Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,591
- 13,638
- Thread starter
- #41
Nasikia wana ugomvi wanatupiana vijembeNipo Mkuu, kwani mjomba ana ugomvi na waswahili? Wasije kumfuata urugwiro kule ooh
Nasikia wana ugomvi wanatupiana vijembeNipo Mkuu, kwani mjomba ana ugomvi na waswahili? Wasije kumfuata urugwiro kule ooh
nani na nani wanatupiana vijembe? paka kagame na sa100? auNasikia wana ugomvi wanatupiana vijembe
Mm simo 🤣🤣🤣nani na nani wanatupiana vijembe? paka kagame na sa100? au
Kashapita kwenye box la kura BONGE.....Mzee wa bugarama juzi kamchana aache ufala yule wa kule kwa wacheza ndombolo alisema akipita tu kwenye box la kura anamvaa ngoja tuone
BONGE alipeleka sukho kwa anko wakoKashapita kwenye box la kura BONGE.....
Bonge ana mapepe now dayzBONGE alipeleka sukho kwa anko wako
Hahahaha, atulie,hv #wazalendo ni wake Bonge ?Bonge ana mapepe now dayz
Abby -Abbyrimana aliyetunguliwa kwenye ndege labdaAbby ni nani?
Hiv msata nako kuna wenye mabalaa?Blood thirsty tyrant...mwambie mjomba ako kuna namna haelewi waswahili....tutazama mpaka manta..amuulize mzee buyoya...mjomba ako hajai mkononi...
Command ya tabora itamtosha mjomba...wala hatuwaita vichaa wa monduli...bangi lori mbili...hatutawasumbua mabroo wa morogoro...wala kuwajulisha marafiki wa kigamboni..
Wale machalii wa msata hatuthubutu maana watamvua nguo kama yule raisi wa africa magharibi...mwambie mjomba muda umeisha
Juvénal HabyarimanaAbby ni nani?
Atakua ni Abby Uladu .Abby ni nani?
umefeli sehemu moja tu. wrefu ni watutsi.Juvénal Habyarimana
Mjomba - Paul Kagame
Wafupi- wahutu
Warefu- Wahutu
Kaguta- Yowel Museven
Edit kdg ktk warefu hapoJuvénal Habyarimana
Mjomba - Paul Kagame
Wafupi- wahutu
Warefu- Wahutu
Kaguta- Yowel Museven
Ndio maana kaambiwa wale wafupi waliokimbia watoto wao wamekua wanataka kurudi nyumbaniMuombee mjomba ako aishi, akidondoka tu waliofanyiwa madhila watawawinda mmoja kwa mmoja.
Kipimo kilekile alichowapimia wao...
Tayari mkuu...ila ingekuwa kama vile ilivyokuwa Deutsch Ostrafrica haya matatizo yasingekuwepo.Edit kdg ktk warefu hapo
Hahahaha,kabisa mkuuTayari mkuu...ila ingekuwa kama vile ilivyokuwa Deutsch Ostrafrica haya matatizo yasingekuwepo.