Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,078
- 10,425
Dah...ndiyo huyohuyo...mjomba ni mama 🤣Nimesoma sijaelewa nimebaki kuhisia hisia tu,

Mtikila najua, Ila Membe sijui atakuwa alimkosea nini Mr catBongo kishapita na membe na mtikila,halafu wanamchekea chekea,siku wakiguswq wenyewe ndio watashtuka acha tu wampe bichwa
Mtamwonea tu mjomba wa watu.Blood thirsty tyrant...mwambie mjomba ako kuna namna haelewi waswahili....tutazama mpaka manta..amuulize mzee buyoya...mjomba ako hajai mkononi...
Command ya tabora itamtosha mjomba...wala hatuwaita vichaa wa monduli...bangi lori mbili...hatutawasumbua mabroo wa morogoro...wala kuwajulisha marafiki wa kigamboni..
Wale machalii wa msata hatuthubutu maana watamvua nguo kama yule raisi wa africa magharibi...mwambie mjomba muda umeisha
Mjomba Abby ndio Nani...Mjomba wale askari 600 waliokufa Kisangani kwa mahesabu yako mabovu ya kupigana na waganda....wazazi wao wanatulaumu...
Wale watu tuliowaua kwa kulipiza kisasi...na watoto wao sasa wanataka kulipiza kisasi.
Mjomba kila mtu anakuchukia ila tunakuchekea kinafiki sababu wewe ndio mkuu wa ukoo kwa sasa.
Tumeua wangapi mpaka sasa,,,,,????
Kuanzia ndani ya ukoo mpaka nje ya ukoo.???
Mjomba najua unajiita baba wa ukoo ila unadhani wewe ni bora kuliko alivyokua mjomba Fred???
Unadhani wewe ni bora kuliko Babu Dia Wamba???
Lengo lilikua kuwaondoa watu wafupi nyumbani.....maana waliua wana ukoo na walifanya mabaya mengi kwa miaka 45.
Lakini mbona baada ya kukupa uongozi wa ukoo na wewe umekua muuaji..???
Mjomba hupendi kuambiwa ukweli.
Mjomba umejigeuza mfalme wa ukoo..
Mjomba si wewe ndio ulipanga mpango wa kumuua mjomba Abby???
Afu ulitutenga wanao ambao wazazi wetu walikua mchanganyiko wa wana ukoo warefu na wafupi..
Unasema umoja wa kitaifa...lakini mbona unawatenga watu wafupi???
Mjomba sasa unavuka mipaka na kutaka kuwapangia majirani zetu waswahili na cha kufanya....
Mjomba wewe si ndio ulimsaliti babu Kaguta afu unatuambia uongo.
Mjomba ukichokoza vita sisi tutakususa kama tulivyomsusa anko Ntaganda....
Hao waswahili ukiwachokoza watakuja hadi kwenye boma na sisi tutakutekeleza.
Mjomba mpaka sasa kwenye rekodi kwa mkono wako au kwa maagizo umeua watu milioni 9 na bado huchoki...
Kwa kifupi mjomba wewe hauna tofauti na anko Abby na nyote ni wauaji tu.
Tumechoka kuua mjomba...sababu hata tukiua hatutowamaliza watu wafupi...
Afu kwani watu wafupi na warefu hatuwezi kuishi pamoja kwa amani???
Wewe kila siku unatuambia kila mtu mbaya...
Waswahili wabaya.
Warundi wabaya.
Wakongo wabaya.
Watu wafupi wabaya.
Sasa familia imechafuka na watu kwenye ukoo wanataka kukuua mjomba...ndio maana umetununia wana ukoo.
Mjomba watoto wako wanakula bata wakati sisi wapwa zako hatupati fursa.
Unadhani tutakenua meno???
Na sisi tunataka keki ya taifa.
Kwa taarifa yako mjomba tutakususia ukoo tuone kama utaenda frontline mwenyewe.
Wewe mtu gani unapenda kuua wanaukoo kila siku.
Sasa tukubaliane hv...na siku wewe wakikuuua usilalamike...sawa.
Mjomba gani ushauriki.....na ndio maana shangazi anakunyimaga unyumba afu unampiga makofi.....
Mjomba..
Sisi sio vitendea kazi vyako tuelewane.
Sisi sio ngombe wa nyama...unajichinjia mda wowote unaojisikia.
Sisi sio wajinga tumeshakushitukia.
Kama hautaki kikao cha ukoo tuchague mkuu wa ukoo mwingine,,bas njia ileile uliyoingia ndio utakayotokea...
Afu kua na aibu mjomba.....wamekufanyia oparesheni ya tezi dume....kapumzike tuachie uongozi wa ukoo..
Mjomba tumeshaua wanaukoo wengi sana na tumechoka hatutaki kuendelea kumwaga damu kwa niaba yako.
Watu wafupi na wenyewe wana haki ya kuishi....
Sasa tutakususia ukoo ubaki wewe na watoto wako tuone.
Mjomba mpaka mgambo wa ukoo unawaua kisa wamesahau kukupigia saluti...
Rekodi zetu watu milioni tisa na laki nane wameshakufa tokea 1992 na je tuendelee kuua???
Hapana mjomba huko tunakoelekea tutakususa ubaki peke yako....kama tulivyomsusa mjomba Abby...
Babu Kaguta yeye mwenyewe majirani washaanza kumsusa na sisi tunatazama tu......
Tutaua watu wangapi mjomba???
Tutafunga watu wangapi???
Vizazi vya wapwa zako vitaishije wewe ukiondoka??
Mjomba na wewe unamuiga Edorgan mpiga konyagi????
Sisi tumechoka mjomba....
Safari hii dirty work utafanya mwenyewe...
Mpwa wako nipo nimetulia na najua siwezi kuja kwenye ukoo sababu umeninunia kisa nakuambia ukweli..
Ila kumbuka damu nzito kuliko maji ndio maana nakuambia ukweli.
Pamoja na yote mjomba tusichukiane......sisi watoto tuna tabia ya kuropoka na mjomba mama.
Sio Mimi bhana mkuuAtakua ni Abby Uladu .
Hayati Juvenali Habyarimana, aliyekuwa Rais wa Rwanda kabla ya mauaji ya kimbariMjomba Abby ndio Nani...
Tamathali za semi hizi
Una shida braza.....Binafsi napenda aina ya uongozi wa anko wako...
Afrika ukiwa kiongozi ili ufanikiwe kumuokoa mwananchi wa chini kabisa, kuna kima hupaswi kuwasikiliza...
Afrika ina wajinga wengi sana, hawa huelewa dhima nzuri ya kiongozi baada ya miaka kadhaa...
Hata Tanzania tunahitaji mtu aina ya Kagame.
Anavyofanya PK ni sawa kulisha pipi mtoto mwenye njaa. Anatumia mabilioni ya fedha kulob hayo matamasha, conference,udhamini n.kKuna comment yangu humu nimeonesha pia hili lakini huwezi kuacha kumsifu jamaa kwa hatua anazopiga. Fuatilia issue za Tech, entertainment, international conferences, utalii wa nyani tu unaingiza kiasi gani, foreign investments
Hapa Pk kajitahidi, imagine hub ya muziki East Africa ni Tanzania ila Tuzo za MTV zikaenda kufanyikia Rwanda, just imagine
J. Habyalimana.Abby ni nani?
Kweli kabisa Mkuu.Binafsi napenda aina ya uongozi wa anko wako...
Afrika ukiwa kiongozi ili ufanikiwe kumuokoa mwananchi wa chini kabisa, kuna kima hupaswi kuwasikiliza...
Afrika ina wajinga wengi sana, hawa huelewa dhima nzuri ya kiongozi baada ya miaka kadhaa...
Hata Tanzania tunahitaji mtu aina ya Kagame.
Anavyofanya PK ni sawa kulisha pipi mtoto mwenye njaa. Anatumia mabilioni ya fedha kulob hayo matamasha, conference,udhamini n.k
Je impact yake kwa raise ipo vipi?
HabyierimaraAbby ni nani?
Huko wanalia na mjomba wao KP, ila sisi huku tunalia na dude letu MCCMjomba wale askari 600 waliokufa Kisangani kwa mahesabu yako mabovu ya kupigana na waganda....wazazi wao wanatulaumu...
Wale watu tuliowaua kwa kulipiza kisasi...na watoto wao sasa wanataka kulipiza kisasi.
Mjomba kila mtu anakuchukia ila tunakuchekea kinafiki sababu wewe ndio mkuu wa ukoo kwa sasa.
Tumeua wangapi mpaka sasa,,,,,????
Kuanzia ndani ya ukoo mpaka nje ya ukoo.???
Mjomba najua unajiita baba wa ukoo ila unadhani wewe ni bora kuliko alivyokua mjomba Fred???
Unadhani wewe ni bora kuliko Babu Dia Wamba???
Lengo lilikua kuwaondoa watu wafupi nyumbani.....maana waliua wana ukoo na walifanya mabaya mengi kwa miaka 45.
Lakini mbona baada ya kukupa uongozi wa ukoo na wewe umekua muuaji..???
Mjomba hupendi kuambiwa ukweli.
Mjomba umejigeuza mfalme wa ukoo..
Mjomba si wewe ndio ulipanga mpango wa kumuua mjomba Abby???
Afu ulitutenga wanao ambao wazazi wetu walikua mchanganyiko wa wana ukoo warefu na wafupi..
Unasema umoja wa kitaifa...lakini mbona unawatenga watu wafupi???
Mjomba sasa unavuka mipaka na kutaka kuwapangia majirani zetu waswahili na cha kufanya....
Mjomba wewe si ndio ulimsaliti babu Kaguta afu unatuambia uongo.
Mjomba ukichokoza vita sisi tutakususa kama tulivyomsusa anko Ntaganda....
Hao waswahili ukiwachokoza watakuja hadi kwenye boma na sisi tutakutekeleza.
Mjomba mpaka sasa kwenye rekodi kwa mkono wako au kwa maagizo umeua watu milioni 9 na bado huchoki...
Kwa kifupi mjomba wewe hauna tofauti na anko Abby na nyote ni wauaji tu.
Tumechoka kuua mjomba...sababu hata tukiua hatutowamaliza watu wafupi...
Afu kwani watu wafupi na warefu hatuwezi kuishi pamoja kwa amani???
Wewe kila siku unatuambia kila mtu mbaya...
Waswahili wabaya.
Warundi wabaya.
Wakongo wabaya.
Watu wafupi wabaya.
Sasa familia imechafuka na watu kwenye ukoo wanataka kukuua mjomba...ndio maana umetununia wana ukoo.
Mjomba watoto wako wanakula bata wakati sisi wapwa zako hatupati fursa.
Unadhani tutakenua meno???
Na sisi tunataka keki ya taifa.
Kwa taarifa yako mjomba tutakususia ukoo tuone kama utaenda frontline mwenyewe.
Wewe mtu gani unapenda kuua wanaukoo kila siku.
Sasa tukubaliane hv...na siku wewe wakikuuua usilalamike...sawa.
Mjomba gani ushauriki.....na ndio maana shangazi anakunyimaga unyumba afu unampiga makofi.....
Mjomba..
Sisi sio vitendea kazi vyako tuelewane.
Sisi sio ngombe wa nyama...unajichinjia mda wowote unaojisikia.
Sisi sio wajinga tumeshakushitukia.
Kama hautaki kikao cha ukoo tuchague mkuu wa ukoo mwingine,,bas njia ileile uliyoingia ndio utakayotokea...
Afu kua na aibu mjomba.....wamekufanyia oparesheni ya tezi dume....kapumzike tuachie uongozi wa ukoo..
Mjomba tumeshaua wanaukoo wengi sana na tumechoka hatutaki kuendelea kumwaga damu kwa niaba yako.
Watu wafupi na wenyewe wana haki ya kuishi....
Sasa tutakususia ukoo ubaki wewe na watoto wako tuone.
Mjomba mpaka mgambo wa ukoo unawaua kisa wamesahau kukupigia saluti...
Rekodi zetu watu milioni tisa na laki nane wameshakufa tokea 1992 na je tuendelee kuua???
Hapana mjomba huko tunakoelekea tutakususa ubaki peke yako....kama tulivyomsusa mjomba Abby...
Babu Kaguta yeye mwenyewe majirani washaanza kumsusa na sisi tunatazama tu......
Tutaua watu wangapi mjomba???
Tutafunga watu wangapi???
Vizazi vya wapwa zako vitaishije wewe ukiondoka??
Mjomba na wewe unamuiga Edorgan mpiga konyagi????
Sisi tumechoka mjomba....
Safari hii dirty work utafanya mwenyewe...
Mpwa wako nipo nimetulia na najua siwezi kuja kwenye ukoo sababu umeninunia kisa nakuambia ukweli..
Ila kumbuka damu nzito kuliko maji ndio maana nakuambia ukweli.
Pamoja na yote mjomba tusichukiane......sisi watoto tuna tabia ya kuropoka na mjomba mama.
Kuna comment yangu humu nimeonesha pia hili lakini huwezi kuacha kumsifu jamaa kwa hatua anazopiga. Fuatilia issue za Tech, entertainment, international conferences, utalii wa nyani tu unaingiza kiasi gani, foreign investments
Hapa Pk kajitahidi, imagine hub ya muziki East Africa ni Tanzania ila Tuzo za MTV zikaenda kufanyikia Rwanda, just imagine
Duuihmkuu you have no idea!!
Hizo si effort za rwanda persee
unajua NBC news ni america media muda wote ina promote rwanda na rwanda economy impact yake inawavutia wananchi wa ulaya kuvisit rwanda
-Rwanda inawatumia UK and other agencies kuclean image yake (hutasikia habar za kutekwa na kupigwa risas watu nchini humo zikitoka why?? ndo kazi yao hyo
Tofautisha propaganda na uhalisia wako vizuri kwene lobbying but sio wao wanaelekezwa na kuna deep state inainfluence decision
🤣🤣🤣Huko wanalia
Huko wanalia na mjomba wao KP, ila sisi huku tunalia na dude letu MCC
😂🤣🤣🤣J. Habyalimana.
Nyie watoto wa jana huu hauwahusu. Hii ninkwa ma great thinkers tu
Swali zuriAnavyofanya PK ni sawa kulisha pipi mtoto mwenye njaa. Anatumia mabilioni ya fedha kulob hayo matamasha, conference,udhamini n.k
Je impact yake kwa raise ipo vipi?
Abby uladu 🤣🤣🤣Mjomba Abby ndio Nani...
Tamathali za semi hizi
DuihMjomba anasema hajali kwa lolote maana yuko KIMASLAHI zaidi !!!