BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,044
Tusilemazwe na hii tabia ya kutafuta chanzo cha habari wakati kuna wakati mtoa mada ndio chanzo baada ya kusoma na kufanya utafiti binafsi bila kuegemea mabandiko ya wazungu
Nitamwamini mleta mada ikiwa alishawahi kufa kisha hiyo ndiyo experience yake!