peri
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 2,579
- 1,168
- Thread starter
- #21
Kila jaamii huongozwa na yule ambae yuko best kwa yale ambayo jamii husika huyafanya...
jamii ya waadilifu huongozwa na muadilifu kuliko wote
jamii ya wezi huongozwa na mwizi kuliko wote
jamaa ya majambazi na watoa rushwa..huongozwa na the best among them.....
The Boss umenena vyema,
tatizo la nchi yetu ni kubwa sana kwasababu ni la kimfumo.
Tunahitaji kiongozi wa aina yake, anaichukizwa na uchafu wa rushwa, uzembe, udini, uzinzi, ulevi na ukosefu wa maadili uliojaa ktk jamii.
Kiongozi msafi kwa matendo yake na asiehusika kwa vyovyote na uchafu huo ili awe na ujasiri wa kuukemea na kupambana nao.