Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,049
Jamaa amechukua nchi Mwaka 2001 mpaka leo ukiangalia takwimu za Jeshi la Congo eti ana wana anga 1400 this is ridiculous!!! nchi yote ile Air defence wanakua 1400!!! kwa hiyo ni kweli pale kuna sanaa,,,nadhani suluhu ni kuigawa ile nch maana kweli huyu Kabila ni kibaraka..
Yule hawezi kujiongoza mwenyewe ataongozaje wacongo men? Ni bahati mbaya watu wajinga wajinga wanaendelea kukaa kwenye madaraka. Siamini kabisa he is the right person to lead Congo....kwanini asiwe mjumbe wa amani kwa kuachia ngazi ili tujue moja.