Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,119
- 173,952
Dar tunalindwa na Bwana wa Majeshi aliye juu 🤣🤣🤣Siwezi kupigana ngumu na muharifu na hiyo nafasi akitaka kutumia minguvu yake ndio atapotea ukitembea usiku unatakiwa kua full chalii angu sio unatembea night unakua kama unakwenda ukweni!mie ikishafikaga saa 2 usiku nikiwa natoka nakua niko full ikifika saa4 siruhusu mtu nisie mjua kunisogelea njiani ikifika kuanzia saa 6 na kuendelea hua napita ktk ya barabara sasa sogeza matendegu yako usawa wangu ila dar nyie waoga sana amna hazi ya kuoa meru!