Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

Wapiga kura wanaojitambua na wenye mapenzi ya kweli na Tanzania kamwe hawawezi kupoteza kura zao kwa huyu fisadi mgawa rushwa katika nyumba za ibada.

Ni wewe kweli kamanda au kuna mtu aliiba nywila yako kipindi hicho?
 
Heshima ikurudie Mkuu, hawa wahamiaji wa vyama vingine miezi michache kabla ya uchaguzi ni wa kuogopwa kama Ebola.

Hivi sasa hivi unaweza.kumwambia maneno hayon kipenzi chako Lowassa?
 
Sijakurupuka....bali sioni jitihada unazotumia kumkosoa Lowasa kama unavyojitahidi kumkosoa Lipumba au Magufuli.

Na kwa bahati mbaya au nzuri huyu Lipumba anaendele kumkosoa Lowasa kuhusiana na maadili. I thought you have one thing in common.....kumbe unachagua kuwashambulia wa nje ukiogopa wa ndani.
 
CC: kwa wanaufipa wote.....@Mmawia Daudi Mchambuzi Chakaza Salary Slip na wengineo
 
hatutaki viongozi waliowahi kuliingizia taifa hasara ndo waje huku never on earth, labda awe mwanachama wa kawaida tu na sio kugombea nafasi yoyote ya uongozi vinginevyo arudi huko huko kwa chama chake cha mashetani

Tena akome anajua jasho la wananchi wanaopigania UKAWA abaki na mazimwi wenzie CCM

Duh......akiba ya maneno
 
Masikini.....na hivi chama chenu ni cha kifashist huna hata pa kupeleka mawazo zaidi ya hapa JF......

Na ukijaribu kuzungumza haya kwenye vikao vyenu vya Chama utaishia kufukuzwa kama mbwa koko.
 
Hao hufuata wanachoambiwa na Sultan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…