Mkanganyiko baada ya roho kuachana na mwili

Mkanganyiko baada ya roho kuachana na mwili

Mie naona unapishana na facts from holy bible

Labda uziweke hizo facts hapa tujadiliane kwa pamoja kwa faida ya wote lakini vile vile Rudia tena kusoma kuhusu dhana za pepo jehanam na mapepo na mifano ya maisha niliyotoa leo utagundua kuwa sipingani katu na Bible takatifu
 
Soma Qur'an ina majibu kwa hayo:

Dear brother Sardar,

As-salam alaykum

I have already responded to you regarding this question where I shared;

"Barzakh mentioned in 23:100 is a transitory state and a barrier between death and resurrection. The soul enters this dormant transitory state where all concept of time is lost. This is 'barzakh'. See how this term is also used to describe a barrier between two waters (25:53 and 55:20). Similarly, barzakh will be a barrier between death and resurrection."

Finally, may I kindly and respectfully ask that you do not repeat the same questions on different threads. Thank you for your kind consideration.

Regards,
Joseph

Source: What is Barzaq?
 
Mimi ninaamini inapumzika(sehemu inapopumzika sipafahamu) ikisubiri hukumu siku ya mwisho.
 
Shark
1433732424425.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mimi naanza na kaswali kadogo:

Roho imetoka wapi na au imeanzia wapi?
 
Mimi naanza na kaswali kadogo:

Roho imetoka wapi na au imeanzia wapi?

Qur'an 17:85

17_85.png
Sahih International
And they ask you, [O Muhammad], about the soul. Say, "The soul is of the affair of my Lord. And mankind have not been given of knowledge except a little."
​
 
Tumefungwa kwenye box dogo la imani dini tamaduni na mazoea. Tumefungwa kwenye nira za nukuu za mitume na makuhani bila hata kutaka kushughulisha akili zetu kidogo na kutafsiri nukuu hizo za wakati huo na maisha yetu ya leo.

Maandiko matakatifu yanapotuasa tutafute na kuishika sana elimu hakumaanisha tuishie kucopy na kupaste maandiko na habari za wakati huo! Dhana ya pepo jehanam na kiama mbona vinatafsirika kirahisi kabisa katika maisha haya tuliyonayo?

Uko kitandani saa hizi una smartphone yenye bundle la kutosha unachat wakati kuna mtu saa hizi pale Muhimbili na kwingineko yuko hoi kitandani anatamani kuwa kama wewe...! Huu ni mfano mmoja tu rahisi.
 
Ukitaka kujua jambo hilo kiroho, tafuta ushuhuda wa binti anaeitwa Angelica Zambrano na Nyisaki chaula.
 
Hiyo post yako umeweka maneno yanaelea elea tu, hujatumia Quran tukufu wala ßiblia takatifu. Nimesema hivi kwasababu humu ndani kuna waislamu na wakristo, sasa hiyo post yako nzuri ila inawahusu wasio na dini.
 
Tumefungwa kwenye box dogo la imani dini tamaduni na mazoea. Tumefungwa kwenye nira za nukuu za mitume na makuhani bila hata kutaka kushughulisha akili zetu kidogo na kutafsiri nukuu hizo za wakati huo na maisha yetu ya leo.

Maandiko matakatifu yanapotuasa tutafute na kuishika sana elimu hakumaanisha tuishie kucopy na kupaste maandiko na habari za wakati huo! Dhana ya pepo jehanam na kiama mbona vinatafsirika kirahisi kabisa katika maisha haya tuliyonayo?

Uko kitandani saa hizi una smartphone yenye bundle la kutosha unachat wakati kuna mtu saa hizi pale Muhimbili na kwingineko yuko hoi kitandani anatamani kuwa kama wewe...! Huu ni mfano mmoja tu rahisi.

Kulingana na maelezo yako unamaanisha mateso unayopata hapa dunian ndio jehanam yako/ na mazuri unayopata hapa ndio pepo yako! Vipi kama umepata hayo maisha kwa njia zisizo halali?

Mimi ninachojua wote tutakufa. Sasa ukishakufa kuna mahali unapaswa kwenda. Kama ulitenda meme utakwenda paradiso au pepon hii ni sehemu moja. Na kama hukutenda mema utaenda kuzimu.

Mimi hivi huwa naviita vituo vya wafu. Walioko peponi wanasubiri kwenda Binguni au Yelusaremu mpya. walioko kuzimu wanasubiri kwenda jehanamu nahuko ndiko tutaishi milele.
 
MNFUMAKOLE Zinazoenda huko ni roho sio mwili. Halafu jaribu kuzielewa hizo paradiso na jehanam katika uhalisia wake na sio hiyo picha ya mazoea uliyoijenga akilini mwako. Btw, vipi kuhusu kiama na ufufuko wa mwisho?
 
Last edited by a moderator:
totoo brst Nimetoka nje ya mazoea ya kunukuu bila kutafsiri kutoka hivyo vitabu ndio maana inakupa shida.
View attachment 258323View attachment 258324 View attachment 258325

Najaribu kuwapa mtazamo tofauti nje ya mazoea kuhusiana na haya mambo! Hebu jaribu kunisoma kwa tafakuri utanielewa. Halafu vitabu vya dini sio Quran na Bible tu ndugu yangu, hebu soma WORLD RELIGIONS. Kuna dini na imani nyingi mno.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom