Mkakati wa Kuingiza Nchi Kwenye Machafuko

Endelea kuishi na hizi ndoto za mkosaji.
Ukiniita mimi mkosaji wakati nafaidi matunda ya juhudi zangu nilizowezeshwa na nchi yangu tukufu Tanzania, hapo nakuona kuwa umepungukiwa sana.
Nyinyi, hasa wewe, na huyo Johari kama siyo wewe mwenyewe mnahangaika hivi kwa sababu zilizo wazi.
Sasa mtakomeshwa.
 
Pole sana mkuu Kalamu, unaishi na makasiriko na kwa bahati mbaya kila siku yanaongezeka.
 
Jambo hili sio jepesi kulisema lakini hakuna budi lisemwe bila kupindisha maneno. Viongozi wa CHADEMA wanataka vurugu na machafuko yaliyotokea Kenya na maeneo mengine duniani yatokee nchini kwetu kama njia ya kuzuia au kuvuruga uchaguzi.

Baada ya Fr Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC) kujeruhiwa, jana Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ndugu Godbless Lema, ameandika kuwataka Maaskofu watoe tamko ili waumini wao wasusie uchaguzi.

Pia, Ndugu Godlisen Malisa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka Askofu Mkuu wa KKKT atoe tamko. Wafuasi wake wamemshambulia sana Askofu Malasusa kwa kila aina ya matusi bila yeye kuchukua hatua zozote.

Naye Bi. Maria Sarungi, shabiki na mshirika wa karibu wa Tundu Lissu aliyeko nchini Kenya akiratibu na kuhamasisha matukio haya kwa msaada wa mataifa ambayo hayana nia njema na nchi yetu, ameandika kwamba aliyekamatwa na Polisi hausiki!! Amejuaje hausiki? Aliyepigwa yuko hospitalini. Je anamjua aliyempiga? Alimuona na kumtambua usiku saa nne?

Maria anasema aliyekamatwa alikuwa anakula tu Kanteen ya TEC. Sasa mtu akiwa anakula hawezi kuwa mshirika wa tukio? Maria anajuaje mtu huyo hakuwa anakula kama sehemu ya mpango wa kutekeleza uhalifu? Anajuaje hakuwa pale akiwaambia aliopanga nao muda Fr Kitima akinyanyuka wakae tayari kumshambulia?

Hii sio bahati mbaya hata kidogo. Ni mkakati maalumu wa kuchochea vurugu za kisiasa kwa kutumia dini.

Suala la kupigwa na kujeruhiwa kwa Fr Kitima ni muendelezo wa mpango wa makusudi kuigombanisha Serikali na wananchi, haswa wa dini ya kikristo.

Ni lazima watanzania tuwe makini sana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni lazima tuvilinde. Niwahakikishie, hapa kinachotafutwa na CHADEMA ni ‘trigger point’ (jambo litakalosababisha chuki isiyomithilika kwa kundi fulani aidha vijana au waumini wa dini) ili kuanzisha vurugu na machafuko kuzuia uchaguzi.

Viongozi wa CHADEMA wanatafuta kila namna nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu iwekewe vikwazo! Wanawaaminisha wafuasi wao kwamba wanakubalika ila wanaonewa na sasa wanaumizwa!

Hii ndio nia yao! Hakuna namna wataweza kushinda uchaguzi sasa wameamua kutekeleza mkakati huu ovu. Wanachi wenzangu, tusikubali kuingizwa mtegoni. TUSIKUBALI. Tuilinde nchi yetu. Tuelimishane. Tuhimizane upendo na kuthaminiana. Tupingane kwa hoja. Tuhakikishe hakugawanyiki 🙏🏿
Wanakinukisha, ndyo agenda ya boss wao mkuu, TAL :CaptFailFish:
 
Nchi tamu ndio maana mnabwabwaja,kwa mfumo wa maisha haya aisee lolote likitokea ndio safi tumechoka kushuhudia watu wanakula keki peke yao!!
 
Unaishi na machungu moyoni usipoangalia utaenda nayo kaburini.
Inapohusu Tanzania, sina lolote la kujutia, iwe machungu kama unavyo yaita wewe au kingine chochote.
Huko kaburini, watu kama wewe, na hao wenzako na huyo mnaye mpigania na kutaka kusababisha damu ya waTanzania imwagike, nyinyi mtapeleka nini huko?
 
Kunyamaza siyo amani mimi naweza kunyamaza kwakupenda ama kunyamazishwa

Kunyamaza ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Silence surrenders public responsibilities
 
Inapohusu Tanzania, sina lolote la kujutia, iwe machungu kama unavyo yaita wewe au kingine chochote.
Huko kaburini, watu kama wewe, na hao wenzako na huyo mnaye mpigania na kutaka kusababisha damu ya waTanzania imwagike, nyinyi mtapeleka nini huko?
JPM alishalala huu ni mwaka wa nne, ukitumia daraja la Busisi kutoka Mwanza kwenda Sengerema unakuwa unamkumbuka marehemu kwa mema yake.

Kuna Siku SSH atalala kaburini, ukizitumia barabara zote za lami nchini pamoja na viwanja vya ndege kwa ajili ya biashara zako ni lazima utamtaja yeye kwa mema yake.

Kumbuka kuwa haya yote mema yanayofanyika muda huu ni uhalali wa kumbukumbu nzuri kwa hawa marais waliopo, jitahidi uwe mtu wa shukrani na sio yule anayependa kulialia tu muda wote wa uhai wake.
 
Jambo hili sio jepesi kulisema lakini hakuna budi lisemwe bila kupindisha maneno. Viongozi wa CHADEMA wanataka vurugu na machafuko yaliyotokea Kenya na maeneo mengine duniani yatokee nchini kwetu kama njia ya kuzuia au kuvuruga uchaguzi.

Baada ya Fr Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC) kujeruhiwa, jana Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ndugu Godbless Lema, ameandika kuwataka Maaskofu watoe tamko ili waumini wao wasusie uchaguzi.

Pia, Ndugu Godlisen Malisa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka Askofu Mkuu wa KKKT atoe tamko. Wafuasi wake wamemshambulia sana Askofu Malasusa kwa kila aina ya matusi bila yeye kuchukua hatua zozote.

Naye Bi. Maria Sarungi, shabiki na mshirika wa karibu wa Tundu Lissu aliyeko nchini Kenya akiratibu na kuhamasisha matukio haya kwa msaada wa mataifa ambayo hayana nia njema na nchi yetu, ameandika kwamba aliyekamatwa na Polisi hausiki!! Amejuaje hausiki? Aliyepigwa yuko hospitalini. Je anamjua aliyempiga? Alimuona na kumtambua usiku saa nne?

Maria anasema aliyekamatwa alikuwa anakula tu Kanteen ya TEC. Sasa mtu akiwa anakula hawezi kuwa mshirika wa tukio? Maria anajuaje mtu huyo hakuwa anakula kama sehemu ya mpango wa kutekeleza uhalifu? Anajuaje hakuwa pale akiwaambia aliopanga nao muda Fr Kitima akinyanyuka wakae tayari kumshambulia?

Hii sio bahati mbaya hata kidogo. Ni mkakati maalumu wa kuchochea vurugu za kisiasa kwa kutumia dini.

Suala la kupigwa na kujeruhiwa kwa Fr Kitima ni muendelezo wa mpango wa makusudi kuigombanisha Serikali na wananchi, haswa wa dini ya kikristo.

Ni lazima watanzania tuwe makini sana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni lazima tuvilinde. Niwahakikishie, hapa kinachotafutwa na CHADEMA ni ‘trigger point’ (jambo litakalosababisha chuki isiyomithilika kwa kundi fulani aidha vijana au waumini wa dini) ili kuanzisha vurugu na machafuko kuzuia uchaguzi.

Viongozi wa CHADEMA wanatafuta kila namna nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu iwekewe vikwazo! Wanawaaminisha wafuasi wao kwamba wanakubalika ila wanaonewa na sasa wanaumizwa!

Hii ndio nia yao! Hakuna namna wataweza kushinda uchaguzi sasa wameamua kutekeleza mkakati huu ovu. Wanachi wenzangu, tusikubali kuingizwa mtegoni. TUSIKUBALI. Tuilinde nchi yetu. Tuelimishane. Tuhimizane upendo na kuthaminiana. Tupingane kwa hoja. Tuhakikishe hakugawanyiki 🙏🏿
Nafurahi kwa jicho la tatu umeliona hili, yote mabaya yana mkono wa Chadema, kugusa sehemu nyeti za kidini zenye mamia ya waumini ili kukamilisha infliction, wanadhambi sana Hawa watu.
 
JPM alishalala huu ni mwaka wa nne, ukitumia daraja la Busisi kutoka Mwanza kwenda Sengerema unakuwa unamkumbuka marehemu kwa mema yake.

Kuna Siku SSH atalala kaburini, ukizitumia barabara zote za lami nchini pamoja na viwanja vya ndege kwa ajili ya biashara zako ni lazima utamtaja yeye kwa mema yake.

Kumbuka kuwa haya yote mema yanayofanyika muda huu ni uhalali wa kumbukumbu nzuri kwa hawa marais waliopo, jitahidi uwe mtu wa shukrani na sio yule anayependa kulialia tu muda wote wa uhai wake.
Kumbukumbu pekee kwa sasa inayomhusu Samia ni HASI. Kila alilofanya tangu aingie ni kuihujumu Tanzania. Hiyo ndiyo kumbukumbu itakayo mwandama.
Na sasa anaingia kwenye hii mbaya zaidi, ya kutaka kuua waTanzania ili abakie madarakani.
 
M
Jambo hili sio jepesi kulisema lakini hakuna budi lisemwe bila kupindisha maneno. Viongozi wa CHADEMA wanataka vurugu na machafuko yaliyotokea Kenya na maeneo mengine duniani yatokee nchini kwetu kama njia ya kuzuia au kuvuruga uchaguzi.

Baada ya Fr Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC) kujeruhiwa, jana Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ndugu Godbless Lema, ameandika kuwataka Maaskofu watoe tamko ili waumini wao wasusie uchaguzi.

Pia, Ndugu Godlisen Malisa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka Askofu Mkuu wa KKKT atoe tamko. Wafuasi wake wamemshambulia sana Askofu Malasusa kwa kila aina ya matusi bila yeye kuchukua hatua zozote.

Naye Bi. Maria Sarungi, shabiki na mshirika wa karibu wa Tundu Lissu aliyeko nchini Kenya akiratibu na kuhamasisha matukio haya kwa msaada wa mataifa ambayo hayana nia njema na nchi yetu, ameandika kwamba aliyekamatwa na Polisi hausiki!! Amejuaje hausiki? Aliyepigwa yuko hospitalini. Je anamjua aliyempiga? Alimuona na kumtambua usiku saa nne?

Maria anasema aliyekamatwa alikuwa anakula tu Kanteen ya TEC. Sasa mtu akiwa anakula hawezi kuwa mshirika wa tukio? Maria anajuaje mtu huyo hakuwa anakula kama sehemu ya mpango wa kutekeleza uhalifu? Anajuaje hakuwa pale akiwaambia aliopanga nao muda Fr Kitima akinyanyuka wakae tayari kumshambulia?

Hii sio bahati mbaya hata kidogo. Ni mkakati maalumu wa kuchochea vurugu za kisiasa kwa kutumia dini.

Suala la kupigwa na kujeruhiwa kwa Fr Kitima ni muendelezo wa mpango wa makusudi kuigombanisha Serikali na wananchi, haswa wa dini ya kikristo.

Ni lazima watanzania tuwe makini sana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni lazima tuvilinde. Niwahakikishie, hapa kinachotafutwa na CHADEMA ni ‘trigger point’ (jambo litakalosababisha chuki isiyomithilika kwa kundi fulani aidha vijana au waumini wa dini) ili kuanzisha vurugu na machafuko kuzuia uchaguzi.

Viongozi wa CHADEMA wanatafuta kila namna nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu iwekewe vikwazo! Wanawaaminisha wafuasi wao kwamba wanakubalika ila wanaonewa na sasa wanaumizwa!

Hii ndio nia yao! Hakuna namna wataweza kushinda uchaguzi sasa wameamua kutekeleza mkakati huu ovu. Wanachi wenzangu, tusikubali kuingizwa mtegoni. TUSIKUBALI. Tuilinde nchi yetu. Tuelimishane. Tuhimizane upendo na kuthaminiana. Tupingane kwa hoja. Tuhakikishe hakugawanyiki 🙏🏿
Mimi ninaamini kuwa mtoa mada una akili timamu na kwa hiyo unapotosha ukweli kwa makusudi kabisa. Swali la kujiuliza ni je? Watu wanatekwa au hawatekwi?
Ni nani anaewateka? Kwa nini vyombo vya usalama havionekani kushughulikia matukio ya utekaji kwa weledi? Badala yake siasa zinakuwa nyingi sana. mimi ninaamini sana katika Mungu kuwa yeye ni mtenda haki na huwa anahakikisha kila mmoja anapokea malipo ya matendo yake hapa Duniani na baadae huko mbinguni. Tutauona tuu mwisho wa waovu, ambao siku zote mwisho wa ubaya ni aibu
 
Kumbukumbu pekee kwa sasa inayomhusu Samia ni HASI. Kila alilofanya tangu aingie ni kuihujumu Tanzania. Hiyo ndiyo kumbukumbu itakayo mwandama.
Na sasa anaingia kwenye hii mbaya zaidi, ya kutaka kuua waTanzania ili abakie madarakani.
Hizo habari za kuua zinatengenezwa na propaganda za vyama vya siasa. Ukizama sana kwenye siasa unapoteza hata uwezo wa kawaida wa kufikiria.

Rais anapakwa matope na huu ujinga mwingi unaokuwa ukifanywa na watu ambao hata hajawahi kuwaona.
 
Jambo hili sio jepesi kulisema lakini hakuna budi lisemwe bila kupindisha maneno. Viongozi wa CHADEMA wanataka vurugu na machafuko yaliyotokea Kenya na maeneo mengine duniani yatokee nchini kwetu kama njia ya kuzuia au kuvuruga uchaguzi.

Baada ya Fr Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC) kujeruhiwa, jana Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ndugu Godbless Lema, ameandika kuwataka Maaskofu watoe tamko ili waumini wao wasusie uchaguzi.

Pia, Ndugu Godlisen Malisa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka Askofu Mkuu wa KKKT atoe tamko. Wafuasi wake wamemshambulia sana Askofu Malasusa kwa kila aina ya matusi bila yeye kuchukua hatua zozote.

Naye Bi. Maria Sarungi, shabiki na mshirika wa karibu wa Tundu Lissu aliyeko nchini Kenya akiratibu na kuhamasisha matukio haya kwa msaada wa mataifa ambayo hayana nia njema na nchi yetu, ameandika kwamba aliyekamatwa na Polisi hausiki!! Amejuaje hausiki? Aliyepigwa yuko hospitalini. Je anamjua aliyempiga? Alimuona na kumtambua usiku saa nne?

Maria anasema aliyekamatwa alikuwa anakula tu Kanteen ya TEC. Sasa mtu akiwa anakula hawezi kuwa mshirika wa tukio? Maria anajuaje mtu huyo hakuwa anakula kama sehemu ya mpango wa kutekeleza uhalifu? Anajuaje hakuwa pale akiwaambia aliopanga nao muda Fr Kitima akinyanyuka wakae tayari kumshambulia?

Hii sio bahati mbaya hata kidogo. Ni mkakati maalumu wa kuchochea vurugu za kisiasa kwa kutumia dini.

Suala la kupigwa na kujeruhiwa kwa Fr Kitima ni muendelezo wa mpango wa makusudi kuigombanisha Serikali na wananchi, haswa wa dini ya kikristo.

Ni lazima watanzania tuwe makini sana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni lazima tuvilinde. Niwahakikishie, hapa kinachotafutwa na CHADEMA ni ‘trigger point’ (jambo litakalosababisha chuki isiyomithilika kwa kundi fulani aidha vijana au waumini wa dini) ili kuanzisha vurugu na machafuko kuzuia uchaguzi.

Viongozi wa CHADEMA wanatafuta kila namna nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu iwekewe vikwazo! Wanawaaminisha wafuasi wao kwamba wanakubalika ila wanaonewa na sasa wanaumizwa!

Hii ndio nia yao! Hakuna namna wataweza kushinda uchaguzi sasa wameamua kutekeleza mkakati huu ovu. Wanachi wenzangu, tusikubali kuingizwa mtegoni. TUSIKUBALI. Tuilinde nchi yetu. Tuelimishane. Tuhimizane upendo na kuthaminiana. Tupingane kwa hoja. Tuhakikishe hakugawanyiki 🙏🏿
Huyo mzungukoko maria sarungi bila shaka ni jasusi wa mojawapo wa nchi za kibeberu. Nahisi ni jasusi wa marekani. Amekua anashiriki kwa muda mrefu kila mkakati kuhujumu umoja na usalama wa taifa letu. Kifikra na kiitikadi ama ni muomini wa sera za kiliberali kama kina lissu au anatumika tu kama njia ya kupata kipato.
 
Hizo habari za kuua zinatengenezwa na propaganda za vyama vya siasa. Ukizama sana kwenye siasa unapoteza hata uwezo wa kawaida wa kufikiria.

Rais anapakwa matope na huu ujinga mwingi unaokuwa ukifanywa na watu ambao hata hajawahi kuwaona.
Watu kama wewe, ndio mnaomwongezea uchafu; pamoja na kwamba yeye mwenyewe ni wazi kabisa ni mchafu.
 
Msafi nani, Lema? Lissu?. Hakuna mwanasiasa chini ya jua mwenye uwezo wa kujiita msafi. Hayupo hata mmoja.
Sasa angalia upuuzi huu. Kwa hiyo unahalalisha uovu wa Samia kwamba hatakiwi kuwa msafi?

Wewe unasumbuliwa na mambo mawili, na nilisha yaeleza huko nyuma. Moja ni ufisadi wa kupindukia. Kujinufaisha bila kufikiri kuwa kuna utu ndani yako. Wengi wenu katika genge linalomshikiria Samia mumo kwenye kundi hili.

Msukumo wa pili ni imani unayo husiana na Samia; na kwa njia hiyo hata tamaduni zenu zinazowaongoza. Mnasahau kabisa kuwa kuna kitu kinaitwa Tanzania ambacho ni kikuu kabisa kuliko hayo yaanayowatenganisha nyinyi kama kundi.

Najuwa ni kazi bure kuelezea chochote kwa mtu kama wewe na maiti wenzako kama akina Tlaatlaah, ambao chochote kinachoweza kubadili nyoyo zenu kuona maovu mnayowatendea waTanzania.

Yote haya nilisha yaeleza, narudiarudia tu kwa mtu ambaye hana akili za kufikiri sawasawa.
 
Mimi mkristo mkatoliki Samia ni muislam mwenyeji wa kizimkazi Zanzibar, hatuna uhusiano wowote.

Naikubali kazi yake kwa wananchi wa Tanzania, ni kubwa kuliko ile aliyoifanya JPM katika miaka mitano aliyoongoza nchi hii.

Juzi Heche kakutana na aibu ya mwaka akiwa juu ya gari akihutubia wananchi na wamemkataa Lissu mbele ya macho yake!.

Sina siasa za chuki wala siwezi kukubali kuongozwa na chuki nasimamia ukweli mtupu. Samia anafanya mengi sana tatizo mashujaa wa nyuma ya keyboard hawana uwezo wa kuyaona kwa sababu dunia yao ni ndogo sana.
 
Back
Top Bottom