Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,637
- Thread starter
- #181
Mm naanzia 1991 pale mjomba alipoanza rasmi kuutaka ukuu wa ukooOk, nimekuelewa. Kumbe unajumlIsha na DRC. Hapo inabidi kupiga mahesabu makali Sana. Maana vita vya DRC vimeanza zamani Sana, hata RPF wamevikuta.