..katika mazingira hayo Baba ni yule aliyemlea na kumpa matunzo mpaka akawa mtu mzima.
..Mike Tyson na Shaquelle O'Neal waliwakataa their biological fathers ambao waliwakimbia wakiwa watoto na baadaye kujitokeza wakati wamepata umaarufu.
..zaidi, kama Joseph anatumia ubini wa Kabila, basi inamaanisha anamtambua Mzee Laurent Kabila kama baba yake mzazi.
Tupe DNA test results to prove otherwise this will be another CRAP spamming a person and ruining jf's reputation.
Sasa tatizo liko wapi kwani baba lazima wa kukuzaa hata wa kukulea ni baba tu,kama haliwasumbui Wacongo wewe unasumbuliwa na nini ? nani asiyefahamu mchango wa Joseph katika kuikomboa Congo kutoka utawala wa Mabuto na kwamba alikuwa mmoja wa viongozi wa jeshi la baba yake ? Kiuchumi pia Joseph kafanya makubwa kwa kufuta mikataba yote ya madini na kuweka mipya na wanapata asilimia 15-30 kutegemea na aina ya mgodi. Joseph karibu Tanzania ugombee 2015 utukomboe kwenye makucha ya kina Barrick.
Mbona Mkullo ni raia wa Malawi? na ni waziri wa mapesa yetu?