulingana na matendo yako ya past life ishu ya reincarnation
Mkuu kwahiyo huu msemo wa alazwe mahali pema mahali pema peponi unaotumika hadi na baadhi ya viongozi wa dini una maana gani, ihali wanajua siku ya hukumu wafu hawaendi kokote mpaka Yesu akirudi kuhukumu wazima na wafu.
 
Wewe unaamini sijui, mimi nakwambia majibu yote ya maswali yako si sahihi, kasome upya!
 
Ni maneno yaliyotungwa na mwanadamu kujifariji ingekuwa tayari kuna pepo basi kiama kisingekuwepo ndio maana kwa kizungu wanasema REST IN PEACE
 
Kwa kifupi mtoa mada unapotosha watu. Mtu akifa kinachofuata ni hukumu tu soma waebrania 9:27 Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja na baada ya kufa hukumu. Hapo unaona pia hakuna habari za toharani muda wa kutengeneza mambo ni hapa duniani ukiwa hai basi.

Ni vema ukaokoka hata ukifa uwe salama huko uendako.

Laiti ungejua vitabu karibu vyote vya dini vinaficha ukweli kuhusu roho. Usiishi kwa vipengele vya biblia tu, jiongeze na wewe. Mtoa mada ansema hukumu ni matokeo ya yale uliyofanya duniani ukiwa katika mwili. Kama ulifanya mabaya roho itateseka kwa njia nyingi ikiwemo kukosa mwili wa kukaa hivyo kutangatanga humu duniani, na hao ndio huitwa mizimu au ghosts. Kama ulifanya mema roho inatulia kwa raha mustarehe. Inaitwa state of bliss. Kuokoka ni dhana tu ya akili za wengine wanaotafuta pesa. Walokle wanadhani kuokoka ni kuacha kuvuta sigara, kunywa pombe na sex. Huo ni upotoshaji.
 
Wewe unaamini sijui, mimi nakwambia majibu yote ya maswali yako si sahihi, kasome upya!
Sawa ngoja nikubaliane na wewe kwanza kisha nikuombe uandike hicho kilicho sahihi..karibu!
 
Haya mambo bado yanachanganya wengi kwamba roho inaenda wapi baada ya kuachana na mwili
1.Je inaenda kuzimu?
2.Je inaenda peponi?
3.Je inazaliwa upya?
4.Je inawayawaya na kutangatanga huku na kule?

Maswali yote hapo juu yana majibu yanayofanana, kuwa roho zipo na zinakuwa kote huko kulikotajwa kutegemeana na kwenye uhai wake kidunia zilibeba/ zilifanya nini? Hebu twende moja baada ya jingine.

Kwanza, dini zote zinahimiza matendo mema na maisha baada ya kifo; hata wapagani pia. Hivyo basi, japokuwa maelezo yanatofautiana, lakini msingi unabaki kuwa ule ule wa roho kuwa sehemu husika.

1.Je, roho inaenda kuzimu? Jibu ni ndio

Kwamba bila kujali unaamini nini lakini jehanam iko hapahapa duniani , roho iliyotenda mabaya duniani baada ya kutoka katika mwili uharibikao huingia kwenye mwili mwingine uliojaa mateso tabu na mahangaiko mengi! Kumbuka ili roho iweze kubeba hisia za mateso na maumivu lazima zipate jumba/ mwili!! Hiyo ni jehanam au kuzimu.

2.Je, roho huenda peponi? Jibu ni ndio

Pepo iko hapahapa duniani, roho iliyoishi kwa kutenda mema hubaki mahali kwenye dunia hii ikiwa iko live lakini domant ikiwa haihisi wala kufanya chochote na kama ikibidi kupata mwili huingia kwenye mwili ambao haujui shida za dunia hii kila kitu kwake ni mteremko tu mpaka mwili husika unapochoka na kuharibika/ kufa!! Hii ni peponi.

3.Je, roho inazaliwa upya? Jibu ni ndio japo kimsingi sio kuzaliwa upya bali ni kupata makao/ makazi mapya hapa ndio penye dhana nzima ya reincarnation, ambapo sasa hutegemea matendo ya nyuma Kwahiyo yaweza kuwa kwenye mwili mzuri au mbaya refer pepo na kuzimu.

4.Je, roho zinatangatanga? Jibu ni ndio
kwanza roho huwa hazifi bali kuna wakati hukosa makao mapya/mwili baada ya zamani kwisha na kuharibika
Haijulikani hasa nini hutokea lakini hizi ni roho zenye matatizo makubwa na ndio hizi huwa mashetani majini vinyamkera na viumbe vya ajabu ajabu. Ni roho hizi hizi ambazo huweza kuingia kwenye familia kikundi au mkusanyiko wowote na kuleta mirafaruku mikubwa tu ambayo mingine huleta maafa makubwa.

Kwahiyo roho zipo na zipo sana na kamwe hazifi wala hazipotei jehanam, na pepo zao zipo hapahapa duniani na kwenye kila nyanja ya maisha yetu ikiwemo JF.
Mkuu napata mashaka kidogo juu ya uwepo wa jehanam na pepo hapa duniani..

Tumekuwa tukiambiwa kuwa pindi siku ya hukumu itakapofika patapigwa paragumu ambalo dunia haitakalika kwa kelele na vitu vikatakavyokuwa vinatokea kama milima kupeperushwa kama pamba na aridhi kubadilika kuwa kuwa ya shaba

Tumekuwa tukiambiwa kuwa pindi siku ya hukumu itakapofika patapigwa paragumu ambalo dunia haitakalika kwa kelele na vitu vikatakavyokuwa vinatokea kama milima kupeperushwa kama pamba na aridhi kubadilika kuwa kuwa ya shaba na jua kushushwa hadi karibu na utosi kwa kifupi ni kuwa dunia itaharibiwa.

Sasa je kama dunia itaharibiwa si na pepo au jehanam nayo itaharibika?

Je wale waovu watakuwa wapi?
Je wale wema watakuwa wapi?
Au hiyo pepo na jehanam ni kitu cha kufikirika tu ambacho hakionekani?
 
Haya mambo bado yanachanganya wengi kwamba roho inaenda wapi baada ya kuachana na mwili
1.Je inaenda kuzimu?
2.Je inaenda peponi?
3.Je inazaliwa upya?
4.Je inawayawaya na kutangatanga huku na kule?

Maswali yote hapo juu yana majibu yanayofanana, kuwa roho zipo na zinakuwa kote huko kulikotajwa kutegemeana na kwenye uhai wake kidunia zilibeba/ zilifanya nini? Hebu twende moja baada ya jingine.

Kwanza, dini zote zinahimiza matendo mema na maisha baada ya kifo; hata wapagani pia. Hivyo basi, japokuwa maelezo yanatofautiana, lakini msingi unabaki kuwa ule ule wa roho kuwa sehemu husika.

1.Je, roho inaenda kuzimu? Jibu ni ndio

Kwamba bila kujali unaamini nini lakini jehanam iko hapahapa duniani , roho iliyotenda mabaya duniani baada ya kutoka katika mwili uharibikao huingia kwenye mwili mwingine uliojaa mateso tabu na mahangaiko mengi! Kumbuka ili roho iweze kubeba hisia za mateso na maumivu lazima zipate jumba/ mwili!! Hiyo ni jehanam au kuzimu.

2.Je, roho huenda peponi? Jibu ni ndio

Pepo iko hapahapa duniani, roho iliyoishi kwa kutenda mema hubaki mahali kwenye dunia hii ikiwa iko live lakini domant ikiwa haihisi wala kufanya chochote na kama ikibidi kupata mwili huingia kwenye mwili ambao haujui shida za dunia hii kila kitu kwake ni mteremko tu mpaka mwili husika unapochoka na kuharibika/ kufa!! Hii ni peponi.

3.Je, roho inazaliwa upya? Jibu ni ndio japo kimsingi sio kuzaliwa upya bali ni kupata makao/ makazi mapya hapa ndio penye dhana nzima ya reincarnation, ambapo sasa hutegemea matendo ya nyuma Kwahiyo yaweza kuwa kwenye mwili mzuri au mbaya refer pepo na kuzimu.

4.Je, roho zinatangatanga? Jibu ni ndio
kwanza roho huwa hazifi bali kuna wakati hukosa makao mapya/mwili baada ya zamani kwisha na kuharibika
Haijulikani hasa nini hutokea lakini hizi ni roho zenye matatizo makubwa na ndio hizi huwa mashetani majini vinyamkera na viumbe vya ajabu ajabu. Ni roho hizi hizi ambazo huweza kuingia kwenye familia kikundi au mkusanyiko wowote na kuleta mirafaruku mikubwa tu ambayo mingine huleta maafa makubwa.

Kwahiyo roho zipo na zipo sana na kamwe hazifi wala hazipotei jehanam, na pepo zao zipo hapahapa duniani na kwenye kila nyanja ya maisha yetu ikiwemo JF.
soma biblia! achana na mitazamo!
 
Refer:
Quran.
Allah anasema elimu ya roho anaijua yeye tu.
Ila sisi katufumbia iwe kama fumbo kwetu.
Mungu alitupa akili kwa kuchanganua mambo mengi ikiwemo kuacha kumtegemea yy kwa kila kitu ndo mana haonekani!
ndio kila saa watu kukaa kutaka mungu awafanyie kila kitu na umepewa akili utasubiri sana!mungu ana majukumu mengi tumia akili uliyopewa kwanza ukiona imegika mwisho wake ndo umuombe mungu sio eti umetapeliwa unamuachia mungu kamata aliekutapeli piganvichwa vya kutosha atatoa tu hela.
by the way.
Me naamini kama mshana kuhusu roho km ulikuwa sio mtu mwema roho itateswa sana.
Kuna kitu mshana nilishaskia kuna watu eti wanamezaga hirizi ya simba huyu kufa tu anakufa ht mwaka mzima ila anapumua bado ni kweli?sijui hadi afanywaje ndo anakatabroho
 
soma biblia! achana na mitazamo!
Biblia ndio inasemaje? Je kwenye Biblia hakuna mitazamo? Naamini hapa sio kanisani hili ni jukwaa huru la watu wote...labda hebu rudi kasome sheria taratibu na kanuni za hili jukwaa ili ujue kwanini tunaandika mada kama hizi
 
Haya mambo bado yanachanganya wengi kwamba roho inaenda wapi baada ya kuachana na mwili
1.Je inaenda kuzimu?
2.Je inaenda peponi?
3.Je inazaliwa upya?
4.Je inawayawaya na kutangatanga huku na kule?

Maswali yote hapo juu yana majibu yanayofanana, kuwa roho zipo na zinakuwa kote huko kulikotajwa kutegemeana na kwenye uhai wake kidunia zilibeba/ zilifanya nini? Hebu twende moja baada ya jingine.

Kwanza, dini zote zinahimiza matendo mema na maisha baada ya kifo; hata wapagani pia. Hivyo basi, japokuwa maelezo yanatofautiana, lakini msingi unabaki kuwa ule ule wa roho kuwa sehemu husika.

1.Je, roho inaenda kuzimu? Jibu ni ndio

Kwamba bila kujali unaamini nini lakini jehanam iko hapahapa duniani , roho iliyotenda mabaya duniani baada ya kutoka katika mwili uharibikao huingia kwenye mwili mwingine uliojaa mateso tabu na mahangaiko mengi! Kumbuka ili roho iweze kubeba hisia za mateso na maumivu lazima zipate jumba/ mwili!! Hiyo ni jehanam au kuzimu.

2.Je, roho huenda peponi? Jibu ni ndio

Pepo iko hapahapa duniani, roho iliyoishi kwa kutenda mema hubaki mahali kwenye dunia hii ikiwa iko live lakini domant ikiwa haihisi wala kufanya chochote na kama ikibidi kupata mwili huingia kwenye mwili ambao haujui shida za dunia hii kila kitu kwake ni mteremko tu mpaka mwili husika unapochoka na kuharibika/ kufa!! Hii ni peponi.

3.Je, roho inazaliwa upya? Jibu ni ndio japo kimsingi sio kuzaliwa upya bali ni kupata makao/ makazi mapya hapa ndio penye dhana nzima ya reincarnation, ambapo sasa hutegemea matendo ya nyuma Kwahiyo yaweza kuwa kwenye mwili mzuri au mbaya refer pepo na kuzimu.

4.Je, roho zinatangatanga? Jibu ni ndio
kwanza roho huwa hazifi bali kuna wakati hukosa makao mapya/mwili baada ya zamani kwisha na kuharibika
Haijulikani hasa nini hutokea lakini hizi ni roho zenye matatizo makubwa na ndio hizi huwa mashetani majini vinyamkera na viumbe vya ajabu ajabu. Ni roho hizi hizi ambazo huweza kuingia kwenye familia kikundi au mkusanyiko wowote na kuleta mirafaruku mikubwa tu ambayo mingine huleta maafa makubwa.

Kwahiyo roho zipo na zipo sana na kamwe hazifi wala hazipotei jehanam, na pepo zao zipo hapahapa duniani na kwenye kila nyanja ya maisha yetu ikiwemo JF.
soma biblia! achana na mitazamo!
Biblia ndio inasemaje? Je kwenye Biblia hakuna mitazamo? Naamini hapa sio kanisani hili ni jukwaa huru la watu wote...labda hebu rudi kasome sheria taratibu na kanuni za hili jukwaa ili ujue kwanini tunaandika mada kama hizi
mwisho wa siku ukweli unabakia katika kitabu cha Mungu! ukweli ndio huo! ukifa unakwenda sehemu uliyo jiwekea tayali ukiwa bado unaishi duniani yaani kuvuna unacho panda!
 
soma biblia! achana na mitazamo!

mwisho wa siku ukweli unabakia katika kitabu cha Mungu! ukweli ndio huo! ukifa unakwenda sehemu uliyo jiwekea tayali ukiwa bado unaishi duniani yaani kuvuna unacho panda!
Sijakuelewa hebu tulia uandike kwa kituo
 
Back
Top Bottom