Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,638
- Thread starter
- #281
Ila wapwa hawanufaiki....wapo DRC na wanataka kurudi......Kuna comment yangu humu nimeonesha pia hili lakini huwezi kuacha kumsifu jamaa kwa hatua anazopiga. Fuatilia issue za Tech, entertainment, international conferences, utalii wa nyani tu unaingiza kiasi gani, foreign investments
Hapa Pk kajitahidi, imagine hub ya muziki East Africa ni Tanzania ila Tuzo za MTV zikaenda kufanyikia Rwanda, just imagine
Wanaonufaika ni wana ukoo wateule.
