MJUE Lowasa

MJUE Lowasa

NO RESERCH NO RIGHT TO SPEAK SO WE SHOULD LOOK THE FACT OF THESE

  • A%20S%20100.gif

 
ata BM,SS,NN,RM Waliokutuma wewe mleta hoja si wasafi ndio hao waliotuma manaibu wazri kwenda kuwaonga vijana wamchague makonda wakafukuzwa na beno et wakadai walienda kusalmia vijana so wameona dodoma ndio sehemu za kusalmia vijana tu? kwa nn wasiwafate majimboni kama si kugawa rushwa..shame on u

mkuu kwa taarifa tu, mimi sio ccm wala siikubali kwani inanuka rushwa na mtowaji mkubwa ni lowasa.

Ungerudi kwenye maja ingekuwa vzr badala ya kuleta ngonjera.
 
NO RESERCH NO RIGHT TO SPEAK SO WE SHOULD LOOK THE FACT OF THESE

  • A%20S%20100.gif


ungekuja na reserch ya kupinga niloyaandika ingekuwa vzr.

Naamini hata nyerere alikuwa anayajua haya ndiomana akasema lowasa sio msafi.
Au na nyerere hakufanya reserch ya aliyoyaongea?
 
kuna watu wanaojua chanzo cha utajiri wake wanaweza pia kutoa mwelekeo. kama kauza ng'ombe wa kimasai tujue

hivi ukiuza ng'ombe wangapi unaweza kumwaga fedha kwa makada wote wa chama, kuanzia wilaya, mkoa, mpaka taifa?
 
Mbali na utajiri wa kurithi kwa taarifa yako pesa nyingi kaipata kwenye uuzaji wa tanzanite,hizo za kuhusishwa na ufisadi ni kidogo sana,hamna kama yeye ndani ya c.c.m nzima

Hapo kweny RED hapo! Mnakuza tu habari za kurithi. Ingekuwa kweli Mwalimu Nyerere asingeshangaa kuwa EL ni tajiri, lakini naye aliutilia mashaka utajiri wake wa ghafla! Hivi unafahamu wakati mafuriko yale ya Mtwara na Lindi (sikumbuki mwaka) EL alikuwa waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu? Ni wakati huo basi jamaa alipo "piga" mifweza ya Msaada kwa waathirika! Najua utabisha lalkini ukweli ndo huo!
 
mkuu kwa taarifa tu, mimi sio ccm wala siikubali kwani inanuka rushwa na mtowaji mkubwa ni lowasa.

Ungerudi kwenye maja ingekuwa vzr badala ya kuleta ngonjera.

Maja ndo nini?? Unaandika kama uko kwenu machame kwenye klabu ya gongo??
 
Hakutaka kuisumbua mahakama na bunge akaamua kujiuzulu tofauti na wengine mpaka walazimishwe, Ana roho ngumu na ni mafia no:1 tz,anaweza ku guarantee pumzi yako in minute.
 
SIFA ZA LOWASA

Katika histori ya tanzania,
hajatokea mwanasiasa mtoa rushwa kama lowasa.


Hajawahi kutokea mwanasiasa Aliyeonyesha tamaa kubwa ya urais kama lowasa.


Ametengeneza mtandao mpana wa wapambe ndani na nje ya chama chake kama lowasa.


Anatuhumiwa kugawa rushwa ndani ya chama chake lakini hatasikumoja hajasimama kuikemea rushwa au kukana hizo shutuma.


Anakashfa ya ufisadi wa mabilioni na alijiuzulu lakini mwenyewe hajawai kuuthibitishia umma kwamba hakuhusika.


Anatumia nguvu kubwa kujisafisha wakati angeweza kuanika ukweli hadharani kwa ushahidi kuwa hausiki then watanzania tukamuelewa.


Mwenye kujua sifa nyingine aongezee.

hana uoga wala aibu (ukauzu)
 
Ingependeza kama ungeleta open topic watu wakupe data ili umjue lowasa. ulichokifanya ni kuweka hisia zako kwa kuja na hewa hapa. Acha majungu njoo na data, huna toa huu ukakasi. Ndani ya ccm ni lowasa wa kusaidia, simaanishi mwenye uwezo pekee bali mwenye uwezo wa kupenya na kutusaidia kwa mazingira ya sasa ya ccm if at al ccm takes over again. the truth. Say yes to EL
ukada wako hausaidii kitu,kama unataka kumsafisha wewe toa sababu za kumsafisha kama ni uchafu ananuka na wala simfano wa uongozi bora.
Iwapo mwenyekiti wa chama chenu mwenyewe analalamika kuhusu rushwa na wapambe wa Lowassa ndiyo wanaoaminika kujipanga kwa rushwa,na rushwa si kigezo cha uongozi bora,ameshindwa kueleza kuwa hajahusuka na Richmond na ni nani aliyehusika,halafu mtu mwenye uchungu na nchi yako anayesema ukweli unamuona na majungu?Tatizo kawahonga hela nyingi!nuts
 
He is a bloody blood sucker. Hata hivyo anajidanganya akidhani na watanzania watadanganyika naye. Siamini kama atakuwa hai hadi kufikia uchaguzi. Who knows? May God intervene and save our nation of the hyenas and jackals hellbent to become our rulers.
 
Maja ndo nini?? Unaandika kama uko kwenu machame kwenye klabu ya gongo??

Acha hasira dada, jibu hoja, usilete porojo.
Unaweza kueleza mazuri yake au kukanusha niliyo yaandika.
Kama huna cha kuchangia bora kunyamaza.

Hata hivyo umenikumbusha nyumbani kwasababu mimi ni wa machame.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom