Mjue "Mbokoo" kibaka aliyewahi kuitikisa Kigamboni-Dar kabla ya kudhibitiwa kwa mbinde na Polisi

we jamaa ni mbishi Kama Pumb** ....huelewi nadhani unahitaji kueleweshwa zaidi, kinachoshindikana risasi isipotezwe kimazingira ni nini? Kama panga linadunda, jiwe linadunda, mshale unadunda, itashindikanaje kwa risas ? the same procedure will apply

Wewe ni mbishi kama Gov*, unaleta ubishi wa vijiwe vya kahawa na Alkasusi hapa!!!---- Alkasusi inaongeza "nguvu- dume" tu wala haiongezi "nguvu- akili".

Katika umbali wa mita 100 risasi ya AK 47 inaweza kutoboa MS sheet ya 3mm thick, (mild steel sheet ya unene wa mm3), sasa niambie ni mtu gani mwenye mwili wenye ugumu wa mild steel sheet ya 3mm thick???!!, akiwepo basi hilo ni "robot" na siyo mtu.

An AK 47 bullet can penetrate 3 mm thick m/s material at a distance of 100Metre, what about a man standing at a close range say, about 2- 5 metre away from the gun???!!.

Ndiyo maana nasema wewe umeokota hadithi za vijiwe vya kahawa na wala hujui chochote kuhusu bunduki na wala naamini hujagusa bunduki sembuse kuitumia, pia hujui Physics behind, chukua nafasi hii kujifunza kidogo hapa chini, na kumbuka pia hakuna dawa ya kienyeji au uchawi au mazingara yanayoweza kuzuia rusasi isiokuwa mtu avae Bullet vest (Bullet proof) special kwa ajili ya risasi na bunduki ya aina fulani kwani Bunduki zinatofautiana nguvu.

Screenshot_20200606-071223.png
 
wanaume na vijana wa Dar ni shida kweli kweli yaani kipaka mmoja anawasumbua miaka nenda miaka rudi? aloo ebu achene umama na m-ngangamale japo kidogo, yaani apo mlitakiwa mfagie ukoo wake woote
 
Wewe ni mbishi kama Gov*, unaleta ubishi wa vijiwe vya kahawa na Alkasusi hapa!!!---- Alkasusi inaongeza "nguvu- dume" tu wala haiongezi "nguvu- akili".

Katika umbali wa mita 100 risasi ya AK 47 inaweza kutoboa MS sheet ya 3mm thick, (mild steel sheet ya unene wa mm3), sasa niambie ni mtu gani mwenye mwili wenye ugumu wa mild steel sheet ya 3mm thick???!!, akiwepo basi hilo ni "robot" na siyo mtu.

An AK 47 bullet can penetrate 3 mm thick m/s material at a distance of 100Metre, what about a man standing at a close range say, about 2- 5 metre away from the gun???!!.

Ndiyo maana nasema wewe umeokota hadithi za vijiwe vya kahawa na wala hujui chochote kuhusu bunduki na wala naamini hujagusa bunduki sembuse kuitumia, pia hujui Physics behind, chukua nafasi hii kujifunza kidogo hapa chini, na kumbuka pia hakuna dawa ya kienyeji au uchawi au mazingara yanayoweza kuzuia rusasi isiokuwa mtu avae Bullet vest (Bullet proof) special kwa ajili ya risasi na bunduki ya aina fulani kwani Bunduki zinatofautiana nguvu.

View attachment 1469862
Mkuu nakubaliana na mchangiaji hapo juu hizi dawa zipo na zinafanya kazi, majambazi wengi tu wavamia benki enzi hizo walitumia.

Kuhusu SMG kuna declassified CIA report juu ya waasi wa Mai Mai huko Katanga DRC ambao askari wa serikali walikua wanatoa taarifa kuwa wakipiga risasi haziwagusi kabisa.

Hata kule Ituri katika vita kati ya UPC na majeshi ya serikali kuna watu walikua wakipigwa RPG cjui SMG wanaibuka wazima kabisa.

Na hta commander wao aliuawa naye kwa njia za kimazingara yaani walisubiri muda ambapo miguu yake haipo ardhini, iwe juu ya mti au ndani ya gari ndio akauawa tena na kijana wa miaka 14 tu!!

Hii ni report ya CIA kabisa na nliwahi upload kule JF intelligence. Kwahiyo hzi mambo zipo
 
HAYA BISHA NA HAPO; NIMEKUWEKEA VIDEO KABISA
 
HYO JAMAA MBISHI KAMA PMBI UNAPOTEZA MDA HAELEWI! NIMEMWEKEA HADI VIDEO KABISA AONE
 
Wewe kama Mbabe tunakutupa mitaa ya keko tu! Hio bangi yako ya Chuga itaisha ndani ya muda mchache sana. We ukisikia Dar unahisi ni kinondoni tu kwa mabishoo?
Temeke yote sijawahi kuielewa, hua naona kama kuna high level ya uhalifu yaan wanaishi maisha ya kimexico mexico, lol,
Keko, Yombo, Tandika, Mbagala, Buza
Hapana panatisha.
 
Huko wanaishi kitemi. Kama sio mtemi na una roho nyepesi utaishia kulizwa kila siku pengine hata kuumizwa. Hii ndio sababu ilinifanya nipachukie Arusha pia.
 
Mwaka flan nilienda maeneo ya Yombo kwa mwinyi, sasa napenda sana kuweka simu mfuko wa nyuma, basi natembea na wenyeji wangu najiachia, bro mmoja akaiita kwa nguvu, nikageuka akasema "toa simu nyuma huku sio kwenu Kinondoni" daah halafu hata hanijui, kweli naona viteja viwili vipo nyuma yetu, wenyeji ndio wanashtuka daah nikasema hata uhuru wa kutembea mchana hamna duh.
 
Wangekusuuza chapu!
 
Back
Top Bottom