Mkanganyiko baada ya roho kuachana na mwili

Mkanganyiko baada ya roho kuachana na mwili

Uhangaishe nini akili yako wewe kuhusu "soul", na hiyo aya laiti ungeliijuwa kwa Kiarabu ungeona raha sana.

Hicho kipande cha mwisho kilichotafsiriwa kama "And mankind have not been given of knowledge except a little." Kina maanisha ni watu wachache waliopewa ilm hiyo na pia imetolewa kwa uchache wake hiyo ilm yenyewe.

Sitegemei hiyo ilm uwe nayo mtu kama wewe, kwani wenye ilm hiyo huwa hawaulizi.

Wenye ilm hiyo hutwa wana Ilm Kishti wa Ruh.

kwa akil yakko fupy kama kaptura unahis hyo ilmu kapewa nani miongoni mwa hao wachache.....ally .....hamza ..muhammad ....au eistein...isack newton...ama da vinci
 
kwa akil yakko fupy kama kaptura unahis hyo ilmu kapewa nani miongoni mwa hao wachache.....ally .....hamza ..muhammad ....au eistein...isack newton...ama da vinci

binadam siku hizi tumekuwa malofa kweli, ishu sio kushabikia dini ila dini inakusaidia nini kwa maisha yako. na ndio maana leo watu(wanasayans) wakigundua kitu utasikia mbona hiyo kwenye Qur'an imeshaandikwa, ooh mara mbona hata kwenye bible ipo.... wakat wanaoshinda na hivi vitabu hakuna walichogundua.... kama watu wote wangejitia utahira wakutofikiri nje ya box hii mitandao ya kijamii,simu, computer ,television n.k ni ustadh au mchungaji gan angegundua???
 
Haya mambo bado yanachanganya wengi kwamba roho inaenda wapi baada ya kuachana na mwili
1.Je inaenda kuzimu?
2.Je inaenda peponi?
3.Je inazaliwa upya?
4.Je inawayawaya na kutangatanga huku na kule?

Maswali yote hapo juu yana majibu yanayofanana, kuwa roho zipo na zinakuwa kote huko kulikotajwa kutegemeana na kwenye uhai wake kidunia zilibeba/ zilifanya nini? Hebu twende moja baada ya jingine.

Kwanza, dini zote zinahimiza matendo mema na maisha baada ya kifo; hata wapagani pia. Hivyo basi, japokuwa maelezo yanatofautiana, lakini msingi unabaki kuwa ule ule wa roho kuwa sehemu husika.

1.Je, roho inaenda kuzimu? Jibu ni ndio

Kwamba bila kujali unaamini nini lakini jehanam iko hapahapa duniani , roho iliyotenda mabaya duniani baada ya kutoka katika mwili uharibikao huingia kwenye mwili mwingine uliojaa mateso tabu na mahangaiko mengi! Kumbuka ili roho iweze kubeba hisia za mateso na maumivu lazima zipate jumba/ mwili!! Hiyo ni jehanam au kuzimu.

2.Je, roho huenda peponi? Jibu ni ndio

Pepo iko hapahapa duniani, roho iliyoishi kwa kutenda mema hubaki mahali kwenye dunia hii ikiwa iko live lakini domant ikiwa haihisi wala kufanya chochote na kama ikibidi kupata mwili huingia kwenye mwili ambao haujui shida za dunia hii kila kitu kwake ni mteremko tu mpaka mwili husika unapochoka na kuharibika/ kufa!! Hii ni peponi.

3.Je, roho inazaliwa upya? Jibu ni ndio japo kimsingi sio kuzaliwa upya bali ni kupata makao/ makazi mapya hapa ndio penye dhana nzima ya reincarnation, ambapo sasa hutegemea matendo ya nyuma Kwahiyo yaweza kuwa kwenye mwili mzuri au mbaya refer pepo na kuzimu.

4.Je, roho zinatangatanga? Jibu ni ndio
kwanza roho huwa hazifi bali kuna wakati hukosa makao mapya/mwili baada ya zamani kwisha na kuharibika
Haijulikani hasa nini hutokea lakini hizi ni roho zenye matatizo makubwa na ndio hizi huwa mashetani majini vinyamkera na viumbe vya ajabu ajabu. Ni roho hizi hizi ambazo huweza kuingia kwenye familia kikundi au mkusanyiko wowote na kuleta mirafaruku mikubwa tu ambayo mingine huleta maafa makubwa.

Kwahiyo roho zipo na zipo sana na kamwe hazifi wala hazipotei jehanam, na pepo zao zipo hapahapa duniani na kwenye kila nyanja ya maisha yetu ikiwemo JF.

Duniani hakuna JEHANNAM wala PEPO.Suala la kuingia motoni au peponi litajulikana siku ya kiyama baada ya kila mmoja kufanyiwa hesabu ya matendo yake hapa duniani na hukumu kutolewa.
 
binadam siku hizi tumekuwa malofa kweli, ishu sio kushabikia dini ila dini inakusaidia nini kwa maisha yako. na ndio maana leo watu(wanasayans) wakigundua kitu utasikia mbona hiyo kwenye Qur'an imeshaandikwa, ooh mara mbona hata kwenye bible ipo.... wakat wanaoshinda na hivi vitabu hakuna walichogundua.... kama watu wote wangejitia utahira wakutofikiri nje ya box hii mitandao ya kijamii,simu, computer ,television n.k ni ustadh au mchungaji gan angegundua???

Waelezee labda wataelewa
 
kwa akil yakko fupy kama kaptura unahis hyo ilmu kapewa nani miongoni mwa hao wachache.....ally .....hamza ..muhammad ....au eistein...isack newton...ama da vinci

Ushasema ilm yangu fupi halafu unaniuliza mimi tena? Unanshangaza!

Amma kwa hakika Mkapa hajakosea.
 
Duniani hakuna JEHANNAM wala PEPO.Suala la kuingia motoni au peponi litajulikana siku ya kiyama baada ya kila mmoja kufanyiwa hesabu ya matendo yake hapa duniani na hukumu kutolewa.

Kwa muktadha wako uko sahihi lakini kwa uhalisia pepo na jehanam tuko nazo hapahapa duniani..... Tunazungumzia kiama sio (kiyama) ambacho kitu ambacho ni cha kufikirika zaidi na hatujui itakuja lini?
 
Mkuu Mshana umeongelea kiuanadamu zaidi,lkn hbr za Maisha baada ya Maisha haya ni pana sana na kuna mambo mengi,sio Km ulivyoeleza wewe umeelezea juujuu sana.
 
Kwa muktadha wako uko sahihi lakini kwa uhalisia pepo na jehanam tuko nazo hapahapa duniani..... Tunazungumzia kiama sio (kiyama) ambacho kitu ambacho ni cha kufikirika zaidi na hatujui itakuja lini?

Ni kweli, na siku hiyo ni siri yake Muumba maana sisi ni watahiniwa tu.
 
Je wanaopata tabu hapa duniani, umetolea mfano Muhimbili wodi ya wagonjwa wa kinywa wanavyotamani anywe kama vile asiyeumwa anavyokunywa, Hawa wanakuwa wameingiwa na Roho Gani??? maana bado hawajafa ili kuwa judge kwa dhambi zao walizofanya wakiwa hai????

Au ndio kurithi/kuingiwa na roho mbaya zinazotangatanga toka kwa wazazi au ndugu waliotenda maovu wakati wa uhai wao???
 
Huo ni mfano tu wa kuelezea jehanam inavyoweza kuwa katika maisha yetu hata kabla ya hiyo jehanam nyingine baada ya kifo
 
mmh natamani kufa nione yangu itaenda wapi itakua ya kutangatanga kama fisiem au peponi
Ukishakufa hutajua lolote
6e1d1454c0c253bd1c1b028985ee0d1a.jpg
 
ukishakufa ni hukumu, jehanam au pepon, matendo/maisha yako ya sasa ndio maandalizi ya maisha yako baada ya kufa
 
hii mada inaongelewa wafu, ninavyojua mimi binadamu akipoteza uhai (mfu) basi hana uwezo wowote ule na kwa namna yoyote ile kuwasiliana na binadamu alie hai. Nachotaka kujua ni msingi wa utafiti wako uliota ndotoni au wewe ni yule tuliekuwa tunamtazamia na sasa umekuja 'kidigital'
[emoji38] [emoji38] [emoji38] eti amekuja kidigital
 
ukishakufa ni hukumu, jehanam au pepon, matendo/maisha yako ya sasa ndio maandalizi ya maisha yako baada ya kufa
Hapana Agynasa kwa wanaoamini kiama ukifa hakuna hukumu mpaka siku ya kiama wafu wote wamelala makaburini mpaka siku ya mwisho watakapopokea hukumu yao kulingana na matendo yao
Kwa wale wasioamini katika kiama ukifa unazaliwa upya katika umbo lingine kulingana na matendo yako ya past life ishu ya reincarnation
 
Kua na iman tu maana ujui kifo kipoje na je?jiulize waliokufa roho zao zikowapi ...binadamu uishi kwamisingi ya imani kilichopo mbele ukijui...
 
Back
Top Bottom