Mkakati wa Kuingiza Nchi Kwenye Machafuko

Jambo hili sio jepesi kulisema lakini hakuna budi lisemwe bila kupindisha maneno. Viongozi wa CHADEMA wanataka vurugu na machafuko yaliyotokea Kenya na maeneo mengine duniani yatokee nchini kwetu kama njia ya kuzuia au kuvuruga uchaguzi.

Baada ya Fr Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC) kujeruhiwa, jana Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ndugu Godbless Lema, ameandika kuwataka Maaskofu watoe tamko ili waumini wao wasusie uchaguzi.

Pia, Ndugu Godlisen Malisa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka Askofu Mkuu wa KKKT atoe tamko. Wafuasi wake wamemshambulia sana Askofu Malasusa kwa kila aina ya matusi bila yeye kuchukua hatua zozote.

Naye Bi. Maria Sarungi, shabiki na mshirika wa karibu wa Tundu Lissu aliyeko nchini Kenya akiratibu na kuhamasisha matukio haya kwa msaada wa mataifa ambayo hayana nia njema na nchi yetu, ameandika kwamba aliyekamatwa na Polisi hausiki!! Amejuaje hausiki? Aliyepigwa yuko hospitalini. Je anamjua aliyempiga? Alimuona na kumtambua usiku saa nne?

Maria anasema aliyekamatwa alikuwa anakula tu Kanteen ya TEC. Sasa mtu akiwa anakula hawezi kuwa mshirika wa tukio? Maria anajuaje mtu huyo hakuwa anakula kama sehemu ya mpango wa kutekeleza uhalifu? Anajuaje hakuwa pale akiwaambia aliopanga nao muda Fr Kitima akinyanyuka wakae tayari kumshambulia?

Hii sio bahati mbaya hata kidogo. Ni mkakati maalumu wa kuchochea vurugu za kisiasa kwa kutumia dini.

Suala la kupigwa na kujeruhiwa kwa Fr Kitima ni muendelezo wa mpango wa makusudi kuigombanisha Serikali na wananchi, haswa wa dini ya kikristo.

Ni lazima watanzania tuwe makini sana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni lazima tuvilinde. Niwahakikishie, hapa kinachotafutwa na CHADEMA ni ‘trigger point’ (jambo litakalosababisha chuki isiyomithilika kwa kundi fulani aidha vijana au waumini wa dini) ili kuanzisha vurugu na machafuko kuzuia uchaguzi.

Viongozi wa CHADEMA wanatafuta kila namna nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu iwekewe vikwazo! Wanawaaminisha wafuasi wao kwamba wanakubalika ila wanaonewa na sasa wanaumizwa!

Hii ndio nia yao! Hakuna namna wataweza kushinda uchaguzi sasa wameamua kutekeleza mkakati huu ovu. Wanachi wenzangu, tusikubali kuingizwa mtegoni. TUSIKUBALI. Tuilinde nchi yetu. Tuelimishane. Tuhimizane upendo na kuthaminiana. Tupingane kwa hoja. Tuhakikishe hakugawanyiki 🙏🏿
Je, umesema lolote juu ya uhalifu uliotokea?
 
We Chawa Mpya, Kuna uzito gani kufanya mabadiliko ya mfumo wetu wa Uchaguzi? Wewe na CCM yako mnaogopa nini?

Huu mfumo uliopo sasa ni taahira pekee anaweza kuuita ni uchaguzi huru.

Yaani unaenda kuchagua huku ukijua fika nani mshindi, akili matope.
 
Hadi nakuonea huruma. Tanzania inafuata haki za binadamu au haiguati?
Kati ya hayo uliyosema hapo juu kipi hasa kinavuruga amani ya nchi?
Unashangaa kuambiwa aliyekamatwa siyo mwenyewe?
Je yule aliyekamatwa KAWE wakati wa ulimboka alikuwa mwenyewe?
Wambie wanaokutuma watende HAKI
Amani bila haki ni UKASUKU
Halafu lilivyo jinga bado litakubishia hoja za msingi ulizoandika
 
Jambo hili sio jepesi kulisema lakini hakuna budi lisemwe bila kupindisha maneno. Viongozi wa CHADEMA wanataka vurugu na machafuko yaliyotokea Kenya na maeneo mengine duniani yatokee nchini kwetu kama njia ya kuzuia au kuvuruga uchaguzi.

Baada ya Fr Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC) kujeruhiwa, jana Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ndugu Godbless Lema, ameandika kuwataka Maaskofu watoe tamko ili waumini wao wasusie uchaguzi.

Pia, Ndugu Godlisen Malisa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka Askofu Mkuu wa KKKT atoe tamko. Wafuasi wake wamemshambulia sana Askofu Malasusa kwa kila aina ya matusi bila yeye kuchukua hatua zozote.

Naye Bi. Maria Sarungi, shabiki na mshirika wa karibu wa Tundu Lissu aliyeko nchini Kenya akiratibu na kuhamasisha matukio haya kwa msaada wa mataifa ambayo hayana nia njema na nchi yetu, ameandika kwamba aliyekamatwa na Polisi hausiki!! Amejuaje hausiki? Aliyepigwa yuko hospitalini. Je anamjua aliyempiga? Alimuona na kumtambua usiku saa nne?

Maria anasema aliyekamatwa alikuwa anakula tu Kanteen ya TEC. Sasa mtu akiwa anakula hawezi kuwa mshirika wa tukio? Maria anajuaje mtu huyo hakuwa anakula kama sehemu ya mpango wa kutekeleza uhalifu? Anajuaje hakuwa pale akiwaambia aliopanga nao muda Fr Kitima akinyanyuka wakae tayari kumshambulia?

Hii sio bahati mbaya hata kidogo. Ni mkakati maalumu wa kuchochea vurugu za kisiasa kwa kutumia dini.

Suala la kupigwa na kujeruhiwa kwa Fr Kitima ni muendelezo wa mpango wa makusudi kuigombanisha Serikali na wananchi, haswa wa dini ya kikristo.

Ni lazima watanzania tuwe makini sana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni lazima tuvilinde. Niwahakikishie, hapa kinachotafutwa na CHADEMA ni ‘trigger point’ (jambo litakalosababisha chuki isiyomithilika kwa kundi fulani aidha vijana au waumini wa dini) ili kuanzisha vurugu na machafuko kuzuia uchaguzi.

Viongozi wa CHADEMA wanatafuta kila namna nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu iwekewe vikwazo! Wanawaaminisha wafuasi wao kwamba wanakubalika ila wanaonewa na sasa wanaumizwa!

Hii ndio nia yao! Hakuna namna wataweza kushinda uchaguzi sasa wameamua kutekeleza mkakati huu ovu. Wanachi wenzangu, tusikubali kuingizwa mtegoni. TUSIKUBALI. Tuilinde nchi yetu. Tuelimishane. Tuhimizane upendo na kuthaminiana. Tupingane kwa hoja. Tuhakikishe hakugawanyiki 🙏🏿
Umeseme vizuri sana

Na inawezekana maadui zetu wapo ndani tayari, tuwe makini sana
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Nani alifanya jaribio la kumuuwa Tundu Lissu Dodoma kwenye makazi ya viongozi area D? Sehemu inazolindwa 24/7....! Ni nani aliondoa camera ( CCTV) nyumbani Kwa Karemani ( aliyekuwa jirani wa Lissu) baada ya tukio? Ni nani aliyewahi kushikiliwa na kuhojiwa na Police juu ya jaribio la kumuuwa Lissu?
Kuna mpuuzi mmoja alisema jana hapa ati kuna watu wanaua wenzao na kuisingizia serikali! Hawa watu ni wanafiki sana
 
Sasa ndugu kuna ugumu gani kuwapa wananchi tume iliyo huru ili hawa wapinzani wakose hoja?
Huoni wale wanaokataa tume huru ndio wanaotaka kuharibu amani nchini?

Na kwanini viongozi wa CCM pamoja na wapambe wao wanaweza kutamka lolote hata kutishia uhai wa mtu lakini hawachukuliwi hatua?

Kuna mambo marahisi kabisa ya kufanya kwa wananchi ili kuondoa hofu mlizonazo kama serikali. Vitu hivi hampo tayari kuvisikia wala kuvitamka zaidi ya kutafuta wapinzani wanaowakumbusha wajibu wenu na kuwasulubu.
Mimi kwa ufahamu wangu nimejua na nimeona kwamba watanzania hawafurukuti mbele ya CCM ndio maana wapo kimya hata mkiua na kugawana fedha za walipa kodi... sanasana wananchi wanaonekana kuwa tayari kushirikiana na yeyote hata kama ni adui wa taifa letu ili tu wapate msaada wa kukabiliana na nyie.

Yawezekana kweli CHADEMA wanashirikiana na mataifa ya nje kuharibu amani, lakini sio kwamba wanapenda bali option yao ya mwisho sababu ndani ya nchi hawathamini, hawapo salama na wanawindwa kama swala mbugani.
Bora basi tuwe na chama kimoja ijulikane kuliko watu wenye mawazo tofauti na nyie kuuawa, kutekwa na kuumizwa na wengine wakibambikiwa kesi.
 
Jambo hili sio jepesi kulisema lakini hakuna budi lisemwe bila kupindisha maneno. Viongozi wa CHADEMA wanataka vurugu na machafuko yaliyotokea Kenya na maeneo mengine duniani yatokee nchini kwetu kama njia ya kuzuia au kuvuruga uchaguzi.

Baada ya Fr Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC) kujeruhiwa, jana Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ndugu Godbless Lema, ameandika kuwataka Maaskofu watoe tamko ili waumini wao wasusie uchaguzi.

Pia, Ndugu Godlisen Malisa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka Askofu Mkuu wa KKKT atoe tamko. Wafuasi wake wamemshambulia sana Askofu Malasusa kwa kila aina ya matusi bila yeye kuchukua hatua zozote.

Naye Bi. Maria Sarungi, shabiki na mshirika wa karibu wa Tundu Lissu aliyeko nchini Kenya akiratibu na kuhamasisha matukio haya kwa msaada wa mataifa ambayo hayana nia njema na nchi yetu, ameandika kwamba aliyekamatwa na Polisi hausiki!! Amejuaje hausiki? Aliyepigwa yuko hospitalini. Je anamjua aliyempiga? Alimuona na kumtambua usiku saa nne?

Maria anasema aliyekamatwa alikuwa anakula tu Kanteen ya TEC. Sasa mtu akiwa anakula hawezi kuwa mshirika wa tukio? Maria anajuaje mtu huyo hakuwa anakula kama sehemu ya mpango wa kutekeleza uhalifu? Anajuaje hakuwa pale akiwaambia aliopanga nao muda Fr Kitima akinyanyuka wakae tayari kumshambulia?

Hii sio bahati mbaya hata kidogo. Ni mkakati maalumu wa kuchochea vurugu za kisiasa kwa kutumia dini.

Suala la kupigwa na kujeruhiwa kwa Fr Kitima ni muendelezo wa mpango wa makusudi kuigombanisha Serikali na wananchi, haswa wa dini ya kikristo.

Ni lazima watanzania tuwe makini sana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni lazima tuvilinde. Niwahakikishie, hapa kinachotafutwa na CHADEMA ni ‘trigger point’ (jambo litakalosababisha chuki isiyomithilika kwa kundi fulani aidha vijana au waumini wa dini) ili kuanzisha vurugu na machafuko kuzuia uchaguzi.

Viongozi wa CHADEMA wanatafuta kila namna nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu iwekewe vikwazo! Wanawaaminisha wafuasi wao kwamba wanakubalika ila wanaonewa na sasa wanaumizwa!

Hii ndio nia yao! Hakuna namna wataweza kushinda uchaguzi sasa wameamua kutekeleza mkakati huu ovu. Wanachi wenzangu, tusikubali kuingizwa mtegoni. TUSIKUBALI. Tuilinde nchi yetu. Tuelimishane. Tuhimizane upendo na kuthaminiana. Tupingane kwa hoja. Tuhakikishe hakugawanyiki 🙏🏿
Kwani muanzisha fujo na vita ni anae teka na kuua raia wasio hata na manati au wanao teka na kuuliwa wakiwa hawana hata manati?
 
We Chawa Mpya, Kuna uzito gani kufanya mabadiliko ya mfumo wetu wa Uchaguzi? Wewe na CCM yako mnaogopa nini?

Huu mfumo wa sasa ambao ni taahira pekee anaweza kuuita ni uchaguzi huru.

Yaani unaenda kuchagua huku ukijua fika nani mshindi, akili matope.
Uchaguzi wa Serikali za mitaa ulisimamiwa na mkwe CCM IKASHINDA 99%
 
Hivi zile video za juzi Polisi wakiwapiga Viongozi na Wanachama wa CDM sio kutaka kuharibu amani ya Nchi kweli

Hivi tangu lini CDM ikawa na Jeshi

Au IGP anateuliwa na Mwenyekiti wa CDM

Wakati mwingine tujiulize, hivi tuna Nchi ya kukimbilia iwapo Nchi yetu itaingia kwenye machafuko yanayosababishwa na Kikundi kidogo cha watu

Tena hata hao Polisi wanaotumwa kuumiza watu, unaweza kuta zaidi ya asilimia 98 yao hawana hata Passport ya kusafiria ukiachilia mbali hali zao duni za maisha
 
Sasa ndugu kuna ugumu gani kuwapa wananchi tume iliyo huru ili hawa wapinzani wakose hoja?
Huoni wale wanaokataa tume huru ndio wanaotaka kuharibu amani nchini?

Na kwanini viongozi wa CCM pamoja na wapambe wao wanaweza kutamka lolote hata kutishia uhai wa mtu lakini hawachukuliwi hatua?

Kuna mambo marahisi kabisa ya kufanya kwa wananchi ili kuondoa hofu mlizonazo kama serikali. Vitu hivi hampo tayari kuvisikia wala kuvitamka zaidi ya kutafuta wapinzani wanaowakumbusha wajibu wenu na kuwasulubu.
Mimi kwa ufahamu wangu nimejua na nimeona kwamba watanzania hawafurukuti mbele ya CCM ndio maana wapo kimya hata mkiua na kugawana fedha za walipa kodi... sanasana wananchi wanaonekana kuwa tayari kushirikiana na yeyote hata kama ni adui wa taifa letu ili tu wapate msaada wa kukabiliana na nyie.

Yawezekana kweli CHADEMA wanashirikiana na mataifa ya nje kuharibu amani, lakini sio kwamba wanapenda bali option yao ya mwisho sababu ndani ya nchi hawathamini, hawapo salama na wanawindwa kama swala mbugani.
Bora basi tuwe na chama kimoja ijulikane kuliko watu wenye mawazo tofauti na nyie kuuawa, kutekwa na kuumizwa na wengine wakibambikiwa kesi.
Daaah! Hongera Kwa akili kubwa
 
Wakati mwingine unashindwa hata uongee au uandike nini.
Hivi chaguzi zinazofanyika nchi hii ni haki? watu wanao umizwa, kuuwawa, kutekwa, kupotezwa, kulemazwa, kupewa kesi za ajabu ajabu na baadae kukaa mahabusu kwa muda mrefu kisha kuachiwa na dpp kwa kukosa nia ya kuendelea na kesi, hao watu wakisemewa ndiyo kuleta vurugu?
 
Kiuhalisia chadema hawawezi kuleta machafuko hasa hasa kipindi hiki,ila ninyi mnaotumia nguvu ndo mnaotaka kuleta machafuko,hivi kama mngemkaushia tu Lisu mngepungukiwa Nini?watanzania Kwa uoga wao unadhani wanaweza kukiwasha kirahisi rahisi?sasa mpaka Leo mmeua na kujeruhi wangapi?? Watanzania wangapi wameumizwa na ukatili wenu??? Hao walioathirika unadhani wakiungana Nini kitatokea???kuna watu maisha Yao yamepoteza mwelekeo baada ya kupotezwa Kwa wapendwa wao,wamejikatia tamaa unadhani hawawezi kujitoa muhanga wakihamasishwa???acheni kutengeneza matatizo!!!
 
Okay,Kuna siku itafika bro
Ikifika tutaoumia ni sisi na familia zetu na ndugu zetu hao wanaowachochea watakimbilia nje ya nchi ambapo wamepewa uraia wao na familia zao, chama cha siasa hakiwezi kubadilisha maisha yako na kuna njia ya kufuata siyo vurugu
 
Jambo hili sio jepesi kulisema lakini hakuna budi lisemwe bila kupindisha maneno. Viongozi wa CHADEMA wanataka vurugu na machafuko yaliyotokea Kenya na maeneo mengine duniani yatokee nchini kwetu kama njia ya kuzuia au kuvuruga uchaguzi.

Baada ya Fr Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu (TEC) kujeruhiwa, jana Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Ndugu Godbless Lema, ameandika kuwataka Maaskofu watoe tamko ili waumini wao wasusie uchaguzi.

Pia, Ndugu Godlisen Malisa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA ameandika kwenye ukurasa wake wa instagram akimtaka Askofu Mkuu wa KKKT atoe tamko. Wafuasi wake wamemshambulia sana Askofu Malasusa kwa kila aina ya matusi bila yeye kuchukua hatua zozote.

Naye Bi. Maria Sarungi, shabiki na mshirika wa karibu wa Tundu Lissu aliyeko nchini Kenya akiratibu na kuhamasisha matukio haya kwa msaada wa mataifa ambayo hayana nia njema na nchi yetu, ameandika kwamba aliyekamatwa na Polisi hausiki!! Amejuaje hausiki? Aliyepigwa yuko hospitalini. Je anamjua aliyempiga? Alimuona na kumtambua usiku saa nne?

Maria anasema aliyekamatwa alikuwa anakula tu Kanteen ya TEC. Sasa mtu akiwa anakula hawezi kuwa mshirika wa tukio? Maria anajuaje mtu huyo hakuwa anakula kama sehemu ya mpango wa kutekeleza uhalifu? Anajuaje hakuwa pale akiwaambia aliopanga nao muda Fr Kitima akinyanyuka wakae tayari kumshambulia?

Hii sio bahati mbaya hata kidogo. Ni mkakati maalumu wa kuchochea vurugu za kisiasa kwa kutumia dini.

Suala la kupigwa na kujeruhiwa kwa Fr Kitima ni muendelezo wa mpango wa makusudi kuigombanisha Serikali na wananchi, haswa wa dini ya kikristo.

Ni lazima watanzania tuwe makini sana. Amani na utulivu wa nchi yetu ni lazima tuvilinde. Niwahakikishie, hapa kinachotafutwa na CHADEMA ni ‘trigger point’ (jambo litakalosababisha chuki isiyomithilika kwa kundi fulani aidha vijana au waumini wa dini) ili kuanzisha vurugu na machafuko kuzuia uchaguzi.

Viongozi wa CHADEMA wanatafuta kila namna nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu iwekewe vikwazo! Wanawaaminisha wafuasi wao kwamba wanakubalika ila wanaonewa na sasa wanaumizwa!

Hii ndio nia yao! Hakuna namna wataweza kushinda uchaguzi sasa wameamua kutekeleza mkakati huu ovu. Wanachi wenzangu, tusikubali kuingizwa mtegoni. TUSIKUBALI. Tuilinde nchi yetu. Tuelimishane. Tuhimizane upendo na kuthaminiana. Tupingane kwa hoja. Tuhakikishe hakugawanyiki 🙏🏿
VIpi braza mbona unaihubiri sana Amani ilhali hautaki kuihubiri Haki ? Unaogopa watoto wa kihuni watakuja kuharibu mali zako za ukweeee nini ulizochuma kwa miaka yote ya maisha yako kama kikinuka ?
 
Back
Top Bottom