igwana123
Senior Member
- Nov 8, 2010
- 175
- 25
Hapana Mkulo sio MMLAWI NI MGANDA si unaona amefananma sana na Museveni?
Kweli sismizi hapotei njia!
Hapana Mkulo sio MMLAWI NI MGANDA si unaona amefananma sana na Museveni?
Ni kweli Kabila mkubwa hakuwa baba yake mzazi. Kuna wanaosema baba yake ni mnyarwanda na kuna wasemao baba yake ni mbongo. Sasa hatujui which is which
Rais Joseph Kabila si mtoto wa hayati Raurent Kabila ni Mnyarwanda wa kabila la kitusi
could be true eeh, check this link
Concerning the true Identity of Mr. Hippolyte Kanombe alias "Joseph Kabila"
''he passed away and i didnt cry,coz my anger,wudnt let me feel for a stranger....They say am wrong and am heartless,but all along i was looking for a father he was gone...''by tupac in dear mama.......Under such circumstances he has a right to call mzee kabila his father...!!!..katika mazingira hayo Baba ni yule aliyemlea na kumpa matunzo mpaka akawa mtu mzima...Mike Tyson na Shaquelle O'Neal waliwakataa their biological fathers ambao waliwakimbia wakiwa watoto na baadaye kujitokeza wakati wamepata umaarufu...zaidi, kama Joseph anatumia ubini wa Kabila, basi inamaanisha anamtambua Mzee Laurent Kabila kama baba yake mzazi.
Kwani Raulent au Laurent ni kiswahili?Ndugu Emmanuel yule Mzee alikuwa akiitwa Laurent na sio Raurent
Tukipende kiswahili na tukiandike fasaha.
Jamani nivyofahamu mimi Mama yake Joseph Kabila anaitwa Sifa (Mama Sifa), ambaye ni mke wa kwanza wa mzee kabila. Joseph kabila ni mtoto wa mzee Kabila aliyezaa na Mama Sifa. Pia mzee Kabila alizaa na Mwanamuziki Tshela Mwana. Joseph Kabila anajulikana R.D.C Kwa jina la Joseph Kabila Kabange sasa jina lilotajwa na mtoa mada mbona halifanani hata moja?
Suppose your gosip looks like truth tell us how he came tobe raised by laurent Desire Kabila while he isn't his biological father.Joseph Kabila jina lake halisi anaitwa Hypolite Christofer Kanambe, raia wa Rwanda, kabila lake mtusi. Babake anaitwa Adrien Christofer Kanambe. Inakuwaje mtu ambaye si raia wa Kongo DRC kuiongoza nchi hiyo kama rais?
Josee ni pure mnyarwanda . Na hakubaliki na wakongoman hata walinzi wake ni mchanganyiko wa watutsi na wabongo.
Joseph Kabila Kabange (known commonly as Joseph Kabila, born June 4, 1971) is a Congolese politician who has been President of the Democratic Republic of the Congo since January 2001.
He took office ten days after the assassination of his father, President Laurent-Désiré Kabila. He was elected as President in 2006. In 2011, he was re-elected for a second term.
Biography
Early life and Education
Joseph Kabila Kabange was born on June 4, 1971 at Hewabora, a small village in the Fizi territory of the South Kivu province, in eastern Congo. He is the son of long time rebel, former AFDL leader and president of the Congo Laurent-Désiré Kabila and Sifa Mahanya.
Guerrilla and Army years
Following high school, Joseph Kabila followed a military curriculum in Tanzania, then at Makerere University in Uganda. ".
Fanya utafiti wako vizuri ili uongeze nyama hapo naona kama hapo kuna mkatiko fulani hivi ambao ni wachache wanajua ni kwa nini panakatwa.