jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,648
- 4,451
Ughonile sibonikeEL ni kielelezo cha vyote ambavyo ukawa wanapinga. Haitawezekana kumpokea kwa vyovyote vile. Labda kama ukawa watakuwa wamerukwa na akili.
Ughonile sibonikeEL ni kielelezo cha vyote ambavyo ukawa wanapinga. Haitawezekana kumpokea kwa vyovyote vile. Labda kama ukawa watakuwa wamerukwa na akili.
HahahahahahahahahahahahahaahahahahahahahahahahahahahahahahahahaModerator mnaonaje uzi huu ukifungwa?
Acha kujichekesha wewe mvulanaHahahahahahahahahahahahahaahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
HehehehehId nyingi sana zilikua zinampinga lakini leo ndizo zinazomtetea.
Kwa hali hii pesaa ni hatari sana unaweza kubadili giza kua mwanga
Humu jf nimegundua Id ambazo ni kongwe nyingi hazimtetei ila kuna baadhi zinamtetea kwa maslahi yao zilizojaa mpya tu
Vijana nendeni field sio kwenye mitandao hapa ni kakikundi kadogo sana ka watu
Hii ndo siasa za tz na watz ni unafiki na ushabiki tu mwanzo mwisho
Jf ni kiboko inaumbua watu!!!!!!!!
Wewe jaman mbeaWewe Mbowe akikijua utajuta.
Umeshatoka UKAWA??
Ughonile nkamu. Umeona walivyorukwa na akili. Sasa wanavuna walichopanda. UKAWA, na Hasa CDM ilikufa siku walipompokea LowassaUghonile sibonike
Karma itakutafuna na hutowahi kufikia matamanio yako yoyote kisiasaLowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Unatamani kufuta post hii lakini wapi ...JF hakifutiki kitu!LOWASSA NI NGUMU KUINGIA UKAWA KAMA ILIVYO KWA NGAMIA KUPENYA KTK TUNDU LA SINDANO"lowasa for presidential 2015"via CCM
Ningekuwa mimi ni wewe ningejipika ban ya maisha hapa JF, lakini kwa uweza wa wale wanyama watembea kwa makundi wakivuka kwenda Kenya na kurudi Tanzania wala huoni haya.Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Dada Erythrocyte vipi umeshatoka UKAWA??? Hahahahahaaa!!! Huaminiki dada!!Lowasa akija UKAWA mimi natoka , amechafuka , hana na wala hajawahi kuwa na fikra mpya , ndio maana hadi leo anaamini kwamba rushwa itampeleka ikulu .
Kwa nini?? Tunataka tuwajue mapopoma humu JF!! Hahahaha...!!Moderator mnaonaje uzi huu ukifungwa?
Sijui bado upo hai leo hii 2017?na ma picha picha yote yalishatokea.aibu kweli kweliTena akome anajua jasho la wananchi wanaopigania UKAWA abaki na mazimwi wenzie CCM