Mkakati wa Kuingiza Nchi Kwenye Machafuko

Jambo hili sio jepesi kulisema lakini hakuna budi lisemwe bila kupindisha maneno. Viongozi wa CHADEMA wanataka vurugu na machafuko yaliyotokea Kenya na maeneo mengine duniani yatokee nchini kwetu kama njia ya kuzuia au kuvuruga uchaguzi.

Baada ya Fr Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC) kujeruhiwa, jana Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ndugu Godbless Lema, ameandika kuwataka Maaskofu watoe tamko ili waumini wao wasusie uchaguzi.

Pia, Ndugu Godlisen Malisa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka Askofu Mkuu wa KKKT atoe tamko. Wafuasi wake wamemshambulia sana Askofu Malasusa kwa kila aina ya matusi bila yeye kuchukua hatua zozote.

Naye Bi. Maria Sarungi, shabiki na mshirika wa karibu wa Tundu Lissu aliyeko nchini Kenya akiratibu na kuhamasisha matukio haya kwa msaada wa mataifa ambayo hayana nia njema na nchi yetu, ameandika kwamba aliyekamatwa na Polisi hausiki!! Amejuaje hausiki? Aliyepigwa yuko hospitalini. Je anamjua aliyempiga? Alimuona na kumtambua usiku saa nne?

Maria anasema aliyekamatwa alikuwa anakula tu Kanteen ya TEC. Sasa mtu akiwa anakula hawezi kuwa mshirika wa tukio? Maria anajuaje mtu huyo hakuwa anakula kama sehemu ya mpango wa kutekeleza uhalifu? Anajuaje hakuwa pale akiwaambia aliopanga nao muda Fr Kitima akinyanyuka wakae tayari kumshambulia?

Hii sio bahati mbaya hata kidogo. Ni mkakati maalumu wa kuchochea vurugu za kisiasa kwa kutumia dini.

Suala la kupigwa na kujeruhiwa kwa Fr Kitima ni muendelezo wa mpango wa makusudi kuigombanisha Serikali na wananchi, haswa wa dini ya kikristo.

Ni lazima watanzania tuwe makini sana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni lazima tuvilinde. Niwahakikishie, hapa kinachotafutwa na CHADEMA ni ‘trigger point’ (jambo litakalosababisha chuki isiyomithilika kwa kundi fulani aidha vijana au waumini wa dini) ili kuanzisha vurugu na machafuko kuzuia uchaguzi.

Viongozi wa CHADEMA wanatafuta kila namna nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu iwekewe vikwazo! Wanawaaminisha wafuasi wao kwamba wanakubalika ila wanaonewa na sasa wanaumizwa!

Hii ndio nia yao! Hakuna namna wataweza kushinda uchaguzi sasa wameamua kutekeleza mkakati huu ovu. Wanachi wenzangu, tusikubali kuingizwa mtegoni. TUSIKUBALI. Tuilinde nchi yetu. Tuelimishane. Tuhimizane upendo na kuthaminiana. Tupingane kwa hoja. Tuhakikishe hakugawanyiki 🙏🏿
hili linishalioa muda mrefu.ni bahati mbaya wa kuu wa dini nao wanaingizwa mkenge kana kwamba aumini wa ccm hawatoi sadaka vizuri kwa sababu CCM iko mADARAKANI
 
Wewe unayaona maovu lakini wengi sana wanayaona ni mema sana.

Unapoilaani CCM kwa kufanya maovu wale kinamama vijijini wanaopata matibabu kwenye zahanati mpya wanaiombea mema serikali hiyo hiyo.

Unapoilaani CCM kwa maovu kuna wafanyabiashara wanaofikisha bidhaa zao huko Ulaya na kwingineko ndani ya muda huu huu hao wanaibariki kwa fursa kufunguliwa.

Kuna wale wadau wa sekta nzima ya madini, wanapowezeshwa kupata zana za kisasa za uchimbaji wanaibariki serikali hii hii na ilani zake.

Kila sehemu ambapo ipo miundo mbinu ya usafiri na umeme maana yake pameshafunguliwa tayari kwa ajili ya fursa nyingi tu za kimaendeleo.

Na kote huko wapo mamilioni ya watu wanaoibariki serikali ambayo wewe Kalamu unailaani!. Tatizo la wanaharakati ni kudhania kuwa maisha ya TZ yanaanzia na kuishia humu humu Dar huwa hamna vichwani mwenu ile picha pana ya maana halisi ya taifa lenye watu milioni 64.
Mkuu 'steve', najuwa njia zenu za kupotezeana muda humu.
Sasa ngoja nikwambie tena, maana nilisha sema haya kwako huko nyuma.

Wewe unafikiri kuja humu JF ni kazi ya kuja kupoteza malengo tu; mimi siji hapa kupotezeana muda na wewe.
Sasa nasema hivi: Damu ya waTanzania, iwapo mtaamua imwagike ili Samia aendelee kukaa madarakani, damu hiyo itawaandama nyote na huyo Samia.

Najuwa mmepania sana juu ya hili la kumbakiza madarakani kwa nguvu zote haramu. Wakati mkifanya hivyo safari hii jiandaeni kuua waTanzania kufanikisha hilo. Hapiti tu hivi hivi kama ilivyokuwa ndani ya chama.
Sasa elewa, wakati mkimwaga damu, usisahau pia kuwa zenu pia haziwezi kumwagika. Hivyo vyombo vya dola mnavyovitegemea ni vya waTanzania walio na akili za kutambua kinachoendelea.

Kiujumla, sitapoteza muda wa kusoma uchafu tena unaoweka hapa, lakini kila nitakapokuwa naona jina lako humu, ni wajibu wangu kukuachia maneno ya kukumbusha maovu mnayowafanyia waTanzania.
 
Imenilazimu nirudi nyuma baada ya kuandika niliyoandika hapo juu nisome upuuzi ulioweka huku chini.
WaTanzania hawanunuliwi na kunyang'anywa HAKI yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka wenyewe, akiwemo SAMIA SULUHU HASAN kwa kura zao watakazopiga kwa uhuru bila ya kuvurugwa na yeyeote ; kwa MIRADI HIYO unayo komalia wewe hapa kama huna akili kichwani mwako
Hili lina ugumu gani kulielewa.
Samia anaogopa nini kufanya marekebisho ili uchaguzi uwe HURU na wa HAKI?

Huna kichwa kuelewa jambo rahisi tu kama hili?

Sasa kama amefanya mazuri kama hayo ya MIRADI; na watu wanaona, kwa nini awaogope watu hao hao!
 
Punguza kuandika ujinga, unatunza kumbukumbu utakuja kuzeeeka kwa majuto. Mitandao hutunza historia. Vijana tujifunze kundika, unachokiandika hapa kitaishi milele na kitatumika Kama rejea
 
Jambo hili sio jepesi kulisema lakini hakuna budi lisemwe bila kupindisha maneno. Viongozi wa CHADEMA wanataka vurugu na machafuko yaliyotokea Kenya na maeneo mengine duniani yatokee nchini kwetu kama njia ya kuzuia au kuvuruga uchaguzi.

Baada ya Fr Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC) kujeruhiwa, jana Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ndugu Godbless Lema, ameandika kuwataka Maaskofu watoe tamko ili waumini wao wasusie uchaguzi.

Pia, Ndugu Godlisen Malisa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka Askofu Mkuu wa KKKT atoe tamko. Wafuasi wake wamemshambulia sana Askofu Malasusa kwa kila aina ya matusi bila yeye kuchukua hatua zozote.

Naye Bi. Maria Sarungi, shabiki na mshirika wa karibu wa Tundu Lissu aliyeko nchini Kenya akiratibu na kuhamasisha matukio haya kwa msaada wa mataifa ambayo hayana nia njema na nchi yetu, ameandika kwamba aliyekamatwa na Polisi hausiki!! Amejuaje hausiki? Aliyepigwa yuko hospitalini. Je anamjua aliyempiga? Alimuona na kumtambua usiku saa nne?

Maria anasema aliyekamatwa alikuwa anakula tu Kanteen ya TEC. Sasa mtu akiwa anakula hawezi kuwa mshirika wa tukio? Maria anajuaje mtu huyo hakuwa anakula kama sehemu ya mpango wa kutekeleza uhalifu? Anajuaje hakuwa pale akiwaambia aliopanga nao muda Fr Kitima akinyanyuka wakae tayari kumshambulia?

Hii sio bahati mbaya hata kidogo. Ni mkakati maalumu wa kuchochea vurugu za kisiasa kwa kutumia dini.

Suala la kupigwa na kujeruhiwa kwa Fr Kitima ni muendelezo wa mpango wa makusudi kuigombanisha Serikali na wananchi, haswa wa dini ya kikristo.

Ni lazima watanzania tuwe makini sana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni lazima tuvilinde. Niwahakikishie, hapa kinachotafutwa na CHADEMA ni ‘trigger point’ (jambo litakalosababisha chuki isiyomithilika kwa kundi fulani aidha vijana au waumini wa dini) ili kuanzisha vurugu na machafuko kuzuia uchaguzi.

Viongozi wa CHADEMA wanatafuta kila namna nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu iwekewe vikwazo! Wanawaaminisha wafuasi wao kwamba wanakubalika ila wanaonewa na sasa wanaumizwa!

Hii ndio nia yao! Hakuna namna wataweza kushinda uchaguzi sasa wameamua kutekeleza mkakati huu ovu. Wanachi wenzangu, tusikubali kuingizwa mtegoni. TUSIKUBALI. Tuilinde nchi yetu. Tuelimishane. Tuhimizane upendo na kuthaminiana. Tupingane kwa hoja. Tuhakikishe hakugawanyiki 🙏🏿
🚮
 
Imenilazimu nirudi nyuma baada ya kuandika niliyoandika hapo juu nisome upuuzi ulioweka huku chini.
WaTanzania hawanunuliwi na kunyang'anywa HAKI yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka wenyewe, akiwemo SAMIA SULUHU HASAN kwa kura zao watakazopiga kwa uhuru bila ya kuvurugwa na yeyeote ; kwa MIRADI HIYO unayo komalia wewe hapa kama huna akili kichwani mwako
Hili lina ugumu gani kulielewa.
Samia anaogopa nini kufanya marekebisho ili uchaguzi uwe HURU na wa HAKI?

Huna kichwa kuelewa jambo rahisi tu kama hili?

Sasa kama amefanya mazuri kama hayo ya MIRADI; na watu wanaona, kwa nini awaogope watu hao hao!
Hakuna anayeogopwa, nyinyi mashujaa wa nyuma ya keyboard hamuwezi kuogopwa.

Subiri mwezi Oktoba majibu utayapata vizuri tu.
 
Mkuu 'steve', najuwa njia zenu za kupotezeana muda humu.
Sasa ngoja nikwambie tena, maana nilisha sema haya kwako huko nyuma.

Wewe unafikiri kuja humu JF ni kazi ya kuja kupoteza malengo tu; mimi siji hapa kupotezeana muda na wewe.
Sasa nasema hivi: Damu ya waTanzania, iwapo mtaamua imwagike ili Samia aendelee kukaa madarakani, damu hiyo itawaandama nyote na huyo Samia.

Najuwa mmepania sana juu ya hili la kumbakiza madarakani kwa nguvu zote haramu. Wakati mkifanya hivyo safari hii jiandaeni kuua waTanzania kufanikisha hilo. Hapiti tu hivi hivi kama ilivyokuwa ndani ya chama.
Sasa elewa, wakati mkimwaga damu, usisahau pia kuwa zenu pia haziwezi kumwagika. Hivyo vyombo vya dola mnavyovitegemea ni vya waTanzania walio na akili za kutambua kinachoendelea.

Kiujumla, sitapoteza muda wa kusoma uchafu tena unaoweka hapa, lakini kila nitakapokuwa naona jina lako humu, ni wajibu wangu kukuachia maneno ya kukumbusha maovu mnayowafanyia waTanzania.
Kama kujenga zahanati kila wilaya ni kufanya maovu basi yataendelea tu hata baada ya mimi na wewe kuondoka juu ya uso wa dunia.

Kama kununua ndege na kujenga viwanja hata mahali ambapo awali havikufikiriwa kuwepo ni kufanya maovu basi yataendelea tu kufanyika.

Kama kuijenga SGR mpaka ikamalizika ni maovu tambua yataendelea tu kufanyika.
 
Jambo hili sio jepesi kulisema lakini hakuna budi lisemwe bila kupindisha maneno. Viongozi wa CHADEMA wanataka vurugu na machafuko yaliyotokea Kenya na maeneo mengine duniani yatokee nchini kwetu kama njia ya kuzuia au kuvuruga uchaguzi.

Baada ya Fr Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC) kujeruhiwa, jana Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ndugu Godbless Lema, ameandika kuwataka Maaskofu watoe tamko ili waumini wao wasusie uchaguzi.

Pia, Ndugu Godlisen Malisa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka Askofu Mkuu wa KKKT atoe tamko. Wafuasi wake wamemshambulia sana Askofu Malasusa kwa kila aina ya matusi bila yeye kuchukua hatua zozote.

Naye Bi. Maria Sarungi, shabiki na mshirika wa karibu wa Tundu Lissu aliyeko nchini Kenya akiratibu na kuhamasisha matukio haya kwa msaada wa mataifa ambayo hayana nia njema na nchi yetu, ameandika kwamba aliyekamatwa na Polisi hausiki!! Amejuaje hausiki? Aliyepigwa yuko hospitalini. Je anamjua aliyempiga? Alimuona na kumtambua usiku saa nne?

Maria anasema aliyekamatwa alikuwa anakula tu Kanteen ya TEC. Sasa mtu akiwa anakula hawezi kuwa mshirika wa tukio? Maria anajuaje mtu huyo hakuwa anakula kama sehemu ya mpango wa kutekeleza uhalifu? Anajuaje hakuwa pale akiwaambia aliopanga nao muda Fr Kitima akinyanyuka wakae tayari kumshambulia?

Hii sio bahati mbaya hata kidogo. Ni mkakati maalumu wa kuchochea vurugu za kisiasa kwa kutumia dini.

Suala la kupigwa na kujeruhiwa kwa Fr Kitima ni muendelezo wa mpango wa makusudi kuigombanisha Serikali na wananchi, haswa wa dini ya kikristo.

Ni lazima watanzania tuwe makini sana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni lazima tuvilinde. Niwahakikishie, hapa kinachotafutwa na CHADEMA ni ‘trigger point’ (jambo litakalosababisha chuki isiyomithilika kwa kundi fulani aidha vijana au waumini wa dini) ili kuanzisha vurugu na machafuko kuzuia uchaguzi.

Viongozi wa CHADEMA wanatafuta kila namna nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu iwekewe vikwazo! Wanawaaminisha wafuasi wao kwamba wanakubalika ila wanaonewa na sasa wanaumizwa!

Hii ndio nia yao! Hakuna namna wataweza kushinda uchaguzi sasa wameamua kutekeleza mkakati huu ovu. Wanachi wenzangu, tusikubali kuingizwa mtegoni. TUSIKUBALI. Tuilinde nchi yetu. Tuelimishane. Tuhimizane upendo na kuthaminiana. Tupingane kwa hoja. Tuhakikishe hakugawanyiki 🙏🏿
Wewe ni mnufaika wa utawala huu dhalimu wanaoteka kuua na kushambulia viongozi wa dini ni Vijana wa UVCCM-CHINJACHINJA wako kila Mkoa na kila Wilaya na pale wanapohitajika sehemu fulani hupelekwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
 
Acha ujinga
 
We Chawa Mpya, Kuna uzito gani kufanya mabadiliko ya mfumo wetu wa Uchaguzi? Wewe na CCM yako mnaogopa nini?

Huu mfumo uliopo sasa ni taahira pekee anaweza kuuita ni uchaguzi huru.

Yaani unaenda kuchagua huku ukijua fika nani mshindi, akili matope.
Tutakula wapi maana tume huru itatunyima ushindi na sisi tunategemea wizi wa kura kushinda, hatupo tayari kwenye hayo mabadiliko yenu.
 
Kuna uwezekano mkubwa ulikuwa mpango wa CHADEMA kumpiga Padri Kitima na kitu butu. Pia Malasusa anashambuliwa na kina Lema kwa sababu kakataa KKKT kuwa tawi la CHADEMA. Dola isiwachekee hawa wahuni.
Waliomshambulia Padre Kitima ni kikundi kipo CCM UVCCM- kinaitwa CHINJACHINJA kipo kila Mkoa na kila Wilaya.
 
Hakuna anayeogopwa, nyinyi mashujaa wa nyuma ya keyboard hamuwezi kuogopwa.

Subiri mwezi Oktoba majibu utayapata vizuri tu.
Sawa kabisa.
Wewe, je, majibu hutayapata vizuri kama utafanikiwa kuwa bado upo hapa?

Sasa ni bayana kabisa, kwamba hiki kikundi chenu kinachofanya maovu ili kumbakisha Samia madarakani kwa nguvu, watu wameanza kukitambua. Tutawasambaratisha tu, hamuwezi kuja hapa na kutuvuruga kama nchi kwa manufaa ya wajomba zenu.
 
Kama kujenga zahanati kila wilaya ni kufanya maovu basi yataendelea tu hata baada ya mimi na wewe kuondoka juu ya uso wa dunia.

Kama kununua ndege na kujenga viwanja hata mahali ambapo awali havikufikiriwa kuwepo ni kufanya maovu basi yataendelea tu kufanyika.

Kama kuijenga SGR mpaka ikamalizika ni maovu tambua yataendelea tu kufanyika.
Wewe ni kama robot tu lililowekewa software kuimba nyimbo bila kuelewa kilichomo kwenye nyimbo hizo. Unarudiarudia tuuu yaleyale bila hata ya kufikiri chochote.

Subiri hao polisi mnaowatumia watakapo wageukia nyinyi wenyewe. Usifikiri wao hawana akili kama nyinyi.
Hiyo CCM mliyo iteka na yenyewe imeanza kustuka, sijui mtakimbilia wapi?
 
Endelea kuishi na hizi ndoto za mkosaji.
 
Sawa kabisa.
Wewe, je, majibu hutayapata vizuri kama utafanikiwa kuwa bado upo hapa?

Sasa ni bayana kabisa, kwamba hiki kikundi chenu kinachofanya maovu ili kumbakisha Samia madarakani kwa nguvu, watu wameanza kukitambua. Tutawasambaratisha tu, hamuwezi kuja hapa na kutuvuruga kama nchi kwa manufaa ya wajomba zenu.
Samia ana dola kubwa sana inayomtii, wewe na wenzako mna midomo iliyojaa lawama na mbwembwe za harakati.
 
Back
Top Bottom