Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,093
- 2,602
Mjomba slim.mjomba ako ni nani sasa nikusaidie kuibeba hii barua...na kumpelekea
Mjomba slim.mjomba ako ni nani sasa nikusaidie kuibeba hii barua...na kumpelekea
Anasemwa slim mwenye miwani mikubwaNimesoma sijaelewa nimebaki kuhisia hisia tu,
Mawani 🤣🤣mjomba ako ni nani sasa nikusaidie kuibeba hii barua...na kumpelekea
Mbona kitambo. Tolu.Mjomba siku hizi mnamuita tolu
KumbeMbona kitambo. Tolu.
Tatizo la wapwa zangu ni ubaguzi wa kiukoo kati ya koo za Wahutu na Watusi..afu wote wanaongea lugha moja.
Kuna comment yangu humu nimeonesha pia hili lakini huwezi kuacha kumsifu jamaa kwa hatua anazopiga. Fuatilia issue za Tech, entertainment, international conferences, utalii wa nyani tu unaingiza kiasi gani, foreign investmentsuna uhakika rwanda inakua kiuchumi
si kweli
-rwanda imejengwa kwa uchumi wa wizi wa madini
-Misaada kila mwaka 2B from US bado nchi nyingine
-hivi vyote vikisitishwa basi
Mmerudi pale pale, sasa hivi inaonekana kuwa Watusi ndio wenye haki ya kutawala peke yao, na ndio shida ilipo.Habrarimana na wenzake walitufikisha kwa kuona wahutu ndio wenye haki miliki na Rwanda.
S unajua paka.akili. kubwa.atakua kamuingiza Chaka Ile dp world Ile!Nasikia wana ugomvi wanatupiana vijembe
Uko sahihi, itasikitisha sana hatua hii yote waliyopiga Rwanda kimandelea zikarudi sifuri.Pk akubali kushaurika, aache roho ya kisasi na atengeneze succession plan ya kueleweka ila akiendelea kutumia mkono wa chuma kwa kutawala kwa hofu
Nitamsalimia tulikuwa nae Church anaomba kwa kilio cha uchungu mnoMsalimie🤣🤣
Rwanda ana Future?Angalia future ya Rwanda, angalia na ya nchi yako...
hivi yule jamaq ni mafia namna hiyo... 😭😭😭😭 harafu sijui kwanini... huwa namkubari sana🤭🤭🤭Mawani 🤣🤣
Anajitahidi kuiaminisha dunia kuwa kwake papo sawa.....Kuna comment yangu humu nimeonesha pia hili lakini huwezi kuacha kumsifu jamaa kwa hatua anazopiga. Fuatilia issue za Tech, entertainment, international conferences, utalii wa nyani tu unaingiza kiasi gani, foreign investments
Hapa Pk kajitahidi, imagine hub ya muziki East Africa ni Tanzania ila Tuzo za MTV zikaenda kufanyikia Rwanda, just imagine
PAULOmjomba ako ni nani sasa nikusaidie kuibeba hii barua...na kumpelekea
PAULO
Anasali siku hiziNitamsalimia tulikuwa nae Church anaomba kwa kilio cha uchungu mno